MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI MKUTANO WA JUKWAA LA WANAWAKE
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwenye mkutano wa Jukwaa la Wanawake ikiwa Sehemu ya mkutano wa Jumuiya ya Madola unaofanyika jijini London, Uingereza. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
HomeJamii

MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI MKUTANO WA JUKWAA LA WANAWAKE

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe. Samia Suluhu Hassan, jana jioni alikuwa ni miongoni mwa Jopo lililojadili kuhusu ser...

MKUU WA WILAYA YA UBUNGO AAGIZA KUANZA UJENZI WA MADARASA MANNE NA VYOO VYA SHULE YA SEKONDARI MBURAHATI
UJUMBE WA HAYATI BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE KUHUSU MADINI
SPIKA NDUGAI ATEMBELEA BUNGE LA KENYA











 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe. Samia Suluhu Hassan, jana jioni alikuwa ni miongoni mwa Jopo lililojadili kuhusu sera za kumwinua mwanamke kiuchumi wakati wa mkutano wa Jukwaa la Wanawake linalofanyika kama sehemu ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Madola (CHOGM) unaoendelea hapa London.

Kwenye jopo hilo Mheshimiwa Makamu wa Rais aliungana na Mhe. Dkt. Joseph Muscat, Waziri Mkuu wa Malta na wadau wengine wa masuala ya maendeleo ya wanawake.
Makamu wa Rais aliweza kuelezea hatua mbalimbali ambazo serikali kali imechukua ili kumwinua mwanamke kiuchumi ikiwa pamoja na kuwapatia haki ya kumiliki ardhi, kuboresha elimu kwa mtoto wa kike, kuwapa nafasi za uongozi na pia Serikali ipo kwenye hatua za kuhakikisha mikopo yenye riba nafuu kwa Wanawake.
Makamu wa Rais yupo jijini London kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Madola.




Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimia na Waziri Mkuu wa Malta Mhe. Dkt. Joseph Muscat  mara baada ya mkutano wa Jukwaa la Wanawake kumalizika  jijini London, Uingereza. 

(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)




Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI MKUTANO WA JUKWAA LA WANAWAKE
MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI MKUTANO WA JUKWAA LA WANAWAKE
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjWLNdU8yFAXYFbeO55IO5j7ulVxxIVKcwi1WupGXUdKuwqVEFeyYEyg0DrnTwhcwllPi9ofG-Lw8R4MpPrMWQVLDzYkFlWuVZ6nSznpMSlVyoKywJdTTfZnk40EG3sGIlhyphenhyphen0r-LFkvjR8/s640/4.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjWLNdU8yFAXYFbeO55IO5j7ulVxxIVKcwi1WupGXUdKuwqVEFeyYEyg0DrnTwhcwllPi9ofG-Lw8R4MpPrMWQVLDzYkFlWuVZ6nSznpMSlVyoKywJdTTfZnk40EG3sGIlhyphenhyphen0r-LFkvjR8/s72-c/4.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/04/makamu-wa-rais-ashiriki-mkutano-wa.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/04/makamu-wa-rais-ashiriki-mkutano-wa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy