IJUE ISEMAVYO SHERIA YA MIPANGO MIJI NA. 8 YA MWAKA 2007
Mkurugenzi wa Idara ya Mipango Miji na Vijiji, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi; Prof. John Lupala akitoa ufafanuzi wa Sheria ya Mipango Miji, Na. 8 ya Mwaka  2017.
HomeJamii

IJUE ISEMAVYO SHERIA YA MIPANGO MIJI NA. 8 YA MWAKA 2007

Prof. John Lupala, Mkurugenzi wa Idara ya Mipango Miji na Vijiji, Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi amewataka wananchi kuzing...

SERIKALI YAWEKA MIKAKATI YA KUWAONDOA VIJANA KATIKA MAZINGIRA HATARISHI ILI WASHIRIKI SHUGHULI ZA KIJAMII
RAIS DKT MAGUFULI AFUNGUA NYUMBA ZA MAKAZI ZA NHC IYUMBU DODOMA LEO
REACHING OUT DESTINIES FOUNDATION(RDF) WASHEREKEA MWAKA MMOJA TANGU KUANZISHWA KWAKE NA KUZINDUA JUKWAA LA MAZUNGUMZO.


Prof. John Lupala, Mkurugenzi wa Idara ya Mipango Miji na Vijiji, Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi amewataka wananchi kuzingatia  Sheria Na. 8 ya mwaka 2007 kuepuka adha zinazotokana na kutozingatia sheria hiyo.
Akitoa ufafanuzi wa Sheria ya Mipango Miji, namba 8 ya mwaka 2007; Prof. Lupala alisema; Sheria imetungwa ili kutoa muongozo namna ya kupanga miji nchini. Prof. Lupala amefafanua maeneo matatu  ya Mipango katika sheria hiyo.
Mipango Kabambe/ General Planning; Mipango ambayo huandaliwa kuongoza ukuaji wa miji kwa muda wa miaka 20. Ambapo sheria inasisitiza ushiriki wa maoni ya Wananchi.
Mipango Kina; Mgawanyo wa viwanja au shamba unaofanywa katika eneo fulani, hutakiwa kuandaliwa kulingana na taratibu za viwango vya upangaji ndani ya miji, alieleza hata kama mpangaji binafsi anatumika ni lazima viwango vya kisheria vizingatiwe.
Urasimishaji; Unalenga kutambua miliki za watu, kutengeneza viwanja vya milki za maeneo yao na kupangilia miji kwa kuweka huduma za msingi au miundombinu ya msingi kama; maji, barabara n.k.
Pro.Lupala alisema iwapo mwananchi hatazingatia taratibu za uendelezaji Miji bila kupata kibali cha ujenzi, Mamlaka za Miji huchukua hatua kwa Kusimamisha ujenzi au kubomoa.
Wananchi hawana budi kushiriki katika maoni wakati wa upangaji miji na kutojenga katika maeneo hatarishi, ya hifadhi au oevu.


(Na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini – Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi)



Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: IJUE ISEMAVYO SHERIA YA MIPANGO MIJI NA. 8 YA MWAKA 2007
IJUE ISEMAVYO SHERIA YA MIPANGO MIJI NA. 8 YA MWAKA 2007
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi_F3yMCc3aN5rDfqlhvRg4IUCzGMD88EA3ZeDXlRIVXX4uJF77DVkfpF6yOKpJkNhMEL6BfwUy0_UJ0o8wWB-pAplPTjQfLCF-G7-gIC2Nf2ivYnHzdxy_Fa3rEgB1eeFXIoBIvyq0Dc4/s640/Prof.Lupala.png
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi_F3yMCc3aN5rDfqlhvRg4IUCzGMD88EA3ZeDXlRIVXX4uJF77DVkfpF6yOKpJkNhMEL6BfwUy0_UJ0o8wWB-pAplPTjQfLCF-G7-gIC2Nf2ivYnHzdxy_Fa3rEgB1eeFXIoBIvyq0Dc4/s72-c/Prof.Lupala.png
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/05/ijue-isemavyo-sheria-ya-mipango-miji-na.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/05/ijue-isemavyo-sheria-ya-mipango-miji-na.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy