RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akifuatana na Kaimu Balozi wa Tanzania...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akifuatana na Kaimu Balozi wa
Tanzania nchini Ethiopia Brig Generali Bishoge mara alipowasili katika
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Nchini humo akiwa na Ujumbe wake
akielekea Nchini Djibout kwa ziara ya Kiserikali ya siku tatu (katikati )
Mke wa Rais Mama Mwanamwema Shein tarehe 6 Mei 2017.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk .Ali Mohamed Shein,
akisalimiana wafanyakazi wa Ofisi ya Ubalozi wa Ethiopia mara
alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Nchini Humo akiwa na
Ujumbe wake akielekea Nchini Djibout kwa ziara ya Kiserikali ya siku
tatu,(Picha na Ikulu) 6 Mei 2017.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana Kaimu Balozi wa
Tanzania nchini Ethiopia Brig Generali Bishoge mara alipowasili katika
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Nchini humo akiwa na Ujumbe wake
akielekea Nchini Djibout kwa ziara ya Kiserikali ya siku tatu,(katikati )
Mke wa Rais Mama Mwanamwema Shein,(Picha na Ikulu) 6 Mei 2017.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akifuatana na Kaimu Balozi wa
Tanzania nchini Ethiopia Brig Generali Bishoge mara alipowasili katika
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Nchini humo akiwa na Ujumbe wake
akielekea Nchini Djibout kwa ziara ya Kiserikali ya siku tatu (katikati )
Mke wa Rais Mama Mwanamwema Shein. (Picha na Ikulu)
COMMENTS