MSHINDI WA TISA WA MILIONI 60 ZA TATU MZUKA APATIKANA TUNDURU
HomeJamii

MSHINDI WA TISA WA MILIONI 60 ZA TATU MZUKA APATIKANA TUNDURU

 Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Mh Juma Homera (Kushoto) akiwa na MWakilishi wa Tatu Mzuka  Bi Kemi Mutahaba, Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi...

DAWASCO WATAKIWA KUONGEZA KASI YA USAMBAZAJI WA HUDUMA YA MAJI DAR.
BOHARI YA DAWA (MSD) YAKARABATI GHALA LA DAWA HOSPITALI YA MIREMBE MKOANI DODOMA
MKURUGENZI WA JIJI ARUSHA ATOA SEMINA KWA WATENDAJI WAKE

 Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Mh Juma Homera (Kushoto) akiwa na MWakilishi
wa Tatu Mzuka  Bi Kemi Mutahaba, Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Kiuma
Bw. Joseph Mtuma  Wakimpongeza Mshindi wa 9 wa Tatu Mzuka Jackpot Bw
Fulko Hyera, kijijini Kiuma, Tunduru
  Mshindi wa 9 wa Tatu mzuka Jackpot Bw Fulko Hyera, Mwalimu wa
shule ya sekondari Kiuma,akifurahia alipo kabithiwa cheki  ya Milioni 60
kutoka Tatu Mzuka kijijini kwake Kiuma, Wilaya ya Tunduru.


 Bw. Fulko Hyera  and Mke wake Sigsberta Haule mbele ya duka lao
kijijini Kiuma wakisherekea kipato cha Million 60 kutoka Tatu Mzuka.
Tatu Mzuka walizawadia marafiki wa TATU wa Bw. Fulko Hyera  million 1
moja kutokana na promociona ya Tatu Mzuka ya "Cheza na Washkaji na
Shinda na Washkaji".  Robert Mbai na Owne Simwanga





Mshindi wa droo ya tisa ya Tatu Mzuka amepatikana Jumapili hii ya Oktoba 1, 2017. Mshindi huyu amejinyakulia kitita cha shilingi milioni 60 na ni Bwana Fulko Hyera, mkazi wa kiuma, wilayani Tunduru 

Ushindi huu wa Bw.Hyera unaonesha namna Tatu Mzuka inavyobadili maisha ya wananchi wa Tanzania sio tu wa mjini bali na vijijini pia. Bw. Hyera ambaye ni mwalimu wa shule ya sekondari ya Kiuma.

Bw Hyera alisema “Katika muda wangu wote, sikuwaza kuwa na hela hizi. Kama familia zetu nina majukumu mengi yakutimiza na sasa nitakuwa na uwezo wa kusaidia familia. Sasa nimeamua kuanza biashara, niajiri wengine na kuongeza fursa za vijana” 

Kumkabidhi cheki Bw Hyera, Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Mheshimiwa Juma Homera alimkabidhi cheki mshindi kwenye tulio lilio andaliwa na Tatu Zuka kijijini Kiuma, Tunduru.

Mheshimiwa Homera alikuwa ana machache ya kusema licha la kumpongeza Bw. Hyera alimuhusia “ Hizi ni hela nyingi sana. Lazima uwe na malengo kamili and pia hii itakupa fursa nyingine ya kusaidia jamii.” Amewapongeza sana Tatu Mzuka kwa kuchangia kubadili maisha ya watu tena ya mwana Tunduru.

Licha ya ushindi huo, Bw. Hyera alipata pia fursa ya kutaja majina matatu ya rafiki zake ambao pia walijishindia kiasi cha shilingi milioni 1 kwa kila mmoja. Mmoja ya rafiki zake Bi.Marianna Haule ambaye mara nyinji anamuuguza mama yake, ndio alichaguliwa. “Nilimuwaza Marianna ili nijaribu kumpa haueni akiwa anamuuguza mama yake.” Alieleza Bw. Hyera

Tatu Mzuka hadi leo imetoa zaidi ya Billion 2 kwa washindi na wamepata zaidi ya washindi 900,000.  

Wiki hii Jumapili kutakuwa na Million 80M.Namna ya kucheza promosheni ya Tatu Mzuka Unatakiwa kwenda kwenye sehemu ya fedha kwenye simu yako na kuchagua Lipana kwa M-Pesa au mitandao mingine. Kisha unaingiza namba zako 3 za bahati katika sehemu inayoonekana. Kisha weka kiwango chako cha fedha kuanzia shilingi 500/- hadi 30,000/-

Kwa kuanzia kiasi cha shilingi 500,TatuMzuka inatoa fursa ya kushinda hadi shilingi milioni 6 ndani ya saa 24 kwa siku. Chagua namba tatu za bahati kuanzia 0-9 kisha zitume zikiambatana na pesa ya ushiriki kuanzia shilingi 500/. Ukishinda namba zako zote tatu utajinyakulia fedha mara 200 ya ile uliyocheza huku pia kila shilingi 500 unayocheza inakupa nafasi ya kushiriki droo inayochezwa kila wiki ambayo inakupa fursa ya kushinda hadi shilingi milioni 70.

Ili kupata taarifa zaidi kuhusu washindi wa Tatu Mzuka angalia Televisheni za Clouds na TV1 kila Jumapili kuanzia saa Tatu na Nusu Usiku.
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MSHINDI WA TISA WA MILIONI 60 ZA TATU MZUKA APATIKANA TUNDURU
MSHINDI WA TISA WA MILIONI 60 ZA TATU MZUKA APATIKANA TUNDURU
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhQcn8cHg4zozPE2cV59viGKavroHPR1VC0v1JxWd_Wpm45UEql77IrHQOeYZiJMpExMalORgSTIHm8JbmJQx5uGoVETV7IgZdC9TiTCxXBKhvUReNkcIcBTD7xmgez9AiyFjJoifFElzIM/s640/PICHA+1.png
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhQcn8cHg4zozPE2cV59viGKavroHPR1VC0v1JxWd_Wpm45UEql77IrHQOeYZiJMpExMalORgSTIHm8JbmJQx5uGoVETV7IgZdC9TiTCxXBKhvUReNkcIcBTD7xmgez9AiyFjJoifFElzIM/s72-c/PICHA+1.png
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/10/mshindi-wa-tisa-wa-milioni-60-za-tatu.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/10/mshindi-wa-tisa-wa-milioni-60-za-tatu.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy