MATOKEO YA KIDATO CHA SITA KWA MWAKA 2014 HAYA HAPA

NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA ACSEE 2014 EXAMINATION RESULTS INQUIRIES Mwanafunzi bora wa kwanza Kitaifa wa Kidat...


NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA


ACSEE 2014 EXAMINATION RESULTS INQUIRIES

Mwanafunzi bora wa kwanza Kitaifa wa Kidato cha sita aliyefaulu vizuri katika masomo ya tahasusi (Combination), Isaack Shayo aliyekuwa akisoma shule ya Mt. Yosefu Cathedral akiwa mwenye furaha baada ya kuona matokeo yake yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Taifa Dar es Salaam leo.

 


Matokeo ya mtihani wa kidato cha 6 yaliyofanyika tarehe Mei 5 - 21, yametoka na jumla ya watahiniwa 30,225 sawa na asilimia 85.73 wamefaulu katika madaraja ya I- III.

 

Mwanafunzi bora wa kwanza Kitaifa wa Kidato cha sita aliyefaulu vizuri katika masomo ya tahasusi (Combination), Isaack Shayo akiangalia matokeo yake nyumbani kwao Mbezi Beach baada ya kutolewa Dar es Salaam leo. 

Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Mitihani, Dkt. Charles Msonde, akitangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha Sita mwaka 2014 kwenye makao makuu ya baraza hilo, Kijitonyama jijini Dar es Salaam, Julai 16, 2014.

Jumla ya watahiniwa 38,905 sawa na asilimia 95.98 ya watahiniwa waliofanya mtihani kidato cha 6 wamefaulu. Wasichana waliofaulu ni 12,080 na wavulana waliofaulu ni 26,825

- Watahiniwa waliopata division IV ni 4,420 sawa na asilimia 12.54

- Watahiniwa waliopata zero (0) ni 612 sawa na asilimia 1.74.

- SHULE 10 ZILIZOONGOZA


1. Igowole
2. Feza Boys
3. Kisimiri
4. Iwawa
5. Kibaha
6. Marian Girls
7. Nangwa
8. Uwata
9. Kibondo
10. Kawawa

- SHULE 10 ZA MWISHO

1. Ben Bella
2. Fidel Castro
3. Tambaza
4. Muheza High School
5. Mazizini
6. Mtwara Technical
7. Iyunga technical
8. Al- falaah Muslim
9. Kaulia
10. Osward Mang'ombe



COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MATOKEO YA KIDATO CHA SITA KWA MWAKA 2014 HAYA HAPA
MATOKEO YA KIDATO CHA SITA KWA MWAKA 2014 HAYA HAPA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi_m8ITOL_E71t_ONIDxL4KvxDRXfQlvnHJgKLsirjoWqBtQS_blLmAjFKDGnnzViBod-aMCTx2qLMgK1vqzNdxZei6inmlIGKk4Lt1aOzmSKgAWAF4ZvywLx_w4216wLG5OrQRE1lDY54/s1600/MWANAFUNZI+BORA+ISAAC.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi_m8ITOL_E71t_ONIDxL4KvxDRXfQlvnHJgKLsirjoWqBtQS_blLmAjFKDGnnzViBod-aMCTx2qLMgK1vqzNdxZei6inmlIGKk4Lt1aOzmSKgAWAF4ZvywLx_w4216wLG5OrQRE1lDY54/s72-c/MWANAFUNZI+BORA+ISAAC.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2014/07/matokeo-ya-kidato-cha-sita-kwa-mwaka.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2014/07/matokeo-ya-kidato-cha-sita-kwa-mwaka.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy