BILIONEA ERASTO MSUYA AUWAWA NA WATU WASIOJULIKANA ONA GARI LAKE JIRANI NA MWILI WAKE

MFANYABIASHARA ERASTO MSUYA AUWAWA NA WATU WASIOJULIKANA Mwili wa Marehemu Erasto Msuya ukiwa hatua chache jirani gari lake aina ya ...


MFANYABIASHARA ERASTO MSUYA AUWAWA NA WATU WASIOJULIKANA


Mwili wa Marehemu Erasto Msuya ukiwa hatua chache jirani gari lake aina ya Range Rover VOGUE baada ya kumiminiwa risasi na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi.
IMG-20130807-WA0003 Askari wakikagua mwili wa Marehemu Erasto Msuya, mara baada kupigwa rasasi kwa majibizano na wanaodaiwa kuwa ni majambazi.
Habari zilizotufikia hivi punde kutoka chumba chetu cha habari, zinaeleza kuwa mmoja wa wafanyabiashara wakubwa wa madini jijini Arusha, aliyejulikana kwa jina la Erasto Msuya na pia ni mmiliki wa SG HOTEL mkoani humo, amepigwa risasi zaidi ya sita na watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi na kufa papo hapo, habari zinaeleza na kubainisha zaidi kuwa marehemu alikuwa akitokea KIA kwenda BOMANG'OMBE ambako alikuwa ameitwa na watu (ambao hawakujulikana mara moja) ili wakafanye biashara.

Marehemu alipokuwa amekaribia kufika njia panda ya Barabara ya Arusha kuelekea Wilaya ya Hai na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa (KIA) ndipo aliposimamishwa na watu waliokuwa kwenye pikipiki mbili. Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo kulisikika majibizano ya risasi na marehemu alianguka chini na majambazi hao kutokomea kusikojulikana. 

Habari zaidi zikitufikia tutazidi kuwajuza kadiri ya taarifa zitakapokuwa zitakavyopatikana.

Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi-Amen. (Kwa hisani ya Michuzi na Mwandishi Wetu)
ERASTO MSUYA ENZI ZA UHAI WAKE

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: BILIONEA ERASTO MSUYA AUWAWA NA WATU WASIOJULIKANA ONA GARI LAKE JIRANI NA MWILI WAKE
BILIONEA ERASTO MSUYA AUWAWA NA WATU WASIOJULIKANA ONA GARI LAKE JIRANI NA MWILI WAKE
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiPbuqf1iE-XOySjs5ShIS26dg4GWZX-OQaI1UjfKmM6NiJK5gAJcQTrRnwIZYfRJj0ekZrwmQmq7c_J-R7T5TM9KPb4yIzCFECh4cF6mAfEItD6UT53Xsx8NUglkq4G5658ISWZXS5ET0h/s640/MFANYABIASHARA+ALIYEUWA.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiPbuqf1iE-XOySjs5ShIS26dg4GWZX-OQaI1UjfKmM6NiJK5gAJcQTrRnwIZYfRJj0ekZrwmQmq7c_J-R7T5TM9KPb4yIzCFECh4cF6mAfEItD6UT53Xsx8NUglkq4G5658ISWZXS5ET0h/s72-c/MFANYABIASHARA+ALIYEUWA.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2013/08/bilionea-erasto-msuya-auwawa-na-watu.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2013/08/bilionea-erasto-msuya-auwawa-na-watu.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy