G4S NA BHUPES PRIDE WAFANIKISHA ZIARA YA RUGBY TANZANIA
Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa G4S Jacqui Bothma akiongea na waandishi wa habari katika tamasha la Rugby liliwashirikisha wanafunzi wa kutoka shule za msingi mbalimbali za Dar es Salaam katika kuendeleza mchezo huo Tanzania na lililoendeshwa na Bhubesi Pride kutoka Uingereza, na kufanyika viwanja vya shule ya kimataifa ya Tanganyika (IST) Aprili, 20, 2013. Tamasha hilo lilidhaminiwa na kampuni ya ulinzi ya G4S.  

G4S NA BHUPES PRIDE WAFANIKISHA ZIARA YA RUGBY TANZANIA

Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa G4S Jacqui Bothma akiongea na waandishi wa habari katika tamasha la Rugby liliwashirikisha wanafunzi wa...

MAGAZETI YA JUMANNE LEO NOVEMBA 14,2017
RC MAHENGE: SITAKI KUSIKIA TATIZO LA UPUNGUFU WA CHAKULA WALA NJAA DODOMA
KAMPUNI YA TATU MZUKA NA NAIBU WAZIRI MAVUNDE WAKABIDHI MATOFALI 3000 NA MIFUKO YA SARUJI 100 KWA AJILI YA UJENZI WA SHULE ZA MSINGI MPYA ZA MBANDE NA MUUNGANO MKOANI DODOMA

Kocha kutoka Ufaransa Guillume Moisseau akiangalia wanafunzi kama wanazingatia mafunzo aliyowapatia.

Kocha kutoka Ufaransa Guillume Moisseau. akiwafundisha mchezo wa Rugby.

Kocha kutoka Afrika Kusini Ian Mcintosh (kulia mwenye mpira) akiwafundisha mchezo wa Rugby wanafunzi hao. Kulia anayemsaidia kwa mafunzo ni Kocha Dale.

Mmoja wa wachezaji akimtoka mwenzake huku akiwa na mpira katika mafunzo hayo. Kulia ni Kocha kutoka Ufaransa Guillume Moisseau.
Wanafunzi wa kicheza mchezo huo wakati wa mafunzo hayo.
Wanafunzi wakiwa katika mafunzo kwa vitendo uwanjani
Wanafunzi kutoka shule mbalimbali walishiriki wakipiga makofi katika hafla hiyo.

Mkurugenzi wa Kampuni ya Ulinzi ya G4S Jonathan Boucher akimkabidhi tuzo Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Mapambano Idda Uisso kwa kutambua ushiriki wao katika Tamasha hilo. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa G4S Jacqui Bothma.

Mkurugenzi wa Kampuni ya Ulinzi ya G4S Jonathan Boucher (kushoto) akimkabidhi tuzo Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Shekilango Janeth Maanga (katika) kwa kutambua ushiriki wao katika Tamasha. Kulia anayemsaidia ni Mkurugenzi Mtendaji wa G4S Jacqui Bothma.


Mkurugenzi wa Kampuni ya Ulinzi ya G4S Jonathan Boucher akimkabidhi tuzo Mkuu wa Masomo ya Viungo wa Shule ya Msingi ya Kimataifa ya Tangayika (IST) Robert Tate kwa kushiriki na kufanikisha Tamasha la Rugby. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa G4S Jacqui Bothma.
Washiriki, makocha wadhamini pamoja na wanafunzi wakiwa katika picha baada ya michezo.

Kocha kutoka Afrika Kusini Ian Mcintosh akiwafundisha mchezo wa Rugby wanafunzi hao.
Washiriki wakiwa katika picha ya pamoja tena.
Kocha kutoka Uingereza Ryan Jones (wa pili kulia) akiwafundisha mchezo wa Rugby wanafunzi wa kutoka shule za msingi mbalimbali za Dar es Salaam katika tamasha hilo.



G4S and Bhubesi Pride bring Rugby in Africa Tour - 2013 to Local Tanzanian Schools
Dar es Salaam, Tanzania – April 20, 2013 - G4S Secure Solutions (T) Limited part of the G4S group, the world’s leading security solutions group and Bhubesi Pride a UK based charitable organization working in 10 African countries to support community development and rugby, has this year brought the Rugby in Africa Tour to local Tanzanian schools. A total of 4000 Tanzanian school children have received rugby coaching from some of the best coaches in the world.
Bringing international rugby coaches such as Ryan Jones of the South African Springboks, Juan Pablo Andrade, Gullaume Boisseau, Ben Illingworth, Jonathan Markiwitz and Mike Googan, the Rugby in Africa Tour-2013 aims to promote Social change, Education and development through Rugby. The tour has passed through Ethiopia, Kenya, Uganda, Rwanda and now Tanzania, where the team has conducted trainings over 3 weeks in Arusha, Moshi and Dar es Salaam and will continue to Malawi, Zambia, Botswana, Namibia and South Africa.
 “ You can’t change everyone in society but if we change one, two or 4,000 people only then, can you make a difference.” We hope to impact the community and society at large especially children” says the G4S Managing Director in Tanzania Jaqui Bothma. “Besides rugby coaching, we also conduct career counseling, Health and Safety tips as well as tips on protecting the environment. We have customized a local experience and made it practical so that the children can use this knowledge fully” she added.
The initiative has served the objectives to unite both boys and girls  through sport, addressing health education and life skills,  empowering local teaching staff by providing equipment, resources, training and knowledge as well as inspired sustainable development through the establishment and development of long-term international school links between Africa and Europe.

“ I love coming, to schools like Mapambano Shelikongo in Dar es Salaam as it is a perfect demonstration of how Bhubesi Pride working with key people like G4S on the ground can ensure meaningful community Rugby programs to be sustainable. G4S activating their staff from relevant departments to contribute to the school community through health and safety trainings and discussing career opportunities with the children goes hand in hand with the sport program in promoting healthy lifestyles.” Says Bhubesi Pride’s founder Richard Bennett.
The grand finale in Tanzania took place today at the International School of Tanganyika with friendly tournaments between the children as well as more seasoned Rugby players in Tanzania. The initiative will continue throughout the year through the support of G4S who hope to create an environment whereby teenagers will no longer opt for crime but instead focus on sports. G4S also sponsors children in Olympics  especially under-privileged youths. The initiative has also received support from Police Commissioner Kova who believes in the value of sports and how it can change lives.
For more information, visit: www.rugbyinafrica.org
###
About G4S

G4S is the world's leading international security solutions group. With operations in more than
125 countries and 657,000 employees, we specialize in outsourced business processes and
facilities in sectors where security and safety risks are considered a strategic threat.

G4S Secure Solutions (T) Limited is a Tanzanian-registered Security Company specializing in
the protection of assets in the financial, industrial, diplomatic and commercial sectors. G4S
employs almost 2,000 people on a full time basis with an annual turnover in excess of Tzs17
billion per year.

G4S Secure Solutions (T) Ltd has branches in the following 6 regions in Tanzania:


  • Arusha
  • Dar es Salaam
  • Mbeya
  • Mtwara
  • Mwanza
  • Zanzibar


We also provide Cash in Transit Services in the following regions:


  • Dodoma
  • Iringa
  • Kagera
  • Kigoma
  • Kilimanjaro
  • Lindi
  • Mara
  • Morogoro
  • Pemba Island
  • Rukwa
  • Ruvuma
  • Shinyanga
  • Singida
  • Tabora
·         Tanga






Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: G4S NA BHUPES PRIDE WAFANIKISHA ZIARA YA RUGBY TANZANIA
G4S NA BHUPES PRIDE WAFANIKISHA ZIARA YA RUGBY TANZANIA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgyiuSejBhs7Jcr6MaRFKiDl7OwbeK4-YS3bEMs0C1BDj3pE8U5YBdEwbGOfwNVUniBdnNERK8m7yvEHpLLOV9MhdkAF-b9WoQnnabeDRLB7PSOwI69O4lJYAUKZESqrw191V52etAXylI/s640/DSC_0150.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgyiuSejBhs7Jcr6MaRFKiDl7OwbeK4-YS3bEMs0C1BDj3pE8U5YBdEwbGOfwNVUniBdnNERK8m7yvEHpLLOV9MhdkAF-b9WoQnnabeDRLB7PSOwI69O4lJYAUKZESqrw191V52etAXylI/s72-c/DSC_0150.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2013/04/g4s-na-bhupes-pride-wafanikisha-ziara.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2013/04/g4s-na-bhupes-pride-wafanikisha-ziara.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy