TAMASHA LA TANO LA SIKU MBILI LA WATU WENYE ULEMAVU LAFUNGWA LEO JIJINI DAR
HomeJamii

TAMASHA LA TANO LA SIKU MBILI LA WATU WENYE ULEMAVU LAFUNGWA LEO JIJINI DAR

 Afisa Mradi, Kitengo cha Kujenga Uwezo kutoka shirika lisilo la Kiserikali la  ‘The Foundation For Civil Society’ Nasim Losai, ...

WIZARA YA MALIASILI YAAGIZWA IRUDI KWA WANANCHI KUTOA MAJIBU
ACACIA YAKABIDHI HUNDI ZA SHILINGI BILIONI 1.1 ZA USHURU WA HUDUMA KAHAMA MJI NA MSALALA
WIZARA YA MALIASILI, ARDHI NA TAMISEMI KUAMUA HATMA YA MGOGORO WA PORI LA AKIBA MKUNGUNERO – DK. KIGWANGALLA







 Afisa Mradi, Kitengo cha Kujenga Uwezo kutoka shirika lisilo la Kiserikali la  ‘The Foundation For Civil Society’ Nasim Losai, akitoa mada wakati wa ufungaji wa Tamasha la Tano la Watu wenye Ulemavu lililoanza jana Nov 16, 2016 kwenye Hoteli ya Blue Pearl Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam. Tamasha hilo limefungwa hii leo hayo. 
 
 Mkufunzi Mwelekezi, Salma Maoulid, akisimamia zoezi la maswali na majibu wakati wa kufunga Tamasha la Tano la Watu wenye Ulemavu lililoanza jana kwenye Hoteli ya Blue Pearl Ubungo
Plaza jijini Dar es Salaam.

 Afisa Uchumi Mwandamizi, Mchambuzi na Mipango, Andrea Aloyce, akitoa
mada kwa washiriki wakati wa kufunga Tamasha la Tano la Watu wenye Ulemabu lililoanza jana Nov 16, 2016 kwenye Hoteli ya Blue Pearl – Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam.
 Mshereheshaji akiendelea kuongoza Tamasha hilo.

 Mkurugenzi wa Kampuni ya Governance & Economic Policy Centre, Moses Kulaba, akitoa mada kwa washiriki wakati wa kufunga Tamasha la Tano la Watu wenye Ulemabu lililoanza jana Nov 16, 2016 kwenye Hoteli ya Blue Pearl – Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam. 

 Mkarimani akiwatafsiria walemavu Viziwi kila kilichokuwa kikizungumzwa ukumbini hapo.

 Mshereheshaji akiendelea kuwachangamsha washiriki, ''Abunuasi aliwauliza Je mnajua lichowaitia?? wakajibu hapana, akwaambia basi kama hamjui basi rudini nyumbani, wakaru, Siku yapili Je mnajua nilichowaitia?? wakajibu Ndiyooo,akawaambi basi kama mnajua basi rudini nyumbani kwa sababu mnajua ninachotaka kuzungumza nanyi, ikabidi waondoke, Siku ya Tatu wakaja tena alipo wauliza Je mnajua nilichowaitia??? siku hiyo wakakubaliana kujigawa wengine wakasema Ndiyoooo, na wengine wakajibu Hapanaaaa, akawaambia basi sasa itabidi nyie mnaojua muwaambie hao wasiojua kile ninachotaka kuzungumza, kisha mrudi nyumbani'' kila mmoja akaguna na kuondoka mahala hapo kwa hasira....
 Mshiriki akiongozwa kuingia ukumbini.
 Waratibu wa Tamasha hilo wakiwa bize kuratibu yaliyokuwa yakiendelea
ukumbini hapo wakati wa kufunga Tamasha hilo. 
 Mshiriki akiuliza swali.
 Sehemu ya washiriki wa Tamasha hilo wakifuatilia kilichokuwa kikiendelea
ukumbini hapo.


Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: TAMASHA LA TANO LA SIKU MBILI LA WATU WENYE ULEMAVU LAFUNGWA LEO JIJINI DAR
TAMASHA LA TANO LA SIKU MBILI LA WATU WENYE ULEMAVU LAFUNGWA LEO JIJINI DAR
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj4bsHz8Qst5tWIqoWfFp_JX_c3QK3QJEM4FQcYHCZvQZpetb73Bl-9e1bZV_-W_XJi5wev4-SDtKEke_H6IpT8nSHRrveMED9nA03-Hny39boTfm1qkKYbWCDoV_fKro4VXD78IB2qidKf/s640/05.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj4bsHz8Qst5tWIqoWfFp_JX_c3QK3QJEM4FQcYHCZvQZpetb73Bl-9e1bZV_-W_XJi5wev4-SDtKEke_H6IpT8nSHRrveMED9nA03-Hny39boTfm1qkKYbWCDoV_fKro4VXD78IB2qidKf/s72-c/05.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2016/11/tamasha-la-tano-la-siku-mbili-la-watu.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2016/11/tamasha-la-tano-la-siku-mbili-la-watu.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy