Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifariji Mama Jannet Kahama, Mjane wa Marehemu, George Kahama wakati alipokwenda kuhani msiba...
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akifariji Mama Jannet Kahama, Mjane wa
Marehemu, George Kahama wakati alipokwenda kuhani msiba nyumbani kwa
marehemu, Msasani jijini Dar es Salaam, Machi 17, 2017. Wengine pichani ni
wanafamilia. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI
MKUU)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Iran Nchini, Mhe. Mousa Farhang kabla ya mazungumzo yao, kwenye Makazi yake, Oysterbay jijini Dar es Salaam, Machi 17, 2017.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akifariji Mama Jannet Kahama, Mjane wa
Marehemu, George Kahama wakati alipokwenda kuhani msiba nyumbani kwa
marehemu, Msasani jijini Dar es salaam, Machi 17, 2017. Wengine pichani ni
wanafamilia.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Joseph Kahama, mtoto wa marehemu George Kahama wakati alipokwenda nyumbani kwa marehemu, Msasani jijini Dar es Salaam kutoa pole kwa familia Machi 17, 2017 |
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa
Iran Nchini, Mhe. Mousa Farhang kwenye Makazi yake, Oysterbay jijini Dar es Salaam, Machi 17, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Iran Nchini, Mhe. Mousa Farhang kabla ya mazungumzo yao, kwenye Makazi yake, Oysterbay jijini Dar es Salaam, Machi 17, 2017.
COMMENTS