MLINZI ASIMULIA WALIVYOFANIKISHA ZOEZI HILO KWA MAPOLISI . MSIKIE LIVE KWA VIDEO HAPO CHINI MLINZI wa getini akisimulia askari polisi...
MLINZI ASIMULIA WALIVYOFANIKISHA ZOEZI HILO KWA MAPOLISI . MSIKIE LIVE KWA VIDEO HAPO CHINI
MLINZI wa getini akisimulia askari polisi
jinsi majambazi walivyoingia getini na kufanikisha tukio la wizi wa
mamilioni katika kampuni ya uchapaji ya CI Group eneo la Sokota kando ya
Barabara ya Mandela Dar es Salaam alasiri leo.
Mkazi wa Dar es Salaam akijipooza na soda baada ya kushuhudia majambazi wanne waliopita na mabegi mawili yanayosadikiwa kuwa na mamilioni ya kampuni ya CI Group inayofanya kazi za uchapaji eneo la Sokota Dar es Salaam alasiri ya leo.
Baadhi ya polisi wa doria wakiwahoji wakazi wa Dar es Salaam katika njia ya makutano ya Mandela na Chang'ombe muda mchache baada ya tukio la ujambazi kuafnyika.
Baadhi ya wafanyakazi na majirani wakiwa ndani ya ofisi za kampuni hiyo baada ya majambazi kutokomea na mabegi ya fedha zilizokuwa zimetolewa benki na kuwasili kwenye majengo ya kampuni hiyo.
Tundu la risasi iliyopigwa getini wakati wa kutoka na fedha.
Loaded All PostsNot found any postsVIEW ALLReadmoreReplyCancel replyDeleteByHomePAGESPOSTSView AllRECOMMENDED FOR YOULABELARCHIVESEARCHALL POSTSNot found any post match with your requestBack HomeSundayMondayTuesdayWednesdayThursdayFridaySaturdaySunMonTueWedThuFriSatJanuaryFebruaryMarchAprilMayJuneJulyAugustSeptemberOctoberNovemberDecemberJanFebMarAprMayJunJulAugSepOctNovDecjust now1 minute ago$$1$$ minutes ago1 hour ago$$1$$ hours agoYesterday$$1$$ days ago$$1$$ weeks agomore than 5 weeks agoFollowersFollowTHIS CONTENT IS PREMIUMPlease share to unlockCopy All CodeSelect All CodeAll codes were copied to your clipboardCan not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy
COMMENTS