Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye (kulia), akipokea na Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji Mku...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo, Nape Nnauye (kulia), akipokea na Mkurugenzi wa Idara ya Habari
Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abass, alipotembelea
Idara hiyo jijini Dar es Salaam, Januari 19, 2017 ikiwa ni sehemu ya
ziara yake ya kikazi kutembelea vyombo vya habari jijini Dar es Salaam. (PICHA NA FRANK SHIJA-MAELEZO)
Waziri Nape, akipatiwa maelezo na Dkt.
Abass na maafisa wengine wa idara ya Habari Maelezo kuhusu ukumbi
unaotumika kwa mikutano na waandishi wa habari
Afisa Habari Mkuuwa Idara ya Habari (MAELEZO)
Bw. John Lukuwi akimuelezea Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.
Nape Mozes Nnauye (aliyekaa) namna Kamera ya kupiga picha majengo marefu inavyofanya kazi.
Waziri Nape, akionyeshwa habari
zilizochapishwa na moja ya magazeti nchini miaka ya nyuma, wakati waziri
Nape alipotembelea maktaba ya Idara hiyo
Waziri Nape, akipitia baadhi ya magazeti yaliyochapisha habari miaka ya nyuma, wakati alipotembelea maktaba ya Idara hiyo.
Waziri Nape akiwa katika moja ya
maktaba za Idara ya Habari Maelezo. Kulia ni Naibu Mkurugenzi wa Idara
hiyo, Bw. Vincent Tiganya.
Waziri Nape, akionyeshwa saver ya
kutunza picha ya Idara ya Habari Maelezo. Kulia ni Afisa Habari Mkuu wa
Idara hiyo, Bw. John Lukuwi.
Picha ya pamoja
COMMENTS