Kamishna wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Jaji Mstaafu Harold Nsekela akifafanua jambo mbele ya Waandishi wa Habar...
Kamishna wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Jaji Mstaafu Harold Nsekela akifafanua jambo mbele ya Waandishi wa Habari kuhusu tarehe ya mwisho ya kupokea fomu za tamko la mali za viongozi leo Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu anayeshughulikia Maadili ya Viongozi wa Siasi Waziri Kipacha na Mkuu wa Kitengo cha Sheria wa Sekretarieti hiyo Filotheus Manula. Viongozi wa Umma wanatakiwa kuwa wamewasilisha fomu za tamko la mali zao kabla ya tarehe 31 Desemba 2017.
COMMENTS