MKUU WA WILAYA YA KINONDONI PAUL MAKONDA YA AWAAGA WASHINDI WA TUZO YA ANZISHA (ANZISHA PRIZE) DAR LEO
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mh. Paul Makonda (kushoto) na akwakabidhi bendera ya Taifa, vijana wajasiriamali wawili wanaokwenda nchini Afrika Kusini kuwania tuzo za Anzisha, Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Jefren Agrifriem Solutions,  SirJeff  Dennis (kulia) na George Mtemahaji (22) Mwasisi na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Sunsweet Solar Ltd Dar es Salaam wakati wa hafla ya kuwaaga leo. Pamoja naye ni  Mkurugenzi Mtendaji wa Taasis ya Sekta Binafsi nchini (TPSF), Godfrey Simbeye.

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI PAUL MAKONDA YA AWAAGA WASHINDI WA TUZO YA ANZISHA (ANZISHA PRIZE) DAR LEO

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mh. Paul Makonda (kushoto) na akwakabidhi bendera ya Taifa, vijana wajasiriamali wawili wanaokwenda...

NEWS ALERT!! TUME YATANGAZA TAREHE YA KUFANYIKA KWA UCHAGUZI MDOGO WA MADIWANI KATA 43
MHESHIMIWA MAJALIWA ANATARAJIWA KUFUNGUA MKUTANO MKUU WA WAUGUZI NA KONGAMANO LA KISAYANSI LEO MKOANI LINDI
SPIKA JOB NDUGAI AKUTANA NA WABUNGE WA BUNGE LA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI KUTOKA TANZANIA












Mgeni rasmi, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mh. Paul Makonda akiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Jefren Agrifriem Solutions,  SirJeff  Dennis (21) na George Mtemahaji (22) Mwasisi na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Sunsweet Solar Ltd (kushoto).





Mkurugenzi Mtendaji wa Taasis ya Sekta Binafsi nchini (TPSF), Godfrey Simbeye akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo wakati wa hafla ya kukabidhi bendera kwa vijana wajasiriamali wawili wanaokwenda nchini Afrika Kusini kuwania tuzo za Anzisha kesho. Pamoja naye ni mgeni rasmi, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mh. Paul Makonda (mwenye miwani), Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Jefren Agrifriem Solutions,  SirJeff  Dennis (21) na George Mtemahaji (22) Mwasisi na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Sunsweet Solar Ltd (kulia). 





Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MKUU WA WILAYA YA KINONDONI PAUL MAKONDA YA AWAAGA WASHINDI WA TUZO YA ANZISHA (ANZISHA PRIZE) DAR LEO
MKUU WA WILAYA YA KINONDONI PAUL MAKONDA YA AWAAGA WASHINDI WA TUZO YA ANZISHA (ANZISHA PRIZE) DAR LEO
https://i.ytimg.com/vi/vG0zjscmEdU/hqdefault.jpg
https://i.ytimg.com/vi/vG0zjscmEdU/default.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2015/11/mkuu-wa-wilaya-ya-kinondoni-paul.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/11/mkuu-wa-wilaya-ya-kinondoni-paul.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy