Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua Mkutano Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) kwenye ukumb...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua Mkutano Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) kwenye ukumbi wa Msekwa mjini Dodoma Machi 31, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mufti Mkuu wa Tanzania, Abubakary Zubeiry, akizungumza kwenye mkutano huo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua Mkutano Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) kwenye ukumbi wa Msekwa mjini Dodoma Machi 31, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya washiriki
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na baadhi ya washiriki wa Mkutano Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) baada ya kufungua mkutano wao kwenye ukumbi wa Msekwa mjini Dodoma, Machi 31, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
COMMENTS