Mkuu wa Chuo cha Reli cha Tabora Eng. Richard Lauwo (katikati), akimuonesha Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Ma...
Mkuu
wa Chuo cha Reli cha Tabora Eng. Richard Lauwo (katikati), akimuonesha Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, baadhi ya majengo
yaliyopo chuoni hapo, wakati alipotembelea kuona maendeleo ya chuo hicho.
Mkuu
wa Chuo cha Reli cha Tabora Eng. Richard Lauwo (kushoto), akifafanua jambo
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, wakati
alipotembelea chuoni hapo.
Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, akizungumza na
walimu na wanafunzi wa Chuo cha Reli cha Tabora, wakati alipofanya ziara yake
chuoni hapo.
Waziri
Mkuu Serikali ya Wanafunzi kutoka Chuo cha Reli cha Tabora Bw. Isaac Fundisha
akiuliza swali kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame
Mbarawa, wakati alipofanya ziara yake ya kikazi chuoni hapo.
COMMENTS