SIMBA NA POLISI WALIVYOSUKUMA GOZI UWANJA WA AMAAN SIMBA IKIWA MBELE KWA BAO 2-0

Mgeni wa rasmin katika mchezo wa kirafiki kati ya Simba na Polisi Zanzibar Kamishna wa Polisi Zanzibar Ndg Hamdanmi kulia Mwenyekiti ...





Mgeni wa rasmin katika mchezo wa kirafiki kati ya Simba na Polisi Zanzibar Kamishna wa Polisi Zanzibar Ndg Hamdanmi kulia Mwenyekiti wa ZFA Wilaya ya Mjini Ndg Hassan Chura na kushoto Mjumbe wa Kamati Tendaji ya ZFA Taifa Hashim Salum na Kiongozi wa timu ya Polisi.wakisimama wakati ukipigwa wimbo wa Polisi na Usalama wa Raia kabla ya kuaza kwa mchezo huo wa kirafiki uliofanyika uwanja wa amaan Simba imeshinda 2--0.
Wachezaji wa timu ya Polisi na Simba wakisimama wakati wa kupigwa kwa wimbo wa Usalama wa Raia kabla ya kuaza kwa mchezo wao wa kirafiki kujiandaa na michezo ya Ligi Kuu inayotarajiwa kuaza mwezi ujao.  
Makocha wa Simba wakifuatilia wimbo huo maalum uliopigwa wakati wa mchezo wao wa kirafiki uliofanyika uwanja wa amaan timu ya Simba imeshinda 2--0.
Kamishna wa Polisi Zanzibar Kamishna Hamdan akisalimiana na wachezaji wa Timu ya Polisi Zanzibar kabla ya kuaza kwa mchezo wao wa kirafiki uliofanyika uwanja wa amaan.
Kamishna wa Polisi Zanzibar Kamishna Hamdan akisalimiana na wachezaji wa Timu ya Polisi Zanzibar kabla ya kuaza kwa mchezo wao wa kirafiki uliofanyika uwanja wa amaan.

Kikosi cha timu ya Polisi Zanzibar kilichokubali kipigo cha bao 2--0 kutoka kwa timu ya Simba wakati wa mchezo wa kirafiki uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.
Kikosi cha timu ya Simba kilichotowa kipigo cha mabao 2--0 dhidi ya timu ya Polisi Zanzibar wakati wa mchezo wao wa kujipima nguvu wa tatu kisiwani Zanzibar ikiwa imeshinda michezo yake yote
Mchezaji wa timu ya Simba akimiliki mpira huku mchezaji wa timu ya Polisi akijiandaa kumzuiya wakati wa mchezo huo
Kazi hiyo kuwania mpira kati ya wachezaji hawa wakiwa wameinua madaruga yao juu bila ya mafanikio kuupata mpira.
Mshambuliaji wa timu ya Simba na kipa wa timu ya Polisi wakiwania mpira wakati wa mchezo wao huo wa kirafiki uliofanyika uwanja wa amaan Simba imeshinda 2--0.
      Kipa wa timu ya Polisi akiokoa mpira golini kwake huku mchezaji wa Simba akiwa nyuma yake

Mchezaji wa timu ya Simba akimpita beki wa timu ya Polisi wakati wa mchezo wao wa kirafiki kujipima nguvu kujiandaa na Ligi Kuu zinazotarajiwa kuaza hivi karibuni Ligi ya Tanzania Bara na ya Zanzibar.
Mchezaji wa Simba akijiandaa kumpita beki wa timu ya Simba, wakati wa mchezo wao wa kirafiki katika mchezo huo timu ya Simba imeshinda 2--0
                       Wachezaji wa timu ya Simba na Polisi wakiwania mpira

Mshambuliaji wa timu ya Simba akiweka majaro golini kwa timu ya Polisi 
(Picha na OthmanMapara.Blog Zanzinews,com)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: SIMBA NA POLISI WALIVYOSUKUMA GOZI UWANJA WA AMAAN SIMBA IKIWA MBELE KWA BAO 2-0
SIMBA NA POLISI WALIVYOSUKUMA GOZI UWANJA WA AMAAN SIMBA IKIWA MBELE KWA BAO 2-0
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgHDhH4HCUPy9TQTVc7okImFlExEKcpGoksL9KYLtD6wsYjRylp4NStbpmuHKS_qSxXODLjw6dBElI9j_49YQ2jDBxmdZ5kH5M6RK4h29ybMrs0olOQzgOXociUcMEbFxvKwSvypj0VMt4/s640/IMG_8794.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgHDhH4HCUPy9TQTVc7okImFlExEKcpGoksL9KYLtD6wsYjRylp4NStbpmuHKS_qSxXODLjw6dBElI9j_49YQ2jDBxmdZ5kH5M6RK4h29ybMrs0olOQzgOXociUcMEbFxvKwSvypj0VMt4/s72-c/IMG_8794.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2015/08/simba-na-polisi-walivyosukuma-gozi.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/08/simba-na-polisi-walivyosukuma-gozi.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy