SHAMRA SHAMRA, VIGEREGERE VYATAWALA IBADA YA PASAKA KKKT KIVULE DAR
HomeJamii

SHAMRA SHAMRA, VIGEREGERE VYATAWALA IBADA YA PASAKA KKKT KIVULE DAR

 Waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Mtaa wa Kivule, Dar es Salaam, wakiimba kwa hamasa wimbo wa kufufuka kwa Ye...

KOREA KASKAZINI YATENGENEZA TETEMEKO KUBWA KULIKO LILE LA KAGERA
DKT. HARRISON MWAKYEMBE AMPONGEZA BALOZI WA CHINA, DKT. LU
WAZIRI MKUU MAJALIWA ATEMBELEA MRADI WA KIWANDA CHA SUKARI, GEREZA MBIGIRI MKOANI MOROGORO

 Waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Mtaa wa Kivule, Dar es Salaam, wakiimba kwa hamasa wimbo wa kufufuka kwa Yesu Kristo wakati wa Ibada ya Pasaka leo. (PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG)



 Kwaya ya watoto ikiimba wimbo maalumu wa kufufuka kwa Yesu Kristo kanisani hapo leo

 Waumini wakiwa makini kusikiliza mahubiri wakati wa ibada hiyo ya Pasaka



 Waumini wakiimba na kucheza kwa furaha wimbo wa kufufuka kwa Yesu Kristo







 Wazee wa Kanisa wakiongoza kutoka nje baada ya ibada lumalizika

 Mchungaji Mungubariki Mauki (kushoto) na Mwinjilisti wa Kanisa hilo, Michael Mgaya wakiongoza kuimba wimbo wakati wa kutoka nje baada ya ibada kumalizika

 Waumini wakitoka huku wakiimba wimbo maalumu wa kufufuka kwa Yesu Kristo





 Mchungaji Mungubariki Mauki akitoa neno la kuwaombea waumini alipokuwa akimalizia ibada ya pasaka nje ya kanisa hilo

 Waumini wakisikiliza neno la mwisho kutoka kwa Mchungaji Mauki kabla ya kuruhusiwa kuondoka

 Waumini wakiondoka kanisani baada ya Ibada ya Pasaka kumalizika







 Mwinjilisti wa Kanisa hilo, Michael Mgaya akiwa katika picha ya pamoja na familia ya mmiliki wa Blog hii Richard Mwaikenda wakiwemo watoto wa majirani zake



 Mchungaji Mungubariki Mauki akipigapicha na  familia ya mmiliki wa Blog hii Richard Mwaikenda wakiwemo watoto wa majirani zake


Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: SHAMRA SHAMRA, VIGEREGERE VYATAWALA IBADA YA PASAKA KKKT KIVULE DAR
SHAMRA SHAMRA, VIGEREGERE VYATAWALA IBADA YA PASAKA KKKT KIVULE DAR
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgSuVtIwtRrQMMPlcEUr1irnk6XDKyUhcOqsUfMMWP9uk8-h1EK9mdSDA39Gx7iLyayhiNgDFkwtSNDhKT1n7d5x0v1a9ef9yJ2A0qiQLFMvRNtvBKqDgJmXy7Lf2s7MSg0s6QwECJeyYk/s640/01.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgSuVtIwtRrQMMPlcEUr1irnk6XDKyUhcOqsUfMMWP9uk8-h1EK9mdSDA39Gx7iLyayhiNgDFkwtSNDhKT1n7d5x0v1a9ef9yJ2A0qiQLFMvRNtvBKqDgJmXy7Lf2s7MSg0s6QwECJeyYk/s72-c/01.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/04/shamra-shamra-vigeregere-vyatawala.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/04/shamra-shamra-vigeregere-vyatawala.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy