RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA KIONGOZI MKUU WA JUMUIYA YA KIHINDU MWAMINARAYAN SANSTHA (BAPS) DUNIANI MTUKUFU MAHANT SWAMI MAHARAJ
HomeJamii

RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA KIONGOZI MKUU WA JUMUIYA YA KIHINDU MWAMINARAYAN SANSTHA (BAPS) DUNIANI MTUKUFU MAHANT SWAMI MAHARAJ

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea Kiongozi Mkuu wa Jumuiya ya Kihindu Mwaminarayan Sanstha(BAP...

RAIS DKT. MAGUFULI AAGANA NA GAVANA PROF. NDULU PIA AKUTANA NA GAVANA MTEULE WA (BOT) PROF. LUOGA IKULU DAR ES SALAAM
MAKAMU WA RAIS AHUDHURIA MSIBA WA MKE WA WAZIRI KANGI LUGOLA
HESLB KUANZA KUWASAKA WADAIWA 119,497 JUMATATU IJAYO



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea Kiongozi Mkuu wa Jumuiya ya Kihindu Mwaminarayan Sanstha(BAPS) Duniani Mtukufu Mahant Swami Maharaj mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Kiongozi huyo Mkuu wa Jumuiya ya Kihindu Mwaminarayan Sanstha(BAPS) Mtukufu Mahant Swami Maharaj mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiombewa Dua na kiongozi huyo wa Jumuiya ya Kihindu Duniani Mwaminarayan Sanstha(BAPS) Mtukufu Mahant Swami Maharaj aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es Salaam.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza mgeni wake kiongozi huyo Mkuu wa Jumuiya ya Kihindu Mwaminarayan Sanstha(BAPS) Mtukufu Mahant Swami Maharaj mara baada ya kumaliza mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wanahabari mara baada ya kumaliza mazungumzo yake na kiongozi huyo wa Jumuiya ya Kihindu Mwaminarayan Sanstha(BAPS) Mtukufu Mahant Swami Maharaj Ikulu jijini Dar es Salaam.




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na Kiongozi huyo Mkuu Duniani wa Jumuiya ya Kihindu Mwaminarayan Sanstha(BAPS) Mtukufu Mahant Swami Maharaj Ikulu jijini Dar es Salaam. 



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Kiongozi huyo Mkuu Duniani kutoka Jumuiya ya Kihindu Mwaminarayan Sanstha(BAPS) Mtukufu Mahant Swami Maharaj Ikulu jijini Dar es Salaam. (PICHA NA IKULU)
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA KIONGOZI MKUU WA JUMUIYA YA KIHINDU MWAMINARAYAN SANSTHA (BAPS) DUNIANI MTUKUFU MAHANT SWAMI MAHARAJ
RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA KIONGOZI MKUU WA JUMUIYA YA KIHINDU MWAMINARAYAN SANSTHA (BAPS) DUNIANI MTUKUFU MAHANT SWAMI MAHARAJ
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgEhC16E7DiAlSK2dQiNf1fdaCty4UikeJjp2eQAjgbeyDHtF9X1IhOzhHB_sRgCUwVudztb2ogoImgvRBXkQaBCJLDShcRI-_i8hO_uwGJmPRdpb2cmvlIpq9t4TTmQq4uwoepU8_3nU8/s640/p1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgEhC16E7DiAlSK2dQiNf1fdaCty4UikeJjp2eQAjgbeyDHtF9X1IhOzhHB_sRgCUwVudztb2ogoImgvRBXkQaBCJLDShcRI-_i8hO_uwGJmPRdpb2cmvlIpq9t4TTmQq4uwoepU8_3nU8/s72-c/p1.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/04/rais-dkt-magufuli-akutana-na-kiongozi.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/04/rais-dkt-magufuli-akutana-na-kiongozi.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy