JK AWATUNUKU DIGRII WAHITIMU 1,179 CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA ELIMU DUCE
HomeJamii

JK AWATUNUKU DIGRII WAHITIMU 1,179 CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA ELIMU DUCE

 Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Udsm), Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete (wa pili kulia) akimkabidhi zawadi mwan...

ZIARA YA RAIS DK.SHEIN WILAYA YA MAGHARIBI A
KERO YA MAJI MAHABUSU YA WATOTO YAMALIZWA NA KANISA KATOLIKI.
WADAU WA NGO’s WAIPONGEZA SERIKALI KWA KUANZA UHAKIKI WA NGO’s NCHINI







 Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Udsm), Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete (wa pili kulia) akimkabidhi zawadi mwanafunzi bora wa Chuo Kikuu Kishiriki cha  Elimu Dar es Salaam (DUCE), Haji Mohamed wakati wa Mahafali ya Tisa ya chuo hicho leo. Jumla ya wanafunzi 1,179 walihitimu na kutunukiwa digrii za awali.

Digrii walizotunukiwa ni Elimu ya Jamii na Ualimu (B.A.Ed.) wanafunzi 864, Elimu katika Elimu ya Jamii (B.E.D. Arts) wanafunzi 52, Elimu katika Sayansi (B.Ed. Science) wahitimu 73, Sayansi ya Ualimu (B.Sc.Ed.) wahitimu 190.(PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA-KAMANDA WA MATUKIO BLOG- 0754 264203)

 Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Udsm), Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete (hayupo pichani) kuwatunuku digrii ya awali ya elimu ya jamii  na ualimu  wakati wa Mahafali ya Tisa ya chuo hicho leo jioni. Jumla ya wanafunzi 864 walitunukiwa digrii hiyo.

 wakivaa kofia zao

 Wakifurahi kwa kucheza muziki

 Ni shangwe na vigelegele

 Mhitimu Bora wa Kike akipatiwa zawadi

 Warda Jumanne akipatiwa zawadi ya kuwa mmoja wa wanafunzi Bora wa Kike

 Mwanafunzi Bora wa Jumla Haji Mohamed akionesha cheti chake

 Makamu Mkuu wa UDSM, akifurahi wakti wimbo wa kabila la wahaya wa Akanana Kalile Kona ukipigwa wakati wa mahafali hayo

 Ni muziki kwa kwenda mbele







 Eva akipatiwa tuzo ya mwanafunzi bora wa kike

 Mwanafunzi Bora wa Kike Gaudencia Mwita akielekea kutuzwa zawadi maalumu ya Mkuu wa Chuo

 Mwanafunzi Bora wa Jumla wa Duce, Haji Mohamed akitoa hotuba ya shukrani kwa niaba ya wanafunzi waliohitimu

 Dk. Kikwete akifurahia jambo na Ngumbullu

 JK akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa chuo hixo

Wananchi wakiwa na kamera tayari kuwapiga picha ndugu zao walihitimu
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: JK AWATUNUKU DIGRII WAHITIMU 1,179 CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA ELIMU DUCE
JK AWATUNUKU DIGRII WAHITIMU 1,179 CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA ELIMU DUCE
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjju5VImIdCkIloyx1lusU_6wXufaQz6ZObI001xixzaX726c_cuYgGFQOknH7AQIlownXKQFPLAvdNdGZ5qhStf_5YJBHBKpgcsgCJA_XyS4k2SWDxYATChazT1n4qAA77z43a5K0I_f8/s640/02.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjju5VImIdCkIloyx1lusU_6wXufaQz6ZObI001xixzaX726c_cuYgGFQOknH7AQIlownXKQFPLAvdNdGZ5qhStf_5YJBHBKpgcsgCJA_XyS4k2SWDxYATChazT1n4qAA77z43a5K0I_f8/s72-c/02.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2016/11/jk-awatunuku-digrii-wahitimu-1179-chuo.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/11/jk-awatunuku-digrii-wahitimu-1179-chuo.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy