Meneja wa NMB, Kanda ya Dar es Salaam, Salie Mlay akimpa ushauri Uwezo Malinjema Magedenge (22) baada ku kabidhiwa shilingi ...
 |
Meneja wa NMB, Kanda ya Dar es Salaam, Salie Mlay akimpa ushauri Uwezo Malinjema Magedenge (22) baada kukabidhiwa
shilingi milioni 100 jijini Dar es Salaam
leo. Anayeshudia ni Mkuu
wa Huduma kwa Wateja wa Vodacom Tanzania, Brigita Stephen.
|
 |
Mkuu wa Huduma kwa Wateja, wa Vodacom Tanzania, Brigita Stephen akimkabidhi shilingi milioni 100 Uwezo Malinjema Magedenge jijini Dar es Salaam leo. Anayeshudia ni Meneja wa NMB, Kanda ya Dar es Salaam, Salie Mlay. |
 |
Jaymillions wa
shilingi milioni 100 Uwezo Malinjema Magedenge akiongea na waandishi wa jijini Dar es Salaam
leo. Wanaofurahia mazungumzo ni Meneja wa NMB, Kanda ya Dar es Salaam, Salie Mlay (kulia) Mkuu
wa Huduma kwa Wateja, wa Vodacom Tanzania, Brigita Stephen. |
 |
Mkuu
wa Huduma kwa Wateja, wa Vodacom Tanzania, Brigita Stephen akimkabidhi
shilingi milioni 100 Uwezo Malinjema Magedenge jijini Dar es Salaam leo.
Anayeshudia ni Meneja wa NMB, Kanda ya Dar es Salaam, Salie Mlay.
|
 |
Mkuu
wa Huduma kwa Wateja, wa Vodacom Tanzania, Brigita Stephen na Meneja wa NMB, Kanda ya Dar es Salaam, Salie Mlay wakipanga sehemu ya shilingi milioni 100 jijini Dar es Salaam leo wakati wa kumkabidhi Uwezo Malinjema Magedenge baada ya kushinda.
|
 |
Afisa Uhusiano wa Benki ya NMB, Doris Kilale akiwa na Jaymillions wa
shilingi milioni 100 Uwezo Malinjema Magedenge wakati wa hafla ya makabidhiano leo. |
COMMENTS