RAIS MAGUFULI MGENI RASMI UZINDUZI WA HOSPITALI YA TAALUMA MUHAS KAMPASI YA MLOGANZILA
HomeJamii

RAIS MAGUFULI MGENI RASMI UZINDUZI WA HOSPITALI YA TAALUMA MUHAS KAMPASI YA MLOGANZILA

Kaimu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) Prof. Appolinary Kamuhabwa akizungumza na Waandi...

NAIBU KATIBU MKUU MAMBO YA NDANI NCHI, AONGOZA WATUMISHI KUAGA MWILI MAREHEMU YUSTA MSOKA DAR
MKE WA WAZIRI MKUU MARY MAJALIWA AMEIOMBA JAMII KUWASAIDIA WATOTO WENYE ULEMAVU WA NGOZI HAPA NCHINI (ALBINO)
RAIS MAGUFULI ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA VIFO VYA AJALI YA BASI LA BARCELONA




Kaimu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) Prof. Appolinary Kamuhabwa akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu uzinduzi wa Hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili - MUHAS Kampasi ya Mloganzila leo Jijini Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Huduma za Hospitali Prof. Said Abood na Afisa Habari wa Idara ya Habari (MAELEZO) Jonas Kamaleki. Uzinduzi huo utafanyika tarehe 25 Novemba 2017 ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli.

Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) anayeshughulikia Huduma za Hospitali Prof. Said Abood akifafanua jambo mbele ya  Waandishi wa Habari kuhusu uzinduzi wa Hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili - MUHAS Kampasi ya Mloganzila leo Jijini Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Kaimu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Tiba Muhimbili (MUHAS) Prof. Appolinary Kamuhabwa na Daktari Bingwa wa Magonjwa ya dharura Dk. Hendry Sawe. Uzinduzi huo utafanyika tarehe 25 Novemba 2017 ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli.


Daktari Bingwa wa Magonjwa ya dharura wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) Dk. Hendry Sawe akielezea jambo mbele ya  Waandishi wa Habari kuhusu uzinduzi wa Hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili - MUHAS Kampasi ya Mloganzila leo Jijini Dar es Salaam. Kutoka kulia ni Afisa Habari wa Idara ya Habari (MAELEZO) Jonas Kamaleki, Kaimu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Tiba Muhimbili (MUHAS) Prof. Appolinary Kamuhabwa na Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) anayeshughulikia Huduma za Hospitali Prof. Said Abood. Uzinduzi huo utafanyika tarehe 25 Novemba 2017 ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli. (PICHA NA FRANK SHIJA - MAELEZO)

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: RAIS MAGUFULI MGENI RASMI UZINDUZI WA HOSPITALI YA TAALUMA MUHAS KAMPASI YA MLOGANZILA
RAIS MAGUFULI MGENI RASMI UZINDUZI WA HOSPITALI YA TAALUMA MUHAS KAMPASI YA MLOGANZILA
https://i.ytimg.com/vi/W3ogHxyx-WY/hqdefault.jpg
https://i.ytimg.com/vi/W3ogHxyx-WY/default.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/11/rais-magufuli-mgeni-rasmi-uzinduzi-wa.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/11/rais-magufuli-mgeni-rasmi-uzinduzi-wa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy