MEDIA RELEASE Embargoed: 30th March 2016 Sanlam Life Insurance Tanzania launches Education Insurance ...
MEDIA RELEASE Embargoed: 30th March 2016
Sanlam Life Insurance Tanzania launches Education Insurance Product
Dar es Salaam, 30th March 2016: Sanlam Life Insurance, the leading life insurer in Tanzania,has launched an innovative savings plan aimed at insuring your child’s future education.
The ‘Sanlam Education Care’ product offer parents a monthly savings plan that includes an added life insurance benefit that protects your investment in the event of death or disability. Mr. Julius Magabe, CEO of Sanlam Life Insurance, says,“investing in your child’s education is one of the best gifts that a parent can provide to their children. Education is becoming an expensive commodity and parents would be well advised to make the right investment decisions when it comes to the future well-being of their children.
The product has been designed as a savings mechanism to help parents systematically build-up a savings portfolio that takes into account the rising costs of education.
“No other life insurance product meets the need of securing a child’s education as much as this one does. The addition of Sanlam Education Care to our products’ menu underscores our commitment to expanding our reach within the retail segment and offering consumers innovative new products that create and preserve wealth”, concluded Magabe.
ABOUT SANLAM LIFE INSURANCE TANZANIA
Sanlam Life Insurance is the leading life insurer in Tanzania with a 54.7% market share and an AA- rating by Global Credit Rating Company (GCR). Sanlam Life Insurance has the widest range of life assurance products in the Tanzanian life insurance market and insures more than four million lives. The company provides insurable and poolable benefit products such as life, disability, critical illness, savings, education and group endowment. Its services are offered to both individual and institutional clients.
ABOUT THE SANLAM GROUP
Sanlam is a leading financial services group listed on the JSE Limited and the Namibian Stock Exchange. Established in 1918 as a life insurance company, the South Africa-based Sanlam Group has transformed into a diversified financial services business.
Through its business clusters – Sanlam Personal Finance, Sanlam Emerging Markets, Sanlam Investments, Santam and the newly established Sanlam Corporate - the Group provides comprehensive and tailored financial solutions to individual and institutional clients across all market segments. The Group’s areas of expertise include insurance, financial planning, retirement, trusts, wills, short-term insurance, asset management, risk management and capital market activities, investment and wealth.
The Group operates in Southern Africa through Botswana, Malawi, Mozambique, Namibia, Swaziland, Zambia and Zimbabwe; East Africa through Kenya, Tanzania, Rwanda and Uganda; West Africa via Nigeria and Ghana and in India and Malaysia. It has an indirect presence via associate companies in Burundi, The Gambia and Lesotho. The recently announced acquisition of a 30% interest in the Saham Group will further extend the Group’s footprint into Francophone Africa. The Group also has business interests in the United Kingdom, the USA, Australia and the Philippines. It has a stake in leading global micro-insurance specialists, UK-based Micro-Ensure Holdings Limited. For further information, visit www.sanlam.com
TOLEO LA WANAHABARI
Mahususi kwa Vyombo vya Habari: Machi 3, 2016
Sanlam Life Insurance Tanzania Yazindua Bima ya Elimu
Dar es Salaam, 30 Machi 2016: Kampuni inayoongoza kwa utoaji wa bima za maisha Tanzania Sanlam Life Insurance, imezindua bima ya elimu ya kipekee inayolenga kukupa uhakika wa elimu ya mwanao.
'Bima hiyo inayoitwa “Sanlam Education Care', inawapa wazazi mpango wa akiba wa kila mwezi pamoja na faida ya bima ya maisha ambayo inalinda uwekezaji wako katika tukio la kifo au ulemavu wa kudumu. Julius Magabe, Afisa Mtendaji Mkuu wa Sanlam Life Insurance,anasema,"kuwekeza katika elimu ya mtoto wako ni moja ya zawadi bora ambayo wazazi wanaweza kuwapatia watoto wao”. Elimu imeanza kuwa huduma ghali katika maisha ya siku hizi, kwahiyo wazazi wanashauriwa kufanya maamuzi ya busara ya uwekezaji pale linapokuja suala la ustawi wa maisha ya baadaye ya watoto wao. Sanlam Education Care ni suluhisho kamili, kwani imebuniwa kama mpango wa akiba unaowawezesha wazazi kuwa na utaratibu mahususi wa kuweka akiba ambao unazingatia kupanda kwa gharama za elimu.
"Hakuna huduma nyingine ya bima ya maisha inayokidhi haja ya kulinda elimu ya mtoto kama huduma hii ya Sanlam Education Care. ‘Kuongezeka kwa huduma ya Sanlam Education Care kwenye orodha ya bidhaa zetu' inatilia mkazo dhamira yetu ya kupanua wigo wa huduma zenye ubunifu na zinazokidhi mahitaji ya wateja wetu pamoja na kuboresha na kulinda ukwasi wao", alihitimisha Bw. Magabe .
MWISHO
KUHUSU SANLAM LIFE INSURANCE TANZANIA
Sanlam Life Insurance Tanzania ndiyo kampuni ya bima ya maisha inayoongoza nchini Tanzania, ikiwa na asilimia 55 katika soko la biashara ya bima za maisha na imetunukiwa alama AA- na kampuni ya kimataifa ya utambuzi wa viwango (Global Credit Rating Company- GCR). Sanlam Life Insurance ina wigo mpana wa bidhaa za uhakika za bima ya maisha katika soko la bima la Tanzania kwani inalinda maisha ya watu zaidi ya milioni nne hivi sasa. Kampuni ya Sanlam Life Insurance ina bidhaa mbali mbali zinazotoa mafao ya kifo, ulemavu, magonjwa sugu, akiba muhimu na elimu. Huduma za Sanlam Life Insurance zinatolewa kwa wateja binafsi, mashirika pamoja na taasisi.
Sanlam Life Insurance Tanzania ndiyo kampuni ya bima ya maisha inayoongoza nchini Tanzania, ikiwa na asilimia 55 katika soko la biashara ya bima za maisha na imetunukiwa alama AA- na kampuni ya kimataifa ya utambuzi wa viwango (Global Credit Rating Company- GCR). Sanlam Life Insurance ina wigo mpana wa bidhaa za uhakika za bima ya maisha katika soko la bima la Tanzania kwani inalinda maisha ya watu zaidi ya milioni nne hivi sasa. Kampuni ya Sanlam Life Insurance ina bidhaa mbali mbali zinazotoa mafao ya kifo, ulemavu, magonjwa sugu, akiba muhimu na elimu. Huduma za Sanlam Life Insurance zinatolewa kwa wateja binafsi, mashirika pamoja na taasisi.
KUHUSU UMOJA WA MAKAMPUNI YA SANLAM
Umoja wa makampuni ya Sanlam ulianzishwa mwaka 1918 kama kampuni ya Bima ya Maisha na umesajiliwa kwenye Soko la Hisa la Johanessburg na Namibia. Umoja huu wenye makao yake makuu nchini Afrika Kusini unna wigo mpana katika biashara ya huduma za kifedha.
Umoja wa makampuni ya Sanlam ulianzishwa mwaka 1918 kama kampuni ya Bima ya Maisha na umesajiliwa kwenye Soko la Hisa la Johanessburg na Namibia. Umoja huu wenye makao yake makuu nchini Afrika Kusini unna wigo mpana katika biashara ya huduma za kifedha.
Kupitia makampuni yake tanzu ya Sanlam Personal Finance, Sanlam Emerging Markets, Sanlam Investments, Santam na Sanlam Corporate. Umoja wa makampuni ya Sanlam unatoa huduma nyingi za kifedha na zenye ubora wa hali ya juu kwa watu binafsi mashirika na taasisi mbalimbali. Sanlam ina utaalamu mkubwa wa utoaji huduma za bima aina zote, uwekaji akiba,pensheni, na usimamizi wa mirathi.
Umoja wa mkampuni ya Sanlam unafanya shughuli zake Kusini mwa Afrika kupitia nchi za Botswana, Malawi, Msumbiji, Namibia, Swaziland, Lesotho, Zambia na Zimbabwe; kwa Ukanda wa Afrika Mashariki wako nchini Tanzania, Kenya, , Rwanda, Burundi na Uganda; Afrika Magharibi Sanlam iko Nigeria na Ghana na Gambia, na Asia wako India, Ufilipino na Malaysia. Umoja wa Makampuni ya Sanlam Hivi karibuni Sanlam ilinunua umiliki wa hisa asilimia 30 za Umoja wa Makampuni ya Saham ya Moroco, uwekezaji ambao umeongeza wigo wa Umoja wa Makampuni ya Sanlam ndani ya Francophone Afrika. Sanlam pia inafanya biashara katika nchi za Uingereza, Ireland, Marekani na Australia. Kwa taarifa zaidi, tembelea www.sanlam.com
COMMENTS