RATIBA RASMI YA MAZISHI YA MAREHEMU PERAS MKE WA MZEE KINGUNGE NGOMBALE MWIRU
Mke wa mwanasiasa mkongwe nchini, Mzee Kingunge Ngombale Mwiru, Marehemu Peras Kingunge enzi za uhai wake.
HomeJamii

RATIBA RASMI YA MAZISHI YA MAREHEMU PERAS MKE WA MZEE KINGUNGE NGOMBALE MWIRU

Mazishi ya mke wa mwanasiasa mkongwe nchini, Mzee Kingunge Ngombale Mwiru, Marehemu Peras Kingunge, yamepangwa kufanyika siku ya Alhamisi ...

AMIRI JESHI MKUU WA MAJESHI YA ULINZI, RAIS MAGUFULI AKUTANA NA MAJENERALI WANAOTARAJIA KUSTAAFU
TANZANIA YAPOKEA MSAADA WA TRIONI MOJA KUTOKA GLOBAL FUND KUSAIDIA TB,UKIMWI NA MALARIA
WAZIRI MBARAWA AUFUNGUA MKUTANO WA BARAZA KUU LA WAFANYAKAZI WA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA (TPC) JIJINI DAR ES SALAAM

Mazishi ya mke wa mwanasiasa mkongwe nchini, Mzee Kingunge Ngombale Mwiru, Marehemu Peras Kingunge, yamepangwa kufanyika siku ya Alhamisi Janury 11, 2018 katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, msemaji wa familia Bw. Omari Kimbau ametangaza. 
Bw. Kimbau amesema kuwa ratiba ya mazishi hayo itaanza rasmi siku ya Jumatano jioni wakati mwili wa marehemu utawasili nyumbani  kwake mtaa wa Kingunge eneo la Victoria (njia ya kuelekea Mwananyamala, jirani na ilipokuwa Istana Restaurant) kutoka hospitali ya Taifa ya Muhimbili unakohifadhiwa, na kwamba baada ya hapo kutakuwa na mkesha wa maombi. 
Amesema siku ya pili, Alhamisi, shughuli zitakuwa kama ifuatavyo: 
*Saa moja hadi za mbili na nusu asubuhi - Kifungua kinywa kwa waombolezaji 
*Saa Tatu hadi saa Sita na nusu - Waombolezaji wataaga mwili wa marehemu 
*Saa saba mchana - Misa ya marehemu kufanyika katika kanisa la St. Peters, Oysterbay. 
*Baada ya misa mwili utapelekwa makaburini Kinondoni kwa mazishi. 
 Baada ya mazishi Bw. Kimbau ameomba waombolezaji warejee nyumbani kwa marehemu kwa ajili ya chakula na kuanua tanga. 

Mwenyekiti wa Umoja wa vijana wa CCM (UVCCM) akiweka sahihi kwemye kitabu cha maombolezo alipofika kutoa pole kwenye msiba wa mke wa mwanasiasa mkongwe nchini, Mzee Kingunge Ngombale Mwiru, Marehemu Peras Kingunge, nyumbani kwa marehemu maeneo ya Victoria jijini Dar es Salaam Januari 7 2018.

Marehemu Peras Kingunge alifariki dunia siku ya Alhamisi katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu. Mume wake, Mzee Kingunge, kwa hivi sasa amelazwa hospitalini hapo akiuguza majeraha yaliyotokana na kuumwa na mbwa nyumbani kwake. Hali yake inazidi kuimarika na anatarajiwa kurudi nyumbani kushiriki katika mazishi ya mkewe wakati wowote kuanzia sasa.





Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: RATIBA RASMI YA MAZISHI YA MAREHEMU PERAS MKE WA MZEE KINGUNGE NGOMBALE MWIRU
RATIBA RASMI YA MAZISHI YA MAREHEMU PERAS MKE WA MZEE KINGUNGE NGOMBALE MWIRU
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj_vgjlkOdDA9iQSyKC6-gEk0VQcyRMzGP4owgVrJd8G7WXjyckIKPcYbeM-ew2_hbEHA9wwdyXnFQDOo3Nd6T8yNupzZw41IaH59huMg18fklJhOZVEGP_8f185ad5PKBFrR553HoGiDM/s640/IMG_E0123+%25281%2529.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj_vgjlkOdDA9iQSyKC6-gEk0VQcyRMzGP4owgVrJd8G7WXjyckIKPcYbeM-ew2_hbEHA9wwdyXnFQDOo3Nd6T8yNupzZw41IaH59huMg18fklJhOZVEGP_8f185ad5PKBFrR553HoGiDM/s72-c/IMG_E0123+%25281%2529.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/01/ratiba-rasmi-ya-mazishi-ya-marehemu.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/01/ratiba-rasmi-ya-mazishi-ya-marehemu.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy