BOHARI YA DAWA (MSD) YAKARABATI GHALA LA DAWA HOSPITALI YA MIREMBE MKOANI DODOMA
HomeJamii

BOHARI YA DAWA (MSD) YAKARABATI GHALA LA DAWA HOSPITALI YA MIREMBE MKOANI DODOMA

Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD), Laurean Bwanakunu (kushoto), akipeana mkono na Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jins...

WAZIRI MHAGAMA ARIDHISHWA NA JITIHADA ZA KUREJESHA MIUNDOMBINU MKOANI KAGERA
KAMISHNA JENERALI WA UHAMIAJI AJITAMBULISHA KWA RAIS WA ZANZIBAR, DKT. ALI MOHAMMED SHEIN
RAIS MAGUFULI NA RAIS WA BENKI YA DUNIA WAWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA "FLYOVER" UBUNGO



Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD), Laurean Bwanakunu (kushoto), akipeana mkono na Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya wakati wa hafla ya kukabidhi jengo la kuhifadhia dawa la Hospitali Maalumu ya Mirembe mjini, Dodoma leo lililokarabatiwa na MSD.


Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD), Laurean Bwanakunu (kushoto), akimkabidhi funguo za jengo hilo Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya wakati wa hafla hiyo. Kulia ni Ofisa Huduma kwa Wateja wa MSD Mkoa wa Dodoma, Innocent Mugisha.


Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD), Laurean Bwanakunu (kushoto), akimuelekeza jambo Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya (wa pili kulia), wakati wa hafla hiyo. Wengine kutoka kushoto ni Meneja wa MSD Kanda ya Dodoma, Helman Mng'ong'o na Mkurugenzi wa Hospitali ya Mirembe, Dkt, Erasmus Mndeme.


Jengo la kuhifadhiwa dawa katika Hospitali ya Mirembe lililokarabatiwa na MSD.


Picha ya pamoja mbele ya jengo hilo lililokarabatiwa na MSD.

Na Mwandishi Wetu, Dodoma.

Bohari ya Dawa (MSD) imekabidhi Jengo la kuhifadhia dawa la Hospitali Maalumu ya Mirembe,Dodoma iliyoifanyia ukarabati wa paa, dari na mfumo wa umeme.

Akizungumza wakati wa makabidhiano ya jengo hilomjini Dodma leo asubuhi, Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya amesema inapendeza kwa taasisi za serikali kusaidiana kuboresha huduma na utendaji pale inapowezekana.

Naye Mkurugenzi Mkuu wa MSD, Laurean Bwanakunu amesema mbali na ukarabati huo,watoa ushirikiano kuandaa makabati ya kuhifadhia dawa yenye utaalamu unaohitajika.
 

Ameongeza kuwa,Hospitali hiyo itaendelea kuhudumiwa kwa upendeleo, ikiwa ni pamoja na kukopeshwa, kutokana na utofauti wa wagonjwa wanaowahudumia.


Mkurugenzi wa Hospitali ya Mirembe Erasmus Mndeme ameshukuru kwa msaada huo na kuomba ushirikiano zaidi na MSD, ikiwa ni pamoja na kupata dawa kwa maelewano na kumalizia maeneo ya ndani ya kuhifadhia dawa.


(Imeandaliwa na mtandao wa www.habari za jamii.com-simu namba 0712-727062)
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: BOHARI YA DAWA (MSD) YAKARABATI GHALA LA DAWA HOSPITALI YA MIREMBE MKOANI DODOMA
BOHARI YA DAWA (MSD) YAKARABATI GHALA LA DAWA HOSPITALI YA MIREMBE MKOANI DODOMA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhY2llM2IO0RQVW0VMI7I6XVB3mC4EzvG6eG25HQjb8R7uHQAbjTGFK7PdiwnPYyp6g4qn_GBSkCjhcN1N4JlwH75sLvK-hRarEGz2IhQ_HcWlSxM4TpXKXbzQwSjdWxMZ5UhU6NXxeij8I/s640/1.PNG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhY2llM2IO0RQVW0VMI7I6XVB3mC4EzvG6eG25HQjb8R7uHQAbjTGFK7PdiwnPYyp6g4qn_GBSkCjhcN1N4JlwH75sLvK-hRarEGz2IhQ_HcWlSxM4TpXKXbzQwSjdWxMZ5UhU6NXxeij8I/s72-c/1.PNG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/04/bohari-ya-dawa-msd-yakarabati-ghala-la.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/04/bohari-ya-dawa-msd-yakarabati-ghala-la.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy