KONGAMANO LA TANZANIA YA VIWANDA LAFANA MKOANI IRINGA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista akisalimia wajumbe waliohudhuria k...


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista akisalimia wajumbe waliohudhuria katika Kongamano la Tanzania ya Viwanda wakati wa maandalizi ya Sherehe za Mei Mosi lililofanyika mkoani Iringa Aprili 27, 2018.


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista akitia saini kitabu cha wageni alipowasili katika ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe.Amina Masenza kwa ajili ya maandalizi ya sherehe za Mei Mosi.



Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe.Charles Mwijage akitia saini kitabu cha wageni alipowasili katika ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Amina Masenza kwa ajili ya maandalizi ya sherehe za Mei Mosi.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista akipokelewa na Mkoa wa Iringa Mhe. Amina Masenza alipowasili mkoani hapo kwa ajili ya maandalizi ya sherehe za Mei Mosi akiongozana na Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista akisema jambo wakati wa kikao kifupi na Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe.Amina Masenza (hayupo pichani) wakati wa maandalizi ya shughuli za Mei Mosi mkoani hapo.


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista na Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage wakiimba wimbo wa Umoja na Mshikamano wakati wa Kongamano la Tanzania ya Viwanda lililohusu maandalizi ya Sherehe za Mei Mosi Mkoani Iringa.


Baadhi ya wajumbe wa Kongamano la Tanzania ya Viwanda wakati wa maandalizi ya kuifikia Siku ya Mei Mosi wakiimba wimbo wa umoja na mshikamano, Mkoani Iringa.


Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage akiongea umuhimu wa kuwa na Tanzania ya Viwanda wakati wa Kongamano la maandalizi ya Mei Mosi lililofanyika mkoani Iringa Aprili 27, 2018.



Baadhi ya wajume wakifuatilia Kongamano la maandalizi ya Sherehe za Mei Mosi walipokutana kujadili masuala ya Tanzania ya Viwanda Aprili 27, 2018.


Kaimu Mtendaji Mkuu OSHA Bi. Khadija Mwenda (katikati) akifuatilia mada zilizowasilishwa wakati wa Kongamano la Tanzania ya Viwanda lililofanyika Mkoani Iringa Aprili 27, 2018.


Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Richard Kasesela akizungumza jambo wakati wa Kongamano la Tanzania ya Viwanda lililohusu maandalizi ya Sherehe za Mei Mosi lililofanyika Mkoani Iringa Aprili 27, 2018.


Katibu Mkuu TUCTA Dk Yahaya Msingwa akizungumza jambo wakati wa Kongamano la Tanzania ya Viwanda lililohusu maandalizi ya Sherehe za Mei Mosi lililofanyika Mkoani Iringa Aprili 27, 2018


Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe.Amina Masenza akizungumza wakati wa Kongamano la kuelekea sikukuu ya wafanyakazi duniani lililofanyika mkoani Iringa  Aprili 27, 2018.


Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Nchini Bw. Tumaini Nyamhokya akimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista nje ya ukumbi wa Kichangani Iringa.


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista (wa nne kutoka kushoto) naWaziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe.Charles Mwijage (kulia kwake) wakiwa katika picha ya baadhi ya Watendaji wa Serikali walipohudhuria katika kongamano la Tanzania ya Viwanda wakati wa maandalizi ya Sherehe za Mei Mosi lililofanyika Iringa Aprili 27, 2018. (PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU)






COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: KONGAMANO LA TANZANIA YA VIWANDA LAFANA MKOANI IRINGA
KONGAMANO LA TANZANIA YA VIWANDA LAFANA MKOANI IRINGA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhebkhI_nZY6SXh7BYJSMOoxz5Mir1sKnCY-DD4_IogeH0FjOrKwHonU9cFrp45VnjMtokxn-zY9l69JDrAgiQ2IlVSYhUSZ3nn9dV3gL7hYvLi7t51FkbIxdGkg9NaUF7_f7xz_NISqJg/s640/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhebkhI_nZY6SXh7BYJSMOoxz5Mir1sKnCY-DD4_IogeH0FjOrKwHonU9cFrp45VnjMtokxn-zY9l69JDrAgiQ2IlVSYhUSZ3nn9dV3gL7hYvLi7t51FkbIxdGkg9NaUF7_f7xz_NISqJg/s72-c/1.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/04/kongamano-la-tanzania-ya-viwanda-lafana.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/04/kongamano-la-tanzania-ya-viwanda-lafana.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy