MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA UJUMBE WA SHIMUTA
HomeJamii

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA UJUMBE WA SHIMUTA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kufanya mazungumzo na Viongozi wa Shirikisho l...

MASHIRIKA YA UMOJA WA MATAIFA NCHINI TANZANIA WAFANYA MKUTANO NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI
MAAFISA HABARI WA SERIKALI WATOA MISAADA SHULE YA MSINGI BUIGIRI WASIOONA
WAZIRI MKUU MAJALIWA AIFARIJI FAMILIA YA MAREHEMU SIR GEORGE, AKUTANA NA BALOZI WA IRAN




Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kufanya mazungumzo na Viongozi wa Shirikisho la Michezo la Mashirika ya Umma, Taasisi na Makampuni Binafsi Tanzania (SHIMUTA) mjini Dodoma.

Akizungumza baada ya kikao na Makamu wa Rais, Mwenyekiti wa Shirikisho hilo Bw. Khamis Mkanachi alisema wamekutana na Makamu wa Rais na kumkabidhi ripoti ya mashindano ya mwaka 2016-2017 na 2017-2018.

Pamoja na kumkabidhi Ripoti hiyo, pia walimueleza Makamu wa Rais ambaye ni Mlezi wa Shirikisho, changamoto na mipango mbali mbali ya kuboresha shirikisho hilo. Pichani Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea ripoti ya Shirikisho la Michezo la Mashirika ya Umma, Taasisi na Makampuni Binafsi Tanzania kutoka kwa Mwenyekiti wa Shirikisho hilo Bw. Khamis Mkanachi ambaye aliongozana na Uongozi na Wajumbe wa Shirikisho kukutana na Makamu wa Rais kwenye makazi yake, Kilimani mjini Dodoma.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Ujumbe wa Shirikisho la Michezo la Mashirika ya Umma, Taasisi na Makampuni Binafsi Tanzania kwenye makazi yake Kilimani mjini Dodoma



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Ujumbe kutoka Shirikisho la Michezo la Mashirika ya umma, Taasisi na Makampuni Binafsi Tanzania mara baada ya kumaliza mazungumzo kwenye makazi yake Kilimani, mjini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA UJUMBE WA SHIMUTA
MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA UJUMBE WA SHIMUTA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj1AvlAlC0ltWcNKn6jrlVCwZdCojrps9yK4PGMR78ITttuAbfyahjdY9F-5Rm8bGs9DGPVYjMLHrFh5b4z4aCqRItCm2n_TDNnm6MD5uh07g14oCf_WCF6V2-_jfyQLmjxfuKzdnQj9gWG/s640/7.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj1AvlAlC0ltWcNKn6jrlVCwZdCojrps9yK4PGMR78ITttuAbfyahjdY9F-5Rm8bGs9DGPVYjMLHrFh5b4z4aCqRItCm2n_TDNnm6MD5uh07g14oCf_WCF6V2-_jfyQLmjxfuKzdnQj9gWG/s72-c/7.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/02/makamu-wa-rais-akutana-na-ujumbe-wa.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/02/makamu-wa-rais-akutana-na-ujumbe-wa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy