MSHINDI WA SHILINGI MILIONI 30 YA DROO YA JUMAPILI YA JACKPOT YA TATU MZUKA AKABIDHIWA FEDHA ZAKE
HomeJamii

MSHINDI WA SHILINGI MILIONI 30 YA DROO YA JUMAPILI YA JACKPOT YA TATU MZUKA AKABIDHIWA FEDHA ZAKE

 Balozi wa Mchezo wa Tatu Mzuka, Mussa Hussein (kushoto), akimkabidhi hundi ya shilingi milioni 30 mshindi wa droo ya Jumapili ya Jack...

MATEMBEZI YA HISANI YA WANAFUNZI ST. JOSEPH'S NURSERY NA PRIMARY SCHOOLS DAR YAFANA
MTOTO WA MKULIMA WAZIRI MKUU MSTAAFU PINDA ATAJA MUAROBAINI WA KUZUIA UCHOMAJI MISITU
VIDEO; MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA UJUMBE KUTOKA UNICEF NA BALOZI WA JAPAN



 Balozi wa Mchezo wa Tatu Mzuka, Mussa Hussein (kushoto), akimkabidhi hundi ya shilingi milioni 30 mshindi wa droo ya Jumapili ya Jackpot ya Tatu Mzuka, Tausi Mashombo jijini Dar es Salaam jana, aliyojishindia kutoka katika mchezo wa Tatu Mzuka ambao umejizolea umaarufu kwa kutoa washindi kila saa. Jackpot hiyo inaendelea Jumapili hii kwa mshindi kujishindia shilingi milioni 80.


 Mshindi wa milioni 30 ya droo ya Jumapili ya Jackpot ya Tatu Mzuka, Tausi Mashombo, wa pili kushoto, akiwa na marafiki zake ambao wote wamejishindia milioni 1 kwenye kampeni ya Cheza na Shinda na Marafiki. Kutoka kulia ni  Riwa Lyimo akifuatiwa na Edna Msangi. Tatu Mzuka ambao wanaendesha droo ya kila saa na washindi kuweza kujishindia hadi shilingi milioni 6, sasa wanaendesha droo ya Shinda na Marafiki, ambapo pia inatoa fursa kwa washiriki watatu kushinda shilingi milioni moja kila mmoja.
Mshindi huyo, Tausi Mashombo akionyesha alama ya tatu mzuka mara baada ya kukabidhiwa zawadi yake.

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MSHINDI WA SHILINGI MILIONI 30 YA DROO YA JUMAPILI YA JACKPOT YA TATU MZUKA AKABIDHIWA FEDHA ZAKE
MSHINDI WA SHILINGI MILIONI 30 YA DROO YA JUMAPILI YA JACKPOT YA TATU MZUKA AKABIDHIWA FEDHA ZAKE
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhpyCTtda4V4IhpvFTnnfoMvEYHzgtCGZcx79W7qUWUEhsF2sNNr8QD7JjB5Bke0Pcl_ZSLgp6rHbXPO-2DW50h9a0rBO8TN639yZRm7Vi6W4TRzYhUhCOQdcj-VUb6jAQeZEnClWAVtfiS/s640/1.PNG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhpyCTtda4V4IhpvFTnnfoMvEYHzgtCGZcx79W7qUWUEhsF2sNNr8QD7JjB5Bke0Pcl_ZSLgp6rHbXPO-2DW50h9a0rBO8TN639yZRm7Vi6W4TRzYhUhCOQdcj-VUb6jAQeZEnClWAVtfiS/s72-c/1.PNG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/08/mshindi-wa-shilingi-milioni-30-ya-droo.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/08/mshindi-wa-shilingi-milioni-30-ya-droo.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy