Mkurugenzi Mtendaji wa TIB Corporate Bank, Frank Nyabundege akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni 15.3 Mkuu wa Mkoa wa Katavi, M...

Mkurugenzi Mtendaji wa TIB Corporate Bank, Frank Nyabundege akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni 15.3 Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Meja Jenerali, Raphael Muhuga kwa ajili ya kuchangia shughuli mbalimbali za maendeleo ikiwemo miundombinu hafla iliyofanyika mkoani humo leo. Pamoja nao ni Waziri wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira, na Wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama (kulia kwa mkuu wa mkoa), Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana na Ajira, Mhe. Anthony Mavunde (wa pili kushoto), Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Uhusiano wa TIB Corporate bank, Theresia Soka (wa tatu kushoto) na viongozi wengine.
TIB CORPRATE BANK YACHANGIA MILIONI 15.3 KWA MAENDELEO YA MKOA WA KATAVI

Advertisement

MAIN QUOTE
x cbfgmfg hghg
- Steve Jobs
WEEK TRENDING
Loading...
YEAR POPULAR
HUYU NDIYE MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KULIKO WOTE DUNIANI MWANAMA Mikel Ruffinelli mkazi wa Los Angeles, Marekani, amedhihirisha k...
Mkuu wa Chuo cha Maafisa wa Jeshi kilichopo Monduli mkoani Arusha Meja Jenerali Paul Mssao akitoa taarifa ya maofisa wapya kwa Amiri ...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Rwanda Paul Kagame kabla ya kuanza...
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwasili kufunga mafunzo ya ...
Msomaji wa Quran tukufu katika mashindano ya kitaifa, Abdallah Abdulkadri akisoma wakati wa fainali zake mashindano Dar es Sal...
COMMENTS