Balozi wa Manjano Foundation Irene Paul akimsindikiza Afisa Mtendaji Mkuu wa Shear Illusions Ltd. Mama Shekha Nasser. Mg...
|
Balozi
wa Manjano Foundation Irene Paul akimsindikiza Afisa Mtendaji Mkuu wa Shear Illusions Ltd. Mama Shekha Nasser. |
|
Mgeni Rasmi kwenye
halfa ya uzinduzi wa Manjano Foundation Pamoja na Vipodozi pendwa vijulikanavyo
kama 'Luv Touch Manjano' Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akimpamba mmoja wa warembo wakti alipofanya uzinduzi huo kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es
Salaam. Kulia kwake ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Shear Illusion Ltd, Shekha Nasser.
|
|
Mgeni Rasmi kwenye
halfa ya uzinduzi wa Manjano Foundation Pamoja na Vipodozi pendwa vijulikanavyo
kama 'Luv Touch Manjano', Mama Tunu Pinda akionesha gazeti la mwongozo wa 'Make up' alipofanya uzinduzi wa bidhaa hizo kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es
Salaam. Pamoja naye ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Shear Illusion Ltd, Shekha Nasser. |
|
Mgeni Rasmi kwenye
halfa ya uzinduzi wa Manjano Foundation Pamoja na Vipodozi pendwa vijulikanavyo
kama 'Luv Touch Manjano' Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akiwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Shear Illusion Ltd, Shekha Nasser wakati alipofanya uzinduzi huo kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es
Salaam. |
|
Mgeni Rasmi kwenye
halfa ya uzinduzi wa Manjano Foundation Pamoja na Vipodozi pendwa vijulikanavyo
kama 'Luv Touch Manjano' Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akiwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Shear Illusion Ltd, Shekha Nasser (wa pili kushoto),
mtoa
mada kwenye halfa hiyo, Balozi Mwanaidi Majaar (wa pili kulia), mtoa mada katika hafla hiyo, Rehema Kasule, kutoka Uganda wakati alipofanya uzinduzi huo. |
|
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akiwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Shear Illusion Ltd, Shekha Nasser (kushoto) na Balozi
wa Manjano Foundation Irene Paul.
|
|
Mgeni Rasmi kwenye
halfa ya uzinduzi wa Manjano Foundation Pamoja na Vipodozi pendwa vijulikanavyo
kama 'Luv Touch Manjano' Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akiwa katika picha ya pamoja washiriki wa uzinduzi huo. |
|
Afisa Mtendaji Mkuu wa Shear Illusion Ltd, Shekha Nasser akiongea. |
|
Wageni waalikwa
|
|
Mshereheshaji
wa halfa hiyo Angela Bondo. |
|
Wageni waalikwa
|
|
Wageni waalikwa.
|
|
Balozi
wa Manjano Foundation Irene Paul. |
|
Mshereheshaji
wa halfa hiyo Angela Bondo. |
|
Warembo walionogesha hafla hiyo. |
|
Warembo walionogesha hafla hiyo.
|
|
Warembo walionogesha hafla hiyo.
|
|
Mgeni Rasmi Manjano Foundation Pamoja na Vipodozi pendwa vijulikanavyo
kama 'Luv Touch Manjano', Mama Tunu Pinda akimpongeza Afisa Mtendaji Mkuu wa Shear Illusion Ltd, Shekha Nasser huku wakiwa na gazeti la mwongozo wa 'Make up' alipofanya uzinduzi wa bidhaa hizo kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es
Salaam. |
Mgeni rasmi kwenye halfa ua uzinduzi wa Manjano Foundation Pamoja na Vipodozi pendwa
vijulikanavyo kama 'Luv Touch Manjano', Mama Tunu Pinda, Katika hotuba
yake Mama Pinda alisema amefurahishwa sana kwa mwanamke wa Kitanzania kuanzisha
bidhaa ambayo imeweza kushindana na bidhaa kama hizo kutoka mataifa mengine.
Hafla hiyo
ya uzinduzi ilifunguliwa na mke wa Waziri Mkuu wa Tanzania mama Tunu Pinda.
Alizindua rasmi kwa soko la Tanzania poda ya luvtouch Manjano, rangi ya awali
(foundation), na rangi ya mdomo (lipstick) na walio hudhuria hafla hiyo
walipata nafashi ya kushuhudia thamani ya bidhaa hizo, aina ya urembo na
viwango vya ubora vinvyodhihirisha ubora wa bidhaa hizo kuwa katika viwango vya
za bidhaa za kimataifa. Wanawake wengi walipata fursa ya kujaribu moja ya
bidhaa hizo na waliweza kununua bidhaa za LuvTouch Manjano ukumbini hapo.
|
Mgeni Rasmi a Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda
wa (pili kushoto) pamoja na watoa mada kwenye halfa hiyo, Balozi Mwanaidi
Majaar (kushoto) na Rehema Kasule kutoka Uganda. |
|
Mdau
Maznat Sinare akiongea. (Imeandaliwa na Robert Okanda) |
COMMENTS