ZITTO ATAJA VIGOGO WALIOFICHA FEDHA NJE, YUMO MKUU WA MAJESHI MSTAAFU Zitto Kabwe WAKATI ripoti ya kamati iliyoundwa...
ZITTO ATAJA VIGOGO WALIOFICHA FEDHA NJE, YUMO MKUU WA MAJESHI MSTAAFU
Zitto Kabwe
WAKATI ripoti ya kamati iliyoundwa na serikali kuchunguza
tuhuma za vigogo walioficha fedha kwenye mabenki ya nje ya nchi ikiwa
bado haijatolewa bungeni, Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe
(CHADEMA), amewataja vigogo watatu kuwa miongoni mwa wahusika.
Zitto ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA (Bara), ndiye
muasisi wa hoja hiyo bungeni. Hivi karibuni alitishia kuwataja wahusika
endapo serikali haitawasilisha ripoti hiyo kwenye mkutano wa Bunge
uliomalizika Jumamosi.
Mbunge huyo aliwataja vigogo hao juzi wilayani Kaliua mkoani Tabora
wakati akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa hadhara
uliofanyika katika Uwanja wa Kolimba.
Bila kutaja majina yao, Zitto aliwataja kwa nyadhifa zao walizowahi
kushika akisema ni aliyewahi kuwa Waziri wa Nishati na Madini, Waziri
wa Ulinzi wa zamani na aliyewahi kuwa mkuu wa majeshi.
Alisema baada ya kutoa hoja bungeni ya kuitaka serikali ifanye
uchunguzi juu ya Watanzania walioficha fedha nje ya nchi, alichaguliwa
kuongoza timu ya kufuatilia sakata hilo, kupitia taasisi ya Eurodad,
ambapo alifanya ziara katika sehemu mbalimbali ikiwemo nchini Uswisi na
Uingereza.
Zitto alifafanua kuwa akiwa huko alikutana na wadau mbalimbali wa
masuala ya kibenki pamoja na kuhudhuria mkutano wa Waziri Mkuu wa
Uingereza uliokuwa ukizungumzia utoroshwaji wa fedha.
“Hawa watu wanajulikana na tutawataja kwa majina mchakato
ukikamilika, lakini kwa sasa niwaambie miongoni mwa watu hao ni pamoja
na waliowahi kuwa mawaziri na mmoja wa wakuu wa majeshi mstaafu,”
alisema Zitto.
Alisema kutokana na hali hiyo, serikali inaendelea kushikwa na
kigugumizi cha kuwaanika watu hao hadharani licha ya Serikali ya Uswisi
kuitaka isaini mkataba wa kubadilishana taarifa.
Zitto alisema kwa sasa ameshawaagiza wasaidizi wake katika masuala ya
kibunge kuandika utaratibu utakaowasilishwa bungeni kwa ajili ya
kuwadhibiti watu wanaoficha fedha nje bila kuwa na maelezo ya kutosha.
Aliongeza kuwa suala la kuwaanika hadharani watu wanaoficha fedha nje
ya nchi linahitaji uungwaji mkono wa hali ya juu kwa kuwa ni kazi ya
hatari inayowagusa watu wenye maslahi na uwezo mkubwa nchini.
Kwa mujibu wa mbunge huyo, mbali na Tanzania, nchi nyingi za Afrika
zinaweka fedha nyingi Uingereza pamoja na visiwa vyake 15 ambapo katika
kisiwa cha Jersey pekee kuna paundi bilioni 40 za Uingereza.
Zitto alisema baadhi ya nchi huwafilisi watu ambao wanabainika kuwa
wameficha fedha nje na kuzitumia kwa shughuli mbalimbali za kijamii.
Alisema kuwa wakati anafanya shughuli hiyo aliyosema ni ajenda ya
kitaifa, alitegemea kuungwa mkono na watu wake wa karibu, ikiwa ni
pamoja na walio ndani ya chama chake.
“Hivi ni vita visivyohitaji utengano, tunapoamua kulumbana sisi kwa
sisi wenzetu wanapata mwanya wa kufanya mambo yao, nilitegemea katika
hali hii CHADEMA tushikamane kuliangamiza hili dude CCM,” alisema
Zitto.
Kuhusu migogoro
Zitto alisema CHADEMA hawama migogoro na kinachofanyika ni mikakati
ya watu wachachahe wasio na shughuli kuamua kuwagonganisha viongozi.
“Kuna watu wachache sana ambao hawana kazi, shughuli yao ni
kugonganisha viongozi ili wagombane na ikitokea hivyo wao ndiyo furaha
kwao, sio ufahari hata kidogo kwa CHADEMA kuonekana ina migogoro,”
alisema.
Zitto alisema mwaka 1995 kabla ya CHADEMA kuamua kuiunga mkono
NCCR-Mageuzi, Edwin Mtei na Bob Makani waligombea nafasi ya kutaka
kuwania urais kupitia chama hicho na hakukuwa na misigano yoyote kwa
kuwa walijua malengo yao ni kuwatumikia Watanzania.
Aliongeza kuwa hali ya watu kuwania nafasi moja ndani ya CHADEMA
ilijirudia mwaka 1998, kwa nafasi ya uenyekiti kuwaniwa na watu wawili
tofauti na hakukuwa na mgogoro.
“Uchaguzi ndani ya CHADEMA ulifanyika mwaka 2009, tukapata viongozi
na tukaingia kazini, mliona tulichofanya, tulivuna wabunge wengi,
madiwani na wenyeviti wa mitaa. Lakini sasa hali inaanza kuwa ya ajabu
ajabu utafikiri kuna mtu aliyetangaza kugombea,” alisema.
Kwa mujibu wa Zitto, hatua yake ya kugombea uenyekiti mwaka 2009
ilitokana na kile alichokuwa amekiona kuwa kutekeleza demokrasia ndani
ya chama chake kutokana na waliomtangulia kujitokeza kuwania nafasi
walizoona zinawafaa.
“Mimi ni binadamu, nina damu na nyama, katika umri huu mdogo
nimepigwa mishale mingi sana ya kisiasa, ninaumia na damu inanitoka,
sasa nimechoka kupigwa mishale, ni lazima viongozi tuambiane ukweli na
tukemee hali hii,” alisema Zitto.
Alisema kuwa mwanzoni hapakuwa na chama chenye nguvu kama
NCCR-Mageuzi, lakini walipoanza kupigana kile alichokiita mishale,
chama hicho kilisambaratika.
“Wakamchafua sana Mabere Marando kuwa ndiye msaliti, sasa Marando
yuko wapi? Si ni kamanda wetu? Si ndiye huyu mwanasheria wetu? Lazima
tuambiane ukweli na tuweze kuvikwepa vihunzi vya CCM, lazima sasa
wanachama wanaoleta chokochoko washughulikiwe,” alisema.
Alisema kuwa viongozi lazima waonye haya mambo, kwamba bila kuonya wataonekana wanashiriki.
“Waha tuna msemo; ukiona kifaranga yupo juu ya chungu, jua mama yake yupo chini,” alisema Zitto.
Kapuya ajisalimisha
Katika hatua nyingine, Mbunge wa Urambo Magharibi, Profesa Juma
Kapuya (CCM), juzi alijisalimisha katika ofisi ya CHADEMA akimuomba
Zitto azungumzie matatizo ya barabara katika jimbo lake ili aweze
kusaidiwa.
Kapuya alitoa ombi hilo katika ofisi za CHADEMA wilaya baada ya Zitto
kuwasili eneo hilo saa 9.30 mchana kwa ajili ya kufanya mkutano wa
hadhara, ikiwa ni kutekeleza ahadi yake aliyoitoa wakati alipohutubia
mkutano wa awali kwa njia ya simu wiki tatu zilizopita.
Akiwa ofisini hapo, Prof. Kapuya alihojiwa na Zitto akitaka kujua
sababu ya kuikodishia Halmashauri ya Kaliua nyumba yake huku akiwa ni
mmoja wa madiwani wa wilaya hiyo wanaopaswa kuhakikisha halmashauri
inakuwa na majengo yake.
“Karibu mzee katika ofisi zetu, lakini unaweza kuniambia kama uamuzi
wako wa kuikodishia halmashauri nyumba yako hauingiliani na vikwazo vya
kuiwezesha kupata majengo yake?” alihoji Zitto.
Katika kujitetea, Prof. Kapuya alisema sababu ya kufanya biashara
hiyo na halmashauri ni kutokana na wilaya kutokuwa na majengo yake
binafsi.
“Ni kweli mimi ninakodisha, lakini kiasi ninachochukua ni kidogo
kuliko kile anachochukua Waziri Magufuli katika Wilaya ya Chato, kwani
naye anaikodishia halmashauri ya wilaya yake jengo linalotumika kama
ofisi,” alisema Kapuya.
Katika hali ya kuonyesha kuwa anaomba Zitto asizungumzie upungufu
uliopo katika jimbo lake, Prof. Kapuya alimuomba azungumzie matatizo ya
barabara.
Zitto alisema kimaadili kiongozi anapofanya biashara sehemu anayoweza
kuwa na uamuzi inasababisha hali ya kulinda maslahi ya kiongozi huyo
ikiwa ni pamoja na kukwamisha mradi wa eneo husika usikamilike au
kujiongezea gharama katika biashara husika.
Alimueleza Prof. Kapuya kuwa kinachosabaisha Mkoa wa Tabora
usiendelee, ni pamoja na matatizo ya ubinafsi kati ya wabunge wa mkoa
huo, huku akiwaambia waache tofauti zao na Mbunge wa Urambo Mashariki,
Samuel Sitta katika kuwatumikia wananchi.
Ndugu Wanahabari,
NILIPOKUWA katika ziara ya Bara la Ulaya kati ya
Oktoba 21 mpaka Novemba 2 mwaka huu (2013), nilipokea kwa njia ya barua pepe
ripoti inayoitwa "Taarifa ya Siri ya Chadema" ambayo pia ilikuwa
imesambazwa katika mitandao mbalimbali ya kijamii.
“Taarifa ya Chadema inasema kwamba chama
hicho (chama changu) kilikuwa
kimechunguza mwenendo wangu tangu mwaka 2008 hadi 2010 na kubaini kuwa mimi
napokea fedha kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili kuivuruga Chadema.
Ripoti hiyo ilinihusisha pia na mwananchi raia wa
Ujerumani, Andrea Cordes ambaye, kwa mujibu wa ripoti hiyo, alinisaidia kupokea
na kuhifadhi kiasi cha dola 250,000 za Marekani kupitia kwenye akaunti yake
binafsi.
Taarifa hii ya kutunga na iliyojaa uongo wa kiwango
cha kutisha, imenifadhaisha, kunisikitisha na kunikasirisha.
Taarifa hii iliibuliwa katika kipindi ambacho
nilikuwa safarini kutetea haki za Watanzania na Waafrika ambao utajiri wao wa
rasilimali unafaidiwa na watu wachache waliohifadhi mali katika nje za nje na
pia kupigania makampuni ya mataifa tajiri yalipe kodi stahiki katika nchi zetu.
Pengine lengo la ripoti hiyo lilikuwa ni kutaka
kunipoteza kutoka katika nia na dhamira yangu ya dhati ya kutaka Watanzania
wafaidike na utajiri wao. Muda ambao watunzi wa ripoti hiyo waliamua kutoa
taarifa yao unazua maswali mengi kuliko majibu.
Nafahamu kwamba mimi ni mwanasiasa ambaye nimekuwa
mlengwa (target) wa mashambulizi kutoka kwa makundi mbalimbali ya wanasiasa na
vikundi vyao. Kama mwanasiasa, niko tayari kupokea changamoto zozote zinazokuja
na uanasiasa wangu.
Hata hivyo, ambacho sitakubali ni kwa watu kutumia
jina langu na uanasiasa wangu kunichafua mimi binafsi na watu wengine
wasiohusika kwa sababu ya kutaka kutimiza malengo yao ya kidhalimu.
Raia huyo wa Kijerumani tayari amekana kuhifadhi
fedha zangu. Kwa maelezo yake kwa baadhi ya viongozi wa Chadema amekana kuwa na
akaunti inayotajwa na amekana pia kuwepo nchini Ujerumani katika siku na wakati
uliotajwa kwenye ripoti hiyo.
Ripoti hiyo imemtaja pia mtu kama Dk. Charles
Kimei, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB ikidai kwamba nilikutana naye na
alishiriki kwenye igizo hilo la kunipa fedha.
Niseme mapema kwamba tangu kuzaliwa kwangu sijawahi
hata mara moja kukutana na Dk.
Kimei popote pale ndani au nje ya nchi. Kumuingiza mtu ambaye amejenga jina
lake kwenye taaluma ya kibenki kwa sababu tu ya lengo ovu la kumchafua Zitto
Zuberi Kabwe si uungwana bali ni unyama.
Kutokana na uchafuzi huu wa wazi dhidi ya taswira
yangu binafsi na watu wengine walioingizwa kwenye mkumbo huu, nimeandika rasmi
kwa Katibu Mkuu wa Chadema, Dk.Wilbrod Slaa kumwomba athibitishe kwamba
kinachoitwa Taarifa ya Siri ya Chadema ni kweli ni taarifa ya chama au
kiikanushe ili niweze kuchukua hatua za kisheria dhidi ya waandishi wa hekaya
hiyo.
Cha ajabu, nimepokea ujumbe wa kutishiwa maisha
kutoka kwa mtu anayejiita Theo Mutahaba na kuahidiwa KUPOTEZWA endapo nitaendelea na jitihada zangu za kupambana na
ufisadi na kutafuta haki kwa Watanzania wote pasipo kujali tofauti zao za
kiitikadi, kikanda, kikabila na kidini.
Natarajia kuchukua hatua kali za kisheria dhidi ya
wote ambao wamehusika na utungaji na uenezi wa taarifa hii. Nitahakikisha
kwamba wahusika wanatafutwa na kufunguliwa mashitaka stahiki ya upotoshaji na
kuchafuana.
Ni matarajio yangu kwamba wale wenye mapenzi mema
na Tanzania, mimi binafsi na utawala wa sheria, wataelewa nia yangu ya kutafuta
haki katika suala hili.
Nimeamua kujitolea maisha yangu kwa ajili ya
Watanzania na kama alivyopata kusema Rais Mstaafu wa Afrika Kusini, Nelson
Mandela; “Struggle Is My Life.”
Forward
Ever, Backward Never- Kwame Nkrumah
Zitto Kabwe (Mb)
10/11/2013
RIPOTI YA
SIRI JUU YA ZITTO KABWE KUSALITI CHAMA CHAKE KWA KUPOKEA PESA KUTOKA CCM.

UCHUNGUZI WA MWENENDO WA KISIASA WA ZITTO Z. KABWE
NDANI NA NJE YA CHADEMA.
Tangu mwaka 2008 mwenendo wa kisiasa wa Zitto Zuber Kabwe ulianza
kutiliwa shaka na wanachama wa CHADEMA ndani na nje ya chama, Hili lilipelekea
kuibuka maneno ya chini kwa chini kuwa anakisaliti chama.
Hilo liliilazimu timu ya kijasusi ya chama kuanza kufuatilia nyendo zake kwa ukaribu zaidi usiku na mchana ili kujiridhisha pasipo kuacha chembe ya mashaka. Ifahamike kuwa chama kina idara ya ulinzi na usalama wa chama na viongozi wake yenye uwezo wa kufuatilia nyendo za majasusi wa nje na viongozi na wanachama wake popote walipo kwa masaa 24. Baada ya kujiridhisha kuwa mwenendo wake ni wa mashaka, bila kusita timu ya ujasusi ilianza kazi rasmi ya ujasusi dhidi ya nyendo zote za Zitto Zuberi Kabwe
Hilo liliilazimu timu ya kijasusi ya chama kuanza kufuatilia nyendo zake kwa ukaribu zaidi usiku na mchana ili kujiridhisha pasipo kuacha chembe ya mashaka. Ifahamike kuwa chama kina idara ya ulinzi na usalama wa chama na viongozi wake yenye uwezo wa kufuatilia nyendo za majasusi wa nje na viongozi na wanachama wake popote walipo kwa masaa 24. Baada ya kujiridhisha kuwa mwenendo wake ni wa mashaka, bila kusita timu ya ujasusi ilianza kazi rasmi ya ujasusi dhidi ya nyendo zote za Zitto Zuberi Kabwe
MAMBO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI DHIDI
YA ZITTO KABWE.
Kumfuatilia yeye binafsi nyendo zake.
Kufuatilia mawasiliano yake ya simu.
Kufuatilia mawasiliano yake ya barua pepe.
Kufuatilia pato lake nje ya kazi zake halali za kibunge.
Kufuatilia mawasiliano yake ya simu.
Kufuatilia mawasiliano yake ya barua pepe.
Kufuatilia pato lake nje ya kazi zake halali za kibunge.
SEHEMU YA KWANZA 2008
Chombo chetu cha ujasusi tulichokipandikiza kwa siri katika nyendo zote
za Zitto Kabwe na ndani ya vikao vya mwanzo kabisa vya Zitto na viongozi
serikalini, nahata vile vikao muhimu vya idara ya ujasusi ya chama cha
mapinduzi (ccm), kinatupa fursa ya kuweka msingi wa kuimarisha chama cha
CHADEMA na kutenda haki kidemokrasia kwa maslahi ya chama na Taifa kwa ujumla:
Mnamo Jumatatu ya tarehe 16/6/2008 saa 09:46 asubuhi, Mh Zitto Kabwe
kupitia simu yake ya kiganjani namba +255754787550 alipokea simu kutoka kwa
Ramadhani Ighondu mwenye namba +255717760473 ambaye ni afisa Usalama wa Taifa
anayefanya kazi ikulu hivi sasa. Alijitambulisha kuwa yeye ni Usalama wa
Taifa ametumwa na mkuu wake wa kazi aje aongee na Zitto, Maelezo ya
msingi katika simu hii ilikuwa ni bwana Ramadhani Ighondu kuomba miadi ya
kuonana kutokana na agizo la mkuu wake wa kazi.
Siku sita baadae yaani Jumatatu ya tarehe 23/6/2008 saa 07:52 asubuhi,
Zitto alipigiwa tena simu na Ramadhani Ighondu akimkumbusha maongezi yao waliyo
fanya siku 6 zilizopita na kumuomba siku hiyo jioni waonane, ingawa Zitto
alionekana kusita kidogo lakini baadae alikubali, Walikubaliana wakutane Sea
Cliff Hotel, ilipofika jioni ya siku hiyo Zitto akiwa na marafiki zake
wawili Omar Lyasa na Abdalah Said walifika Sea Cliff Hotel wakaketi na kuagiza
vinywaji, Baada ya kama dakika kumi hivi Zitto alipokea simu ikimuelekeza alipo
bwana Ramadhani Ighondu kisha Zitto akawaambia marafiki zake wamsubiri kidogo,
akaondoka kuelekea aliko elekezwa…..
Mashariki mwa lango kuu la kuingilia Sea Cliff Hotel mita kama tatu tu
kuna mlango mdogo unaoelekea kwenye vyumba maalumu (VIP), chumba namba 8 ndicho
Zitto alichokuwa anaelekezwa kwa simu kuingia, chumba hiki kina meza moja na
sofa zilizo zunguka meza ile zenye uwezo wakukaliwa na watu watano hadi sita,
Ndani ya chumba kile Zitto anakutana na watu watatu ambao ni Steven
Wasira, Ramadhani Ighondu na Abdalla Punja (hawa wote ni TISS)
Mazungumzo yao ndani ya chumba hiki yalianza maramoja, akianza Mr
Ighondu kueleza sababu za wao kumuita Zitto, kikubwa ilikuwa ni “bwana
Zitto, serikali (ikulu) inakutaka uache kuibana na kuishurutisha hasa kwa hili
suala la Buzwagi”. Tunaomba kujua shida yako kubwa ni nini?” Ighondu
alihoji, Katika majibu yake Zitto anajibu, “Mimi napigania haki za
watanzania, nimechaguliwa na wanakigoma na watanzania wameniamini ni
wawakilishe hivyo”, Lakini mashambulizi ya ushawishi yalipozidi Zitto
alilegeza msimamo wake.
Katika kikao hiki kilichochukua masaa mawili, Zitto anaonekana kusita
sana na anaomba apewe muda akafikirie aliyoitiwa, wote wanaafiki na kukubali
ombi la Zitto na kikao kinaahirishwa.
Siku tatu tu baada ya kikao cha Hotel ya Sea Cliff, yaani tarehe
27/6/2008 Zitto anakutana na Naibu Mkurugenzi wa TISS Ndugu Jack Zoka jijini
Arusha, hiki sio kikao chao maalumu bali wamekutana kwa mara ya kwanza
wote wakiwa kwenye shughuli za kitaifa, Katika mazungumzo yao wanaonekana ni
watu wanaofahamiana japo si kwa undani, Baada ya maongezi ya dakika kadhaa
wakiwa wamesimama, Mr Zoka alimuuliza “Vipi vijana wangu walikupa ujumbe,
umefikia wapi?” Zitto aliitikia kwa kucheka na kusema “yap nipo
tayari, lakini nihakikishieni usalama wangu” Katika maongezi haya, Zoka
anasikika akisema“Ondoa shaka” Kisha Mr Zoka anamuagiza Zitto kuwa kesho
kutwa yake aende kwa Charles Kimei (Mkurugenzi CRDB Benki) pale Makao makuu,
atayakuta maagizo yake huko.
Tarehe 30/6/2008 majira ya saa 12:22 za alasiri, Zitto akiwa ameongozana
na kijana mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Rajabu Abdala anaingia eneo la CRDB
Benki mtaa wa Azikiwe, na kwenda moja kwamoja kuonana na Bw Kimei, baada ya
salamu haikuchukua muda mrefu, Zitto akapelekwa katika moja ya vyumba maalumu
vya bank hiyo kwenye jengo hilohilo la Azikiwe, baada ya kufika katika chumba
hicho Zitto alihamaki kuwakuta watu wawili katika chumba hicho, mmoja alikuwa ni
mfanyakazi wa bank hiyo aliyetambuliwa kwa jina la Maselina K. Kombe na
mwingine hakuwa mgeni machoni mwa Zitto, alikuwa ni Ramadhani Ighondu yule wa
TISS waliyekuwa naye kwenye kikao cha awali kule Sea Cliff Hotel wiki
chache zilizopita, Zitto alikabidhiwa Briefcase nyekundu iliyokuwa imesheheni
pesa halali za kitanzania kiasi cha Shilingi milioni 250.
Wakati hayo yakitendeka yule kijana aliyekuja na Zitto alikuwa kwenye
gari aina ya Toyota Mark 11 No T 134 AAB yenye rangi nyeupe na vioo vyeusi
(Tinted). Baada ya makabidhiano yaliyochukua kama dakika 10 tu, Mr Ighondu
alimwambia Zitto, “tunataka utulivu, mengi mazuri yanakuja utafurahia
kijana,” Na kisha Zitto akatoka na begi lake (Briefcase) na kuingia nalo
katiga gari ile na kutokomea.
Uchunguzi umeonyesha kuwa pesa ile aliyokabidhiwa ndugu Zitto, ilitoka
katika akaunti Namba 0J56708968923 yenye
jina la Shani Maya, ambapo inaonyesha kuwa akaunti hii ilifunguliwa CRDB tawi
la azikiwe tarehe 25/6/2008 saa 10:14 asubuhi, kisha tarehe 27/6/2008
iliingizwa kiasi cha pesa za kitanzania milioni 400. Na tarehe 30/6/2008 pesa
hizo zilitolewa zote na akaunti hii ilifungwa. Madhumuni ya pesa hii kutoka
CRDB kwenda kwa Zitto yanathibitishwa na kikao cha 23/6/2008 pale Hotel ya Sea
Cliff kuwa ni kupunguza kasi ya Zitto kuibana serikali hasa anapo kuwa bungeni.
Na kweli kasi yake iliyozoeleka kwenye kuibana serikali akiwa bungeni ikapungua
na kuweka msingi wa ujenzi wa mashaka juu ya mwenendo wake wa kibunge.
SEHEMU YA PILI
Mnamo Jumatatu ya tarehe 30/11/2009 saa 04:30 asuhuhi wakati wa
maandalizi ya uchaguzi wa mkuu wa 2010, idara ya ujasusi ya ccm
ilikutana kwa siri pale Moven Pick/SERENA Hotel, ndani ya idara hii wakiwamo
Jack Zoka, Wilson Mkama, Kingunge Ngombale Mwiru, Jakaya Kikwete, Nape Nnauye,
Fred Kimati, Steven Wasira, Ramadhani Ighondu, Martin Palakyo, Mwigulu Nchemba,
Ahamed Msangi na Abdalla Punja. Katika kikao hiki yalijadiliwa mengi sana,
lakini kubwa lilikuwa nikukabiliana na vyama vya upinzani hususani
CHADEMA, zilipangwa mbinu nyingi sana juu ya Chadema, Mbinu
hizo ni kama ifuatavyo:
Kuwanunua wagombea ubunge na Udiwani (Mtakumbuka wagombea wetu kadhaa
walikuja kununuliwa na chama kina ushahidi kwenye hili).
Kuwanunua VIONGOZI wajuu wa CHADEMA.
Kutumia TISS kutisha wagombea na wanachama wa Chadema (Hii ilikuwa ni kuwakamata au kuvuruga mikutano).
Kuwaua baadhi ya wafuasi wa Chadema, viongozi wa Chadema na wabunge.
Kuwanunua VIONGOZI wajuu wa CHADEMA.
Kutumia TISS kutisha wagombea na wanachama wa Chadema (Hii ilikuwa ni kuwakamata au kuvuruga mikutano).
Kuwaua baadhi ya wafuasi wa Chadema, viongozi wa Chadema na wabunge.
Lakini walitilia mkazo zaidi njia ya kwanza ,ya pili na ya tatu ambapo
kikao kilijiridhisha kuwa mmoja wa VIONGOZI wa Chadema ambae ni Zitto Kabwe ni
mtu wao ambaye wamesha anza kumtumia, kikubwa liandaliwe fungu tu kwa ajili
yakuanza mikakati yao, Waliafikiana mambo mengi kwaajili ya uchaguzi wa mwaka
ambao ungefuata, na wakakubaliana mambo kadhaa ambayo walimuagiza Mr Zoka
akamwambie Zitto nini cha kufanya ili kupunguza nguvu ya upinzani.
Kwa upande wake Zoka alikiambia kikao kuwa Zitto amemthibitishia kuwa
yeye anawafuasi wakutosha ndani ya chama ambapo watamuunga mkono kwa lolote
hivyo kikubwa ni pesa tu. Lakini kwanza kikao hicho kilimtaka Mr Zoka amwambie
Zitto kuwa taarifa zote zinazoihusu Chadema na za kila vikao vya ndani vya
chama zinatakiwa pia ziifikie timu hiyo ya kijasusi ya ccm, pili walitaka Zitto
apunguze ushiriki katika majukwaa ya chama na shughuli nyingine za chama. Baada
ya kikao sasa ulikuwa ni utekelezwaji wa maadhimio yao.
Zoezi la kikao cha tarehe 30/11/2009 linaonyesha kuzaa matunda hasa
baada ya kubainika mawasiliano ya karibu sana kati ya Zitto na Jack Zoka,
Kwamfano: Jumamosi ya tarehe 6/12/2009 saa 03:43 asubuhi Zoka kupitia
namba yake ya simu +255756809535alimpigia
simu Zitto kupitia simu yake ya kiganjani ambayo ni +255754787550, wakati wa
mawasiliano yao haya ya simu Zitto alikuwa Tabata na maongezi yao yalihusu
kikao cha 30/11/2009 na kile walichoamua timu ya kijasusi ya chama (ccm) na
matakwa yao kwa Zitto. Ndani ya maongezi yao yaliyochukua dakika 68, Zitto
anasema, “Mr kazi hii ni nzito, vipi mmeongeza hela? Isije kuwa kama ile
ya mwaka jana.” Anajibiwa na Zoka kuwa“ondoa shaka una dili na Jamhuri,
hela sio tatizo”
Lakini zaidi Zitto anamshauri bwana Zoka kuwa utaratibu wa uchukuaji wa
pesa ubadilike, “Mr Jack ile staili ya uchukuaji pesa kule CRDB mwaka jana
ilinitisha kidogo halafu hii isije ikabumburuka vyombo vya habari vipo makini
kweli sasa hivi” Anajibiwa na Bwana Zoka kuwa “Tunazo njia nyingi
sana ambazo si TAKUKURU wala polisi wanaoweza kubaini, tusikilize sisi,
tutakacho kuambia ujue ni salama, Haya Mr (Zitto) wewe unayajua mazingira
vizuri katika nchi moja ya Ulaya?, au unaweza kutafuta mtu unae mwamini huko
ili atumiwe yeye hiyo pesa na awe wa kuaminika ili tumtumie kwa vipindi hivi
vyote, kisha uifuate huko au uangalie mwenyewe njia sahihi ya kuichukua huko”
Suala la kumpata mtu Ulaya lilionekana kama zito kidogo kwa Zitto, kwani
aliomba wawasiliane kesho yake ili awe na jibu la uhakika.
Tarehe hiyo hiyo 6/12/2009 ya Jumamosi saaa 23:05 usiku, Zitto kupitia
simu yake ya mkononi namba +255754787550,
alipiga namba +4915739444853, kimaongezi
walionekana ni watu wanafahamiana sana, alikuwa anaongea na mwanamke ,waliongea
mengi lakini kubwa lilikuwa ni Zitto kuomba kupitisha hela yake kwenye akaunti
ya huyu mtu. Mwanamke huyu alihoji kama pesa hiyo ni nyingi na haina madhara?
Lakini alijbiwa sio nyingi na haina madhara kwakuwa inatoka serikalini na chama
tawala, Mwanamke huyo alizidi kuhoji zaidi, “sasa vyombo vya dola vya hapa
Berlin vikinihoji nitasema nimepata wapi?” Anajibiwa
kuwa “Darling huniamini? Nimesoma na wewe na nimefanya kazi na
wewe, lakini huniamini? Utasema umelipwa nchini Tanzania kwa kazi
yako”, kisha katika maongezi ya hapa na pale dada akakubali na baada
ya dakika kumi akamtumia akaunti namba 033B 33093101 Berliner Bank German.
Baada ya kuipata akaunti hii Zitto hakuchelewa, akaipeleka kwa Mr Zoka
kwa njia ya ujumbe wa maandishi (sms), baada ya dakika 5, Zoka akampigia simu
Zitto kupitia namba+255756809535 nae
Zitto akapokea kupitia namba +255754787550, na
mazungumzo yao yaliyochukua dakika 6 yakaendelea, Zoka aliuliza swali
kuwa “Mwenye akaunti hiyo huko Ujerumani unamwamini na unamjua
vema?” Majibu ya Zitto yalikuwa “Ondoa shaka Mr Jack nafanya kazi ya
hatari na wewe , siwezi kukuangusha au kujiangamiza, huyu mtu nimesoma nae na
ninamfahamu in and out” Zoka akajibu “ok”.
Jumatano ya tarehe 16/12/2009 majira ya saa 13:12 za mchana kwa
Ujerumani akaunti namba 033B
33093101 Berliner Bank, ziliingizwa dola za kimarekani 266,000 pesa hizi katika
uchunguzi zimebainika kuwa zilitoka Tanzania katika Benki ya NMB tawi la NMB
House jiji Dar katika akaunti namba 2231604658 yenye jina la TSA, hii ni moja ya akaunti za siri za TISS, ambapo wao ndio
huzisimamia akaunti zao zote kwa kutumia mawakala (TISS) walio ndani ya benki
hiyo.
Kujiridhisha kuwa pesa hiyo ilifika Ujerumani, kunabainishwa na
mawasiliano ya barua pepe kati ya Zitto Kabwe na yule mwanamke wa
kijerumani aliyemtumia akaunti ya benki, anafahamika kwa jina la Andrea Cordes, mawasiliano
yaliyofanywa tarehe 17 alhamisi saa 20:34 usiku ambapo Andrea kupitia barua pepe
yake acodes@gmail.com anamwandikia Zitto
kupitia barua pepe ya Zitto iitwayo zittokabwe@gmail.com ,
Andea anasema “Hey sweet, mzigo yako imefika, can we
talk?” Ujumbe huu unajibiwa na Zitto saa 21:03 usiku huo
kwakusema, “I’m so sorry my darling, nimechelewa kukujibu, I will call you
soon”
Saa 23:23 Zitto Kabwe kupitia simu yake ya kiganjani namba +255754787550, alimpiga Andrea Codes kupitia namba +4915739444853, akimweleza kuwa anashukuru kwa mzigo kumfikia, lakini
anataka kumpa utaratibu wa kuichukua hiyo pesa, ambapo alimweleza kuwa atakuwa
anaichukua kidogo kidogo kila mwezi kwa njia ya Western Union kuanzia dola
20,000 hadi dola 50,000, wakati huo Andea Codes atakula kamisheni ya dola
25,000.
Uchunguzi wa ndani umebaini pesa hiyo ilitumwa kwa Zitto ndani ya
miezi 8 kwa vipindi tofauti kupitia Western Union kama alivyoomba, na alikuwa
anachukulia maeneo tofauti tofauti hapa jijini Dar, vilevile uchunguzi umebaini
kuwa mwanamke huyu ni Mjerumani aliyewahi kuishi Tanzania na amezaa mtoto mmoja
hapa Tanzania, Mwanamke huyu anaitwa Andrea Cordes, anaishi Mechernich
Ujerumani, mtaa namba 134, nyumba namba 141, anafanya kazi UN Women Nationales Komitee Deutschland e.V. Shirika
ambalo shughuli zake huendeshea pia Tanzania. Katika uchunguzi zaidi imebainika
kuwa akaunti aliyomtumia Zitto ni ya kwake binafsi, katika ushahidi tuliobaini
kupitia benki iitwayoBerliner
Bank yenye Code No Hardenbergstraße 32, 10623 iliyopo mjini Berlin
nchini Ujerumani.
SEHEMU YA TATU 2010Uhusiano usio wa
kawaida na wa karibu wa Zitto na viongozi wa ccm, serikali na wale wa Usalama
wa Taifa uliendelea kushamiri hasa kipindi cha kampeni na kipindi cha uchaguzi
mkuu wa 2010, Mfano tarehe 7/9/2010 siku ya jumanne saa 11:21 asubuhi, Ahmed
Msangi kupitia namba yake ya simu ya kiganjani +255784277884, alimpigia Zitto
kupitia simu ya kiganjani namba +255754787550 waliongea mambo mengi japo kwa muda
mfupi, na jambo kubwa lilikuwa ni “vipi kuna kipya ndani ya
Chadema?” Zitto alijibu “yapo mengi lakini hayana impact kwa
ccm” Msangi anajibu “Ok mr nikutakie siku njema”
Lakini mawasiliano ya simu yaliyochukua mda mrefu zaidi yalikuwa
kati ya Zitto na Zoka yaliyofanywa tarehe 10/9/2010 siku ya ijumaa saa
07:04 jioni na mazungumzo yao yalichukua dakika 71, Mazungumzo haya yalifanywa
wakati huo Zitto akiwa katika hoteli ya Blue Pearl Ubungo, Mr Zoka
alitaka kujua mambo kadhaa kuelekea Uchaguzi mkuu, kwanza alimuuliza “Mr
Zitto umejiandaaje, una timu ya kazi?” Zitto akajibu “nipo fiti
kiakili na kimwili na nina timu ya kutosha, ondoa shaka juu yangu, kama ipo
hiyo hela tumeni tu Ujerumani kwenye ile akaunti, na ningeomba kukutana na
mwenyeti wenu (rais JK)” Zoka lijibu “hilo halina tabu nitalifikisha
sehemu husika bwana Zitto”,
Uchunguzi umebainisha kuwa akaunti namba 033B 33093101 Berliner Bank ya Germaniliendelea kuingizwa pesa kwa
nyakati tofauti kutoka Tanzania kupitia NMB akaunti namba 2231604658 yenye jina la TSA ambayo ni moja ya akaunti za
siri za TISS.
Mfano: tarehe 29/9/2010 siku ya juma tano, kiasi cha dola 250,000
kiliingizwa kwenye akaunti hii 033B
33093101 ya Ujerumani, kutoka akaunti namba 2231604658 NMBTanzania,
Tarehe 06/01/2011 siku ya alhamisi, kiasi cha dola 240,000 kiliingizwa
kwenye akaunti hii 033B
33093101 ya Ujerumani, kutoka akaunti namba 2231604658 NMB Tanzania,
Tarehe 21/6/2011 siku ya jumanne, kiasi cha dola 240,000 kiliingizwa
kwenye akaunti hii 033B
33093101 ya Ujerumani, kutoka akaunti namba 2231604658 NMB Tanzania,
Tarehe 09/12/2011 siku ya ijumaa, kiasi cha dola 255,000 kiliingizwa
kwenye akaunti hii 033B 33093101 ya
Ujerumani, kutoka akaunti namba 2231604658
NMB Tanzania,
Tarehe 02/02/2012 siku ya alhamisi, kiasi cha dola 260,000 kiliingizwa
kwenye akaunti hii 033B 33093101 ya
Ujerumani, kutoka akaunti namba 2231604658
NMB Tanzania,
Tarehe 14/05/2012 siku ya jumatatu, kiasi cha dola 250,000 kiliingizwa
kwenye akati hii 033B
33093101 ya Ujerumani, kutoka akaunti namba 2231604658 NMB Tanzania,
Tarehe 13/12/2012 siku ya alhamisi, kiasi cha dola 255,000 kiliingizwa
kwenye akati hii 033B 33093101 ya
Ujerumani, kutoka akaunti namba 2231604658
NMB Tanzania,
Uchunguzi umebainisha kuwa pesa zote zilimfikia Zitto kwa njia ya
Western Union akitumiwa dola 50,000 mpaka dola 20,000 kati ya wiki mbili mpaka
mwezi mmoja.
SEHEMU NNE: MATUMIZI YA PESA HIYO
Uchunguzi umezidi kubaini kuwa kuanzia mwanzoni mwa mwaka 2011, kutoka
kuugwa mkono na wanachadema kama mwanasiasa makini, Zitto aliamua kuunda kundi
la uasi ndani ya chama. Baadhi ya waliounda kundi hili ni:
Zitto Z. Kabwe +255754787550/756809535/713730256Juliana
Shonza +255714669850/756359073
Habib Mchange +255762178678
Mtela Mwampamba +255718037358/755178927
Gwakisa Burton +255713316790
Eddo Makata +255757149043/655148758
Greyson Nyakarungu +255755023503
Adams Chagulani +255767137831
Deogratius Kisandu +255655025609
John M. Shibuda +255754465597
Kitila Mkumbo +255754301908
Exaud Mamuya +255767160685 Ben Saanane +255768078523
Habib Mchange +255762178678
Mtela Mwampamba +255718037358/755178927
Gwakisa Burton +255713316790
Eddo Makata +255757149043/655148758
Greyson Nyakarungu +255755023503
Adams Chagulani +255767137831
Deogratius Kisandu +255655025609
John M. Shibuda +255754465597
Kitila Mkumbo +255754301908
Exaud Mamuya +255767160685 Ben Saanane +255768078523
Timu ya upelelezi imebaini kuwa kundi hili lilikuwa linapokea fedha
kutoka kwa Zitto kwa njia ya M-Pesa, Uchunguzi umebaini kuwa kuanzia 2011 kundi
hili lilianza kutumiwa pesa na Zitto kwa njia ya M-Pesa kila mwezi, ambapo kila
mwanakundi alikuwa akipokea kati ya 150,000/= mpaka 200,000/= , na ilipofika
mwishoni mwa mwaka 2012 kundi hili sasa likawa linalipwa karibu kwa wiki,
Takwimu za malipo ya wafuasi wa kundi
hili kutoka kwa Zitto kwa mwaka 2012 zinaonyesha walilipwa kwa njia ya
M-PESA No+255756809535 hii ni namba mojawapo ya Zitto Zuberi Kabwe:
Tarehe 25/2/2012 saa 10:09 asubuhi, Zitto Kabwe kupitia +255756809535 aliwatumia
shilingi 150,000/= wafuasi
wa kundi lake, Juliana
Shonza +255756359073, Habib Mchange +255762178678, Mtela Mwampamba
+255755178927, Gwakisa Burton +255713316790, Eddo Makata +255757149043,
Greyson Nyakarungu +255755023503, Deogratius Kisandu +255655025609, Adams
Chagulani +255767137831, Exaud Mamuya +255767160685, Ben Saanane
+255768078523,
Baada ya hapo saa 10:32 asubuhi hiyohiyo Zitto Kabwe kupitia namba yake
ya simu+255756809535 aliwatumia
shilingi 200,000/= Mkumbo
Kitila +255754301908 na
John Shibuda +255754465597
Tarehe 26/3/2012 saa 11:12 asubuhi, Zitto Kabwe kupitia namba yake ya
simu+255756809535 aliwatumia
shilingi 150,000/= wafuasi
wa kundi lake, Juliana
Shonza +255756359073, Habib Mchange +255762178678, Mtela Mwampamba
+255755178927, Gwakisa Burton +255713316790, Eddo Makata +255757149043,
Greyson Nyakarungu +255755023503, Deogratius Kisandu +255655025609, Adams
Chagulani +255767137831, Exaud Mamuya +255767160685, Ben Saanane
+255768078523, Baada ya hapo saa 11:43 asubuhi hiyohiyo Zitto Kabwe kupitia
namba yake ya simu +255756809535 aliwatumia
shilingi 200,000/= Mkumbo
Kitila +255754301908 na
John Shibuda +255754465597
Tarehe 20/4/2012 saa 09:11 asubuhi, Zitto Kabwe kupitia namba yake ya
simu+255756809535 aliwatumia
shilingi 150,000/= wafuasi
wa kundi lake, Juliana
Shonza +255756359073, Habib Mchange +255762178678, Mtela Mwampamba
+255755178927, Gwakisa Burton +255713316790, Eddo Makata +255757149043,
Greyson Nyakarungu +255755023503, Deogratius Kisandu +255655025609, Adams
Chagulani +255767137831, Exaud Mamuya +255767160685, Ben Saanane
+255768078523, Baada ya hapo saa 10:30 asubuhi hiyohiyo Zitto Kabwe kupitia
namba yake ya simu +255756809535 aliwatumia
shilingi 200,000/= Mkumbo
Kitila +255754301908 na
John Shibuda +255754465597
Tarehe 22/5/2012 saa 10:15 asubuhi, Zitto Kabwe kupitia namba yake ya
simu+255756809535 aliwatumia
shilingi 150,000/= wafuasi
wa kundi lake, Juliana
Shonza +255756359073, Habib Mchange +255762178678, Mtela Mwampamba
+255755178927, Gwakisa Burton +255713316790, Eddo Makata +255757149043,
Greyson Nyakarungu +255755023503, Deogratius Kisandu +255655025609, Adams
Chagulani +255767137831, Exaud Mamuya +255767160685, Ben Saanane +255768078523,
Baada ya hapo saa 11:02 asubuhi hiyohiyo Zitto Kabwe kupitia namba yake ya
simu +255756809535 aliwatumia
shilingi 200,000/= Mkumbo
Kitila +255754301908 na
John Shibuda +255754465597
Tarehe 28/6/2012 saa 13:51 mchana, John M. Shibuda kupitia namba yake ya simu+255754465597 aliwatumia
shilingi 150,000/= wafuasi
wenzake, Habib
Mchange +255762178678, Mtela Mwampamba +255755178927, Gwakisa Burton
+255713316790, Eddo Makata +255757149043, Deogratius Kisandu +255655025609,
Adams Chagulani +255767137831, Exaud Mamuya +255767160685, Ben Saanane
+255768078523, Greyson Nyakarungu +255755023503, Juliana Shonza +255756359073,
Baada ya Shibuda kuwalipa 28/6/2012
saa 13:51 mchana, sasa Zitto alibadili mfumo wa malipo ukawa wa TIGO PESA
+255713730256 lakini viwango vilevile na mtiririko ulele.
Tarehe 22/7/2012 saa 08:17 asubuhi, Zitto Kabwe kupitia namba yake ya
simu +255713730256 aliwatumia
shilingi 150,000/= wafuasi
wa kundi lake, Ben
Saanane +255768078523, Adams Chagulani +255767137831, Juliana Shonza
+255756359073, Habib Mchange +255762178678, Mtela Mwampamba +255755178927,
Gwakisa Burton +255713316790, Eddo Makata +255757149043, Greyson
Nyakarungu +255755023503, Deogratius Kisandu +255655025609, Exaud Mamuya
+255767160685, Kisha saa 09:38 asubuhi hiyohiyo Zitto Kabwe kupitia namba
yake ya simu +255713730256 aliwatumia
shilingi 200,000/= Mkumbo
Kitila +255754301908 na
John Shibuda +255754465597
Tarehe 24/8/2012 saa 09:06 asubuhi, Zitto Kabwe kupitia ++255713730256 aliwatumia
shilingi 150,000/= wafuasi
wa kundi lake, Ben
Saanane +255768078523, Adams Chagulani +255767137831,Juliana Shonza
+255756359073, Habib Mchange +255762178678, Mtela Mwampamba +255755178927,
Gwakisa Burton +255713316790, Eddo Makata +255757149043, Greyson
Nyakarungu +255755023503, Deogratius Kisandu +255655025609, Exaud Mamuya
+255767160685, Kisha saa 09:23 asubuhi hiyohiyo Zitto Kabwe kupitia namba
yake ya simu +255756809535 aliwatumia
shilingi 200,000/= Mkumbo
Kitila +255754301908 na
John Shibuda +255754465597
Tarehe 02/09/2012 saa 09:52 asubuhi, Zitto Kabwe kupitia +255713730256 aliwatumia
shilingi 150,000/= wafuasi
wa kundi lake, Ben
Saanane +255768078523, Adams Chagulani +255767137831, Juliana Shonza
+255756359073, Habib Mchange +255762178678, Mtela Mwampamba +255755178927,
Gwakisa Burton +255713316790, Eddo Makata +255757149043, Greyson
Nyakarungu +255755023503, Deogratius Kisandu +255655025609, Exaud Mamuya
+255767160685, Kisha saa 10:43 asubuhi hiyohiyo Zitto Kabwe kupitia namba
yake ya simu +255713730256 aliwatumia
shilingi 200,000/= Mkumbo
Kitila +255754301908 na
John Shibuda +255754465597
Tarehe 20/09/2012 saa 10:19 asubuhi, Zitto Kabwe kupitia +255713730256 aliwatumia
shilingi 150,000/= wafuasi
wa kundi lake, Ben
Saanane +255768078523, Adams Chagulani +255767137831, Juliana Shonza +255756359073,
Habib Mchange +255762178678, Mtela Mwampamba +255755178927, Gwakisa
Burton +255713316790, Eddo Makata +255757149043, Greyson Nyakarungu
+255755023503, Deogratius Kisandu +255655025609, Exaud Mamuya
+255767160685, Baada ya hapo saa 10:53 asubuhi hiyohiyo Zitto Kabwe
kupitia namba yake ya simu +255713730256
aliwatumia shilingi200,000/= Mkumbo
Kitila +255754301908 na
John Shibuda +255754465597
Tarehe 24/10/2012 saa 11:18 asubuhi, Zitto Kabwe kupitia +255713730256 aliwatumia
shilingi 150,000/= wafuasi
wa kundi lake, Ben
Saanane +255768078523, Adams Chagulani +255767137831, Juliana Shonza
+255756359073, Habib Mchange +255762178678, Mtela Mwampamba +255755178927,
Gwakisa Burton +255713316790, Eddo Makata +255757149043, Greyson
Nyakarungu +255755023503, Deogratius Kisandu +255655025609, Exaud Mamuya
+255767160685, Kisha saa 11:52 asubuhi hiyohiyo Zitto Kabwe kupitia namba
yake ya simu +255713730256 aliwatumia
shilingi 200,000/= Mkumbo
Kitila +255754301908 na
John Shibuda +255754465597
Tarehe 25/11/2012 saa 10:34 asubuhi, Zitto Kabwe kupitia +255713730256 aliwatumia
shilingi 150,000/= wafuasi
wa kundi lake, Juliana
Shonza +255756359073, Habib Mchange +255762178678, Mtela Mwampamba
+255755178927, Gwakisa Burton +255713316790, Eddo Makata +255757149043,
Greyson Nyakarungu +255755023503, Deogratius Kisandu +255655025609, Adams
Chagulani +255767137831, Exaud Mamuya +255767160685, Baada ya hapo saa
10:56 asubuhi hiyohiyo Zitto Kabwe kupitia namba yake ya simu+255713730256 aliwatumia
shilingi 200,000/= Mkumbo
Kitila +255754301908 na
John Shibuda +255754465597
Tarehe 29/11/2012 saa 12:12 mchana, Zitto Kabwe kupitia +255713730256 aliwatumia
shilingi 150,000/= wafuasi
wa kundi lake, Juliana
Shonza +255756359073, Habib Mchange +255762178678, Mtela Mwampamba
+255755178927, Gwakisa Burton +255713316790, Eddo Makata +255757149043,
Greyson Nyakarungu +255755023503, Deogratius Kisandu +255655025609, Adams
Chagulani +255767137831, Exaud Mamuya +255767160685, Baada ya hapo saa
12:32 mchana huohuo Zitto Kabwe kupitia namba yake ya simu+255713730256 aliwatumia
shilingi 200,000/= Mkumbo
Kitila +255754301908 na
John Shibuda +255754465597
Kundi hili lilikuwa na mipango mingi sana, lakini lengo/shabaha/dhamira
ilikuwa ni moja tu nayo ni kukidhohofisha Chadema kwa manufaa ya ccm.
Uthibitisho wa lengo la kundi hili unabainishwa katika mawasiliano ya simu kati
ya Zitto na wanakikundi hicho, katika ujumbe wa maandishi (sms)
aliousambaza kwa wanakikundi hiki Zitto anasisitiza umakini ili wasije
kujulikana na Chama, vilevile anawasisitiza kukisajili kikundi hiki ikiwa ni
pamoja na kufungua akaunti ya benki ya kikundi hiki,
Ujumbe mwingine aliousambaza tarehe 30/11/2012 saa 08:21 kwa wafuasi wa
kundi hili kupitia namba +255713730256, unasema, “Ni
lazima tukidhibiti hiki kibabu vile vile lazima tumng’oe Mbowe, Tunadanganyana
tu kuwa chadema itaingia ikulu, kwanza simamieni harakati za kushinikiza kadi
ya kibabu irudishwe ccm”.
Timu ya kijasusi imejiridhidha kuwa Ben Saanane alikuwa kwenye kundi hilo kwa kazi maalumu na ameisaidia
sana timu hii ya ujasusi kupata habari muhimu za ndani za kundi hilo la
uasi lililokuwa limejipanga kwa ustadi likitumia mbinu za kuwagombanisha
viongozi wa juu wa chama hasa likilenga Mwenyekiti na Katibu mkuu, huku juhudi
za kumkwamisha mwenyekiti wa BAVICHA nazo zikipamba moto na kusukwa kwa ustadi
mkubwa, Kikundi hiki hakikuishia hapo tu kwani kilianzisha mradi wa kuwatukana
viongozi wa Chadema na familia zao, kuanzisha tuhuma za uongo na kuzisambaza
kwenye mitandao ya kijamii. Lilianzisha mradi wa kuhubiri udini, ukanda na
ukabila ndani ya chama kwa kutumia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii.
Likaanzisha tena harakati za kumpindua mwenyekiti kupitia kifupi cha jina PM7
(Pindua Mbowe 7) nk.
MAPENDEKEZO YA HATUA ZA KUCHUKUABaada ya kujiridhisha
kuwa Zitto Zuber Kabwe Mbunge wa Chadema na Naibu Katibu Mkuu wa Chadema,
ameasi Chama na ameunda kundi ndani ya chama linaloendesha vuguvugu la
mapinduzi kwa viongozi halali wa chama kwa ufadhiri wa chama tawala ccm, ikiwa
ni kinyume cha katiba na itifaki za chama, Timu ya ujasusi inapendekeza
yafuatayo:
Chama kijiridhishe bila ya kuacha chembe ya mashaka kutoka kwa wahusika
wa kikundi hiki ambao ni Zitto na wenzake, Ikiwa watakiri kuhusika, Chama
kiwaamuru wawaombe radhi wanachama.
Naibu Katibu mkuu ndugu Zitto Kabwe na Makamu Mwenyekiti wa BAVICHA
ndugu Julina Shonza wapime wenyewe kama wanastahili kuendelea na nafasi zao za
uongozi ndani ya Chama.
Ikiwa Chama kitaamua kuunda tume ya uchunguzi wa haya, wahusika wote
hasa wenye vyeo kama Zitto Kabwe na Juliana Shonza wawekwe pembeni na shughuli
za Chama ili kupisha uchunguzi huru.
Chama kiwavue uanachama Zitto Kabwe na kundi lake lote bila kusita, hii
inatokana na mikakati ya kukiangamiza chama inayoendelea ndani ya CCM kwa
ushirikiano wa Zitto Kabwe na viongozi waandamizi wa ccm.
Kuelekea 2015, Idara ya ujasusi ya chama iongezewe nguvu na mafunzo,
ikiwezekana kiundwe kikosi maalumu nje ya timu ya kijasusi iliyopo sasa na
kipewe mafunzo na vitendea kazi vya kutosha kwaajili ya ulinzi wa chama na viongozi
wake.
Chama kianzishe utaratibu wa semina au mafunzo ya kipindi kifupi na kati
kwa makada wake jinsi ya utumiaji wa mitandao ya kijamii.
Kiundwe kitengo cha propaganda za kisiasa chenye watu weledi wa mambo na
masuala mbalimbali na kipewe uwezo ili kukabiliana na propanda za chama tawala
na vyama vingine.
Chama kizidi kuchukuahatua stahiki za kimaamuzi dhidi ya viongozi au
wanachama wanao dhoofisha harakati za mabadiliko kuelekea 2015 na baada ya 2015
Mwisho tunawashukuru baadhi ya maafisa wa kijasusi wa mjini Berlin
Ujerumani waliosaidia kupata baadhi ya taarifa muhimu kutoka Ujerumani.
CHANZO: KILEWOBLOG

COMMENTS