AMIRI JESHI MKUU RAIS JAKAYA KIKWETE ATUNUKU KAMISHENI MAAFISA WAPYA WA JESHI
Mkuu wa Chuo cha Maafisa wa Jeshi kilichopo Monduli mkoani Arusha Meja Jenerali Paul Mssao akitoa taarifa ya maofisa wapya kwa Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt. Jakaya Kikwete wakati wa hafla ya kuwatunuku kamisheni chuoni hapo jana. Kulia ni Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange.

AMIRI JESHI MKUU RAIS JAKAYA KIKWETE ATUNUKU KAMISHENI MAAFISA WAPYA WA JESHI

Mkuu wa Chuo cha Maafisa wa Jeshi kilichopo Monduli mkoani Arusha Meja Jenerali Paul Mssao akitoa taarifa ya maofisa wapya kwa Amiri ...

MHE. MAJALIWA AMJULIA HALI BABA MZAZI WA WAZIRI MKUU MSTAAFU MZEE PINDA
TIGO YAIPIGA "TAFU" HOSPITALI YA WILAYA YA ILEJE
SERIKALI KUTENGA DOLLA MILLION 115 KUBORESHA LISHE NCHINI






Rais Dkt. Jakaya Kikwete, Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange, (kushoto) na Mkuu wa Chuo Cha Maafisa wa Jeshi Monduli (TMA), Meja Jenerali Paul Massao wakitoka katika jengo la utawala la chuo kulekea uwanja wa paredi ambapo Rais alitunuku kamisheni kwa maofisa wapya wa jeshi.





Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipoka heshima katika uwanja wa paredi.

Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt. Jakaya Kikwete, Mkuu wa majeshi Jenerali Davis Mwamunyange(kushoto) na Mkuu wa Chuo Meja Jenerali Paul Masao wakiangalia gwaride rasmi la kuhutimu maafisa wapya waliopatiwa kamisheni zao. (Picha na Freddy Maro)
Amiri Jeshi Mkuu Dkt. Jakaya akiwa katika gari maalum la wazi na Mkuu wa Chuo cha maafisa wa Jeshi Monduli (TMA) akiingia katika uwanja wa paredi tayari kwa kutunuku kamisheni kwa maafisa wapya wa jeshi.



Maafisa wapya wa Jeshi wakila kiapo mbele ya Amiri jeshi Mkuu Rais Dkt. Jakaya Kikwete.

Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange akimkabidhi Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt. Jakaya Kikwete zawadi ya picha akiwa katika gari la wazi katika sherehe za awali chuoni hapo, na kitara pamoja na nembo maalum ya jeshi kwa kutambua mchango wake katika kuliboresha na kulifanya la kisasa Jeshi la Wananachi wa Tanzania wakati wa Sherehe za kutunuku kamisheni kwa maafisa wapya wa jeshi katika chuo cha jeshi Monduli.

Amiri Jeshi Mkuu Dkt. Jakaya Kikwete akitunuku Kamisheni kwa Maafisa wapya wa Jeshi katika Cho cha Jeshi Monduli (TMA) Mkoani Arusha.

Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Adolf Mwamunyange akimwonesha Amiri Jeshi mkuu Rais Dkt. Jakaya Kikwete moja ya picha za kuchorwa katika chuo cha jeshi Monduli (TMA) alipokwenda kutukunu kamisheni kwa maafisa wapya.



Rais Dkt. Jakaya Kikwete akiiangalia picha ya kuchora ya Mkewe Mama Salma Kikwete aliyoipokea kwa niaba yake

Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt. Jakaya Kikwete akikagua gwaride muda mfupi kabla ya kutunuku Kamisheni kwa maafisa wapya wa Jeshi katika Chuo cha Jeshi Monduli.

Rais Dkt. Jakaya  Kikwete akimpa zawadi Afisa mwanafunzi bora Luteni Usu Antony Shija wakati wa sherehe za kutunuku kamisheni kwa maafisa wapya leo katika chu cha jeshi TMA Monduli leo.

Amiri Jeshi Mkuu Rasi Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpa zawadi afisa mwanafunzi bora wa kike Luteni Usu Martina James Shija  wakati wa sherehe za kutunuku kamisheni kwa maafisa wapya wa jeshi katika chuo hca jeshi Monduli.















Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: AMIRI JESHI MKUU RAIS JAKAYA KIKWETE ATUNUKU KAMISHENI MAAFISA WAPYA WA JESHI
AMIRI JESHI MKUU RAIS JAKAYA KIKWETE ATUNUKU KAMISHENI MAAFISA WAPYA WA JESHI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiR5AuqGZRpI0flx7iuI1BbQI8_wX6-i8JgU85v0vguumJoqb3NIoenysd0kwTA2QJjFWbpZSa9fyQB4OMVefXqVNrEKZrx8p70Li9H7lZs-0eFpGd44-lUoEvMC3kXMLvWQ14aNNKpwDls/s640/1-D92A3025.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiR5AuqGZRpI0flx7iuI1BbQI8_wX6-i8JgU85v0vguumJoqb3NIoenysd0kwTA2QJjFWbpZSa9fyQB4OMVefXqVNrEKZrx8p70Li9H7lZs-0eFpGd44-lUoEvMC3kXMLvWQ14aNNKpwDls/s72-c/1-D92A3025.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2015/09/amiri-jeshi-mkuu-rais-jakaya-kikwete.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/09/amiri-jeshi-mkuu-rais-jakaya-kikwete.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy