AMIRI JESHI MKUU WA MAJESHI YA ULINZI, RAIS MAGUFULI AKUTANA NA MAJENERALI WANAOTARAJIA KUSTAAFU
HomeJamii

AMIRI JESHI MKUU WA MAJESHI YA ULINZI, RAIS MAGUFULI AKUTANA NA MAJENERALI WANAOTARAJIA KUSTAAFU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini (C...

MAHAFALI YA UALIMU NA KIDATO CHA NNE YA AL-HARAMAIN YAFANA JIJINI DAR ES SALAAM
CLOUDS TV YAPEWA TUZO YA KITUO BORA CHA TELEVISHENI 2017
WADAU WATAKIWA KUJITOKEZA KUFADHILI TAMASHA LA WATOTO CHRISMASS




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini (CDF) Jenerali Venance Mabeyo ambaye aliambatana na Maafisa Wakuu (sita) wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania ambao wanatarajiwa kustaafu.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini (CDF) Jenerali Venance Mabeyo pamoja na Maafisa Wakuu (sita) wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania wanaotarajiwa kustaafu ambao ni Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi wa Tanzania Luteni Jenerali James Mwakibolwa wanne kutoka (kulia), Meja Jenerali Michael Isamuhyo watatu kutoka (kulia) Brigedia Jenerali Aron Robert Lukyaa wapili kutoka (kulia), Kanali Peter Samuel Sameji (kwanza kulia). Wengine katika picha ni Brigedia Jenerali William Ephraim Kivuyo (wa pili kutoka kushoto) na Brigedia Jenerali Elizaphani Lutende Marembo. (PICHA NA IKULU)






Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini (CDF) Jenerali Venance Mabeyo kabla hajaanza kuwatambulisha Maafisa Wakuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (hawaonekani pichani) ambao wanatarajia kustaafu.

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: AMIRI JESHI MKUU WA MAJESHI YA ULINZI, RAIS MAGUFULI AKUTANA NA MAJENERALI WANAOTARAJIA KUSTAAFU
AMIRI JESHI MKUU WA MAJESHI YA ULINZI, RAIS MAGUFULI AKUTANA NA MAJENERALI WANAOTARAJIA KUSTAAFU
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh29rmJI0-ZQLxlPEqrY_YxbKbicvfKy1hMyx9UREilWICO3DX8FStRF2mYZYQLJMCPwTHLX_tRCCTZOl7ybYxxh3oZqE6uvCcRa6gay_YDonw7lSxVqHDhVfHRhIxoJqeOuK8RJUH0zFFU/s640/14.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh29rmJI0-ZQLxlPEqrY_YxbKbicvfKy1hMyx9UREilWICO3DX8FStRF2mYZYQLJMCPwTHLX_tRCCTZOl7ybYxxh3oZqE6uvCcRa6gay_YDonw7lSxVqHDhVfHRhIxoJqeOuK8RJUH0zFFU/s72-c/14.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/01/amiri-jeshi-mkuu-wa-majeshi-ya-ulinzi.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/01/amiri-jeshi-mkuu-wa-majeshi-ya-ulinzi.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy