JAFO AAGIZA MIFUMO YA KIELEKTRONIKI KATIKA VITUO VYOTE VYA AFYA 2018 VINAVYOBORESHWA
HomeJamii

JAFO AAGIZA MIFUMO YA KIELEKTRONIKI KATIKA VITUO VYOTE VYA AFYA 2018 VINAVYOBORESHWA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Selemani Jafo akitoa agizo la ufungwaji wa mifumo ya kielekt...

JPM AWATAKA WAKANDARASI NCHINI KUJITATHMINI
RAIS WA ZANZIBAR ALIPOWASILI ETHIOPIA AKIWA NJIANI KUELEKEA NCHINI DJIBOUT
IJUE ISEMAVYO SHERIA YA MIPANGO MIJI NA. 8 YA MWAKA 2007





Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Selemani Jafo akitoa agizo la ufungwaji wa mifumo ya kielektroniki katika vituo vya afya vinavyojengwa nchini.



Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Selemani Jafo akiwa na viongozi wa Halmashauri ya wilaya ya Chamwino wakifanya ukaguzi wa majengo yanayojengwa katika Kituo cha Afya Chamwino.


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Selemani Jafo akiwa na viongozi wa Halmashauri ya wilaya ya Chamwino wakifanya ukaguzi wa majengo yanayojengwa katika Kituo cha Afya Chamwino.


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI), Selemani Jafo akitoa maelekezo kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Chamwino Athuman Masasi alipofanya ukaguzi wa majengo yanayojengwa katika Kituo cha Afya Chamwino.
.........................................................
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Selemani Jafo ameagiza kufungwa mifumo ya kielektroniki ya ukusanyaji wa mapato katika vituo vyote vya Afya 208 vinavyoboreshwa hapa nchini.


Waziri Jafo ametoa agizo hilo leo alipotembelea wilayani Chamwino mkoani Dodoma kukagua Ujenzi wa kituo cha Afya Chamwino ambacho kimepokea Sh. Milioni 500 kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu.

Akizungumza katika ukaguzi huo, Waziri Jafo amewapongeza watendaji wa Halmashauri hiyo kwa usimamizi vizuri wa miundombinu hiyo ambapo amejulishwa kuwa hadi sasa jengo la upasuaji, maabara, nyumba ya daktari, chumba cha kuhifadhi maiti, na wodi ya wazazi zipo hatua za mwisho.


Kufuatia maendeleo hayo mazuri ya ujenzi wa vituo hivyo hapa nchini, Jafo ameagiza kufungwa mifumo ya kielektroniki ya ukusanyaji wa mapato ili vituo hivyo vitakapokamilika viweze kukusanya mapato ipasavyo na kutoa huduma bora kwa wananchi.
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: JAFO AAGIZA MIFUMO YA KIELEKTRONIKI KATIKA VITUO VYOTE VYA AFYA 2018 VINAVYOBORESHWA
JAFO AAGIZA MIFUMO YA KIELEKTRONIKI KATIKA VITUO VYOTE VYA AFYA 2018 VINAVYOBORESHWA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi82dImzdvlePbPckW9RjCp8ORePf8TAzEB9MP0fsxbnUfWmHQauUjfND6IBqX4eRaI-Ef_8XPPwR-9AjYcvJE0HJF8ttTcCcRU4cDCJpYhnjZmb64y7Ez-bEYZhfXY1at4C11uDpnuE6A/s640/DSC_0512.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi82dImzdvlePbPckW9RjCp8ORePf8TAzEB9MP0fsxbnUfWmHQauUjfND6IBqX4eRaI-Ef_8XPPwR-9AjYcvJE0HJF8ttTcCcRU4cDCJpYhnjZmb64y7Ez-bEYZhfXY1at4C11uDpnuE6A/s72-c/DSC_0512.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/05/jafo-aagiza-mifumo-ya-kielektroniki.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/05/jafo-aagiza-mifumo-ya-kielektroniki.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy