KAMANDA WA POLISI MKOA WA SINGIDA ASHIRIKI IBADA MAALUM YA KULIOMBEA TAIFA ILIYOANDALIWA NA UMOJA WA MAKANISA MKOA WA SINGIDA
HomeJamii

KAMANDA WA POLISI MKOA WA SINGIDA ASHIRIKI IBADA MAALUM YA KULIOMBEA TAIFA ILIYOANDALIWA NA UMOJA WA MAKANISA MKOA WA SINGIDA

  Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Singida, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Deborah Magiligimba akizungumza na waumini wa Kikristo(hawapo...

RAIS DKT. MAGUFULI AWAAPISHA WAJUMBE WA KAMATI YA PILI YA UCHUNGUZI WA MADINI YALIYOMO KWENYE MCHANGA KUTOKA MIGODINI
TAMKO LA THBUB KULAANI WATU KUTEKWA
RAIS DKTMAGUFULI APOKEA TAARIFA YA UTENDAJI KAZI YA TAKUKURU YA 2016/2016

 Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Singida, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Deborah Magiligimba akizungumza na waumini wa Kikristo(hawapo pichani) kwenye ibada maalum ya kuliombea Taifa iliyoandaliwa na Umoja wa Makanisa Mkoa wa Singida
 jana.
 Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Singida, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Deborah Magiligimba (wa tano kulia) akifuatilia kwa makini mahubiri wakati wa Ibada maalum ya
kuliombea Taifa iliyoandaliwa na Umoja wa Makanisa Mkoa wa Singida jana  wengine pichani ni viongozi wa madhehebu
mbalimbali ya Kikristo  Mkoa wa Singida.


 Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Singida, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Deborah Magiligimba akizungumza na waumini wa Kikristo kwenye ibada maalum ya kuliombea Taifa iliyoandaliwa na Umoja wa Makanisa Mkoa wa Singida jana ambapo alisisitiza umuhimu wa wananchi kutii Sheria za nchi bila shuruti.

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Singida, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Deborah Magiligimba akizungumza na waandishi wa habari namna Jeshi la Polisi lilivyojipanga
kuimarisha ulinzi katika nyumba za ibada na kumbi za starehe katika kipindi hiki cha sikukuu za Krismas na Mwaka Mpya.
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: KAMANDA WA POLISI MKOA WA SINGIDA ASHIRIKI IBADA MAALUM YA KULIOMBEA TAIFA ILIYOANDALIWA NA UMOJA WA MAKANISA MKOA WA SINGIDA
KAMANDA WA POLISI MKOA WA SINGIDA ASHIRIKI IBADA MAALUM YA KULIOMBEA TAIFA ILIYOANDALIWA NA UMOJA WA MAKANISA MKOA WA SINGIDA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiB7HlC1HMsmzf8P-ITxGnK4QDnNjnaY1UhA4eDMwead-TZVucREpIvs8dqyVtXT2HvxygtnucP6MGu0D8lWtaQIHwCnXT3YT9gotmr18TNVbQ44p6CVsJicEZBLBYLxkfbFbXMDLNm2R-1/s640/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiB7HlC1HMsmzf8P-ITxGnK4QDnNjnaY1UhA4eDMwead-TZVucREpIvs8dqyVtXT2HvxygtnucP6MGu0D8lWtaQIHwCnXT3YT9gotmr18TNVbQ44p6CVsJicEZBLBYLxkfbFbXMDLNm2R-1/s72-c/1.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/12/kamanda-wa-polisi-mkoa-wa-singida.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/12/kamanda-wa-polisi-mkoa-wa-singida.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy