MATUKIO YA WAKRISTO IJUMAA KUU KATIKA TASHWIRA MBALIMBALI Kijana Mosses Kombe wa KKKT, Kanisa la Azania Front Dar es Salaam akiigi...
MATUKIO YA WAKRISTO IJUMAA KUU KATIKA TASHWIRA MBALIMBALI
 |
Kijana Mosses Kombe wa KKKT, Kanisa la Azania Front Dar
es Salaam akiigiza jinsi Yesu Kristo alivyoangikwa msalabani katika ibada
ya Ujumaa Kuu.
|
 |
Baadhi ya waumini wa Kanisa Katolilki Jimbo Kuu la Dodoma wakishiriki ibada ya Ujumaa Kuu.
 |
Katibu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Padre Denis Wigira akitoa mahubiri katika ibada ya Ijumaa Kuu kwenye kanisa la Mtakatifu Yosefu. |
|
 |
Waumini wa KKKT, Azania Front wakishiriki Ibada ya Ijumaa Kuu. |
 |
Baadhi ya vijana wa KKKT, Azania Front Dar es Salaam wakikiigiza mateso na kifo cha Yesu Kristo katika katika ibada ya Ujumaa Kuu.
 |
Waumini wa KKKT, Azania Front wakishiriki Ibada ya Ijumaa Kuu. |
|
.JPG) |
Mtawa akimbusisha msalaba mmoja wa waumini wa Kanisa Katoliki la Mt Yosefu, Jimbo Kuu la Dar es Salaam wakati wa ibada ya Ijumaa Kuu jana. |
 |
Waumini wa KKKT kanisa la Azania Front wakifuatilia igizo la mateso na kifo cha Yesu Kristu katika ibada ya Ijumaa Kuu jana. |
.JPG) |
Mtoto akibusu msalaba katika viwanja vya kanisa Katoliki la Mt Yosefu, Jimbo Kuu la Dar es Salaam jana, ikiwa ni ishara ya kuheshima wa msalaba uliwezesha kuwepo mapatana mapya kati ya wanadamu na Mungu kwa kifo cha Yesu Kristo kilichotokea miaka takribani 2000 iliyopita.
 |
Waumini wa Kanisa Katolikiwakimsikiliza Katibu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Padre Denis
Wigira akitoa mahubiri katika ibada ya Ijumaa Kuu kwenye kanisa la
Mtakatifu Yosefu. |
|
 |
Kijana wa Kanisa la KKKT kanisa la Azania Front akilia kwa uchungu alipokuwa akiigiza kama Yuda Iskarioti baada ya kumsaliti Yesu Kristu katika ibada ya Ijumaa Kuu. |
.JPG) |
Watumishi na mapadre wakiandamana kuingia Kanisa la Mtakatifu Yosefu Jimbo Kuu la Dar es Salaam kushiriki ibada ya Ijumaa Kuu jana |
 |
Waumini wa Kanisa Katoliki wakifuatilia ibada katika kanisa la Mt Yosefu Ijumaa Kuu Dar es Salaam jana. |
.JPG) |
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Muhadhama Kadinali Policarp Pengo akibusu msalaba katika viwanja vya kanisa
Katoliki la Mt Yosefu, jana, ikiwa ni ishara
ya kuheshima wa msalaba uliwezesha kuwepo mapatano mapya kati ya wanadamu
na Mungu kwa kifo cha Yesu Kristo kilichotokea miaka takribani 2000
iliyopita.
 |
Waumini wa Kanisa Katoliki wakifuatilia ibada katika kanisa la Mt Yosefu Ijumaa Kuu Dar es Salaam jana. |
|
 |
Vijana wa Kanisa la KKKT kanisa la Azania Front wakiigiza mateso ya Yesu kipengele cha kuangikwa msalabani pamoja na wahalifu wengine wawili katika ibada ya Ijumaa Kuu. |
 |
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Muhadhama Kadinali Policarp Pengo akitafakari katika ibada ya Ijumaa Kuu aliposhiriki ibada katika Kanisa la Mt Yosefu, jana. |
 |
Baadhi ya waumini wa Kanisa la KKKT, Azania Front Dar es Salaam wakiwa katika ibada ya Ujumaa Kuu. |
 |
Spika wa Bunge, Anne Makinda akibusu msalaba aliposhiriki ibada hiyo katika kanisa Katoliki Jimbo la Dodoma jana. |
 |
Baadhi ya waumini wa Kanisa Katoliki Jimbo la Dodoma wakishiriki ibada ya Ijumaa Kuu. |
 |
Vijana wa KKKT Azania Front wakiigiza kupigiliwa misumari kwa mmoja wa wahalifu waliotundikwa msalabani pamoja na Yesu Kristu, katika ibada ya Ijumaa Kuu. |
 |
Baadhi ya waumini wa Kanisa Katolilki Jimbo la Dodoma wakishiriki ibada ya Ijumaa Kuu.
 |
Waumini wa Kanisa Katoliki wakifuatilia ibada katika kanisa la Mt Yosefu Ijumaa Kuu Dar es Salaam jana. |
|
 |
Vijana wa KKKT Azania Front wakishiriki kwenye igizo kama wafuasi wa Yesu Kristu katika ibada ya Ijumaa Kuu. |
COMMENTS