WAFANYAKAZI WA JKCI WAAGANA NA MADAKTARI BINGWA WA MOYO KUTOKA NCHINI CHINA
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya  Magonjwa ya Moyo ambaye pia ni Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Peter Kisenge akimkabidhi zawadi Daktari Bingwa wa upasuaji wa Moyo kutoka China Sun Long wakati wa hafla fupi ya kuwaaga madaktari hao iliyofanyika hivi karibuni. Serikali ya China kila baada ya miaka miwili inatuma madaktari wake kwa ajili ya kufanya kazi ya Matibabu ya Moyo katika Taasisi hiyo.  
HomeJamii

WAFANYAKAZI WA JKCI WAAGANA NA MADAKTARI BINGWA WA MOYO KUTOKA NCHINI CHINA

Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya  Magonjwa ya Moyo ambaye pia ni Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (J...

WASAFIRI WATAHADHARISHWA KUPATA CHANJO YA HOMA YA MANJANO
WAFANYAKAZI WA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA WALIVYOSHIRIKI MEI DEI, UWANJA WA UHURU DAR PAMOJA KUTUNUKU WAFANYAKAZI HODARI
MAADHIMISHO YA SIKU YA WAKUNGA DUNIANI YAADHIMISHWA ZANZIBAR



Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Magonjwa ya  Moyo ambaye pia ni Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Peter Kisenge akimkabidhi zawadi Daktari Bingwa wa magonjwa ya Moyo kwa watoto kutoka China Qu Xianfeng wakati wa hafla fupi ya kuwaaga madaktari hao iliyofanyika hivi karibuni. Serikali ya China kila baada ya miaka miwili inatuma madaktari wake kwa ajili ya kufanya kazi ya Matibabu ya Moyo katika Taasisi hiyo.  

Madaktari bingwa wa Magonjwa ya Moyo kutoka China wakiwa katika picha ya pamoja na  Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Magonjwa ya  Moyo ambaye pia ni Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Peter Kisenge mara baada ya kuwakabidhi  zawadi wakati wa hafla fupi ya kuwaaga iliyofanyika hivi karibuni. Serikali ya China kila baada ya miaka miwili inatuma madaktari wake kwa ajili ya kufanya kazi ya Matibabu ya Moyo katika Taasisi hiyo.

Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Magonjwa ya  Moyo ambaye pia ni Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Peter Kisenge akimkabidhi zawadi Daktari Bingwa wa chumba cha wagonjwa walioko katika uangalizi maalum (ICU) kutoka China Xie Weifeng  wakati wa hafla fupi ya kuwaaga madaktari hao iliyofanyika hivi karibuni. Serikali ya China kila baada ya miaka miwili inatuma madaktari wake kwa ajili ya kufanya kazi ya Matibabu ya Moyo katika Taasisi hiyo. 

Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakimsikiliza Daktari Bingwa wa magonjwa ya Moyo kwa watoto kutoka China Qu Xianfeng (hayupo pichani) wakati akizungumza katika hafla fupi ya kuwaaga madaktari hao iliyofanyika hivi karibuni. Serikali ya China kila baada ya miaka miwili inatuma madaktari wake kwa ajili ya kufanya kazi ya Matibabu ya Moyo katika Taasisi hiyo.  (Picha na JKCI)








Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WAFANYAKAZI WA JKCI WAAGANA NA MADAKTARI BINGWA WA MOYO KUTOKA NCHINI CHINA
WAFANYAKAZI WA JKCI WAAGANA NA MADAKTARI BINGWA WA MOYO KUTOKA NCHINI CHINA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgP0Ezvqi1jaeSeCc4bFaQr8FyMDrK3Wa4QkaSf6XNUC28QB1J7_-EMJBfPEPxkazrb-703Tez7hvyCc5Bqf3tZqh_04OO70pAwEIC9nctwmapPVwRXIAHsuSNGpZs3ia5yG94KQz_ohfU/s640/Picha+no.+1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgP0Ezvqi1jaeSeCc4bFaQr8FyMDrK3Wa4QkaSf6XNUC28QB1J7_-EMJBfPEPxkazrb-703Tez7hvyCc5Bqf3tZqh_04OO70pAwEIC9nctwmapPVwRXIAHsuSNGpZs3ia5yG94KQz_ohfU/s72-c/Picha+no.+1.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/09/wafanyakazi-wa-jkci-waagana-na.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/09/wafanyakazi-wa-jkci-waagana-na.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy