ZSSF YATILIANA SAINI NA BENKI YA TPB UTOWAJI WA MIKOPO KWA WANACHAMA WA ZSSF

MKURUGENZI Mkuu wa Tpb Bank Sabasaba Moshingi kushoto na Kaimu Mkurugenzi wa Mfuko wa Jamii Zanzibar (ZSSF) Makame Mwadini wakitilian...




MKURUGENZI Mkuu wa Tpb Bank Sabasaba Moshingi
kushoto na Kaimu Mkurugenzi wa Mfuko wa Jamii Zanzibar (ZSSF) Makame Mwadini wakitiliana saini makubaliano ya kutowa mikopo ya Kielimu na Kuazia Maisha kwa
Wanachama wa (ZSSF)hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa ZSSF kilimani Zanzibar, wakishuhudia Mwanasheria wa ZSSF Mohammed Fakih na Afisa Mawasiliano
wa Tpb Bank Chichi Banda.


Mkurgenzi Mkuu wa Tpb Bank Sabasaba Moshingi
(wa tatu kushoto) akibadilishana mikataba wa mikopo kwa Wanachama wa ZSSF kupata mikopo kupitia Banki ya Tpb Bank, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) Mwadini Makame,  kuwawezesha kupata Mkopo wa Elimu ya Juu na kuaza maisha kwa Wanachama wa ZSSF, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ofisi za Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Kilimani Zanzibar.wakiwa katika picha ya pamoja na Maofisa wa pande hizo mbili.
Maofisa wa Tpb Bank wakifuatilia mkutano huo wa utilianaji saini ya kutowa mikopo kwa Wanachama wa ZSSF Zanzibar kupitia benki hiyo hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ofisi za ZSSF Kilimani Zanzibar.
Maofisa wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar ZSSF wakifuatila mkutano huo wa utilianaji wa saini.
Afisa Mawasiliano wa Tpb Bank Chichi Banda akitowa nafasi kwa waandishi wa habari kuuliza maswali wakati wa hafla hiyo.
Mkurgenzi Mkuu wa Tpb Bank Sabasaba Moshingi, akizungumza wakati wa hafla hiyo ya utilianaji wa saini kuelezea madhumuri ya hafla hiyo kuwanufaisha Wanachama wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar kupata mikopo kupitia Banki yake Tpb Bank. 


Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) Mwadini Makame

akizungumza wakati wa hafla hiyo ya makubaliani ya kupata mikopo kwa Wanachama wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar ZSSF, kupitia Banki ya Tpb Bank.


Maofisa wa Tpb Bank wakifuatilia hafla hiyo ya utilianaji wa saini na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar ZSSF. 
Mwandishi wa habari akiulisa swali wakati wa hafla hiyo ya utilianaji wa saini baina ya ZSSF na Tpb Bank, kutowa mikopo kwa Wanachama wa ZSSF kupata Elimu ya Juu na Mkopo wa kuazia maisha. 
Mwandishi wa habari akiuliza swali wakati wa hafla hiyo.
Mkurugenzi Mikopo wa Banki ya Tpb Bank Ndg. Henry Bwogi akifafanua na kujibu maswali yalioulizwa na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali waliohudhuria hafla hiyo ya utilianaji wa saini baina ya pande hizo mbili. 
Afisa Masoko na Uhusiano wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar ZSSF Bi Raya Hamad Khamis akitowa shukrani kwa washiriki wa hafla hiyo ya utilianaji wa saini uliofanyika katika Ofisi za Jengo la ZSSF Kilimani Zanzibar. 
Viongozi wa Tpb Bank na ZSSF wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumalizika kwa hafla hiyo. 
Mkurugenzi wa Banki ya Tpb Bank Sabasaba Moshingi akiwa na Maofisa wa ZSSF wakibalishana mawazo baada ya kumaliza hafla ya utilianaji wa saini na ZSSF, katikati Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa ZSSF Ndg.Mwadini na Afisa wa ZSSF Miradi Ndg. Muumin.
Mkurugenzi wa Banki ya Tpb Bank Sabasaba Moshingi akisalimiana na Afisa wa ZSSF Ndg Filifili. 

Imetayarishwa na OthmanMapara.Blogspot.com

Zanzinews.com.

Email. othmanmaulid@gmail.com (0777424152). 

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: ZSSF YATILIANA SAINI NA BENKI YA TPB UTOWAJI WA MIKOPO KWA WANACHAMA WA ZSSF
ZSSF YATILIANA SAINI NA BENKI YA TPB UTOWAJI WA MIKOPO KWA WANACHAMA WA ZSSF
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj_IGYfQEhDB4vOGgecdCcyJrUiEUhVLi-RjhyphenhyphenS3KzWkdfu_uFaopjuoMWGnOpmTaprs4czRQEHwEKwdBzewawzt2QEnJmNPJ4bbn2CLSwN3zLNE0ErON5ThZfSTCdKyUrVKzwrxU3g0SU/s640/DSC_0117.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj_IGYfQEhDB4vOGgecdCcyJrUiEUhVLi-RjhyphenhyphenS3KzWkdfu_uFaopjuoMWGnOpmTaprs4czRQEHwEKwdBzewawzt2QEnJmNPJ4bbn2CLSwN3zLNE0ErON5ThZfSTCdKyUrVKzwrxU3g0SU/s72-c/DSC_0117.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/07/zssf-yatiliana-saini-na-benki-ya-tpb.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/07/zssf-yatiliana-saini-na-benki-ya-tpb.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy