Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa kwa niaba ya familia yake ametoa mchango wa fedha zaidi ya shilingi laki sit...
Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary
Majaliwa kwa niaba ya familia yake ametoa mchango wa fedha zaidi ya
shilingi laki sita kwa Mama Hakika Swalehe kwa ajili ya kuwasidia watoto
wake wenye ulemavu wa ngozi (ALBINO) Rashidi Juma (5)na Iklamu Juma
(miezi 9) Mama Majaliwa amehidi kuwasidia watoto hao vifaa vingine vya
kutunza ngozi kwa ajili ya Watoto hao wanaoishi katika kijiji cha Mtope
wilaya ya Ruwangwa Mkoani Lindi. (Picha na Chris Mfinanga)
Mama Majaliwa akimsalimia mtoto Iklamu Juma mweye ulemavu wa ngozi. Kulia ni Rashidi Juma (5) kaka wa Iklamu.
Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa akiagana na Hakika Swalehe mara baada ya kuzungumza naye.
COMMENTS