Waziri wa Haki na Katiba, Prof Palamaganda Kabudi akionesha kitabu cha vyeti vya kuzaliwa pamoja na simu ya kisasa alipozindua zoezi la...

Waziri wa Haki na Katiba, Prof Palamaganda Kabudi akionesha kitabu cha vyeti vya kuzaliwa pamoja na simu ya kisasa alipozindua zoezi la usajili na utoaji vyeti vya kuzaliwa kwa njia ya mtandao kwa mikoa ya Mara na Simiyu leo. Tigo imetoa simu 1125 za thamani ya Tsh 77milioni kufanikisha zoezi hill. Kulia ni Mwenyekiti was Bodi ya RITA, Prof. Hamisi Dihenga.
TIGO YAPIGA "TAFU " ZOEZI LA USAJILI WA VYETI VYA KUZALIWA VYA WATOTO MIKOA YA MARA NA SIMIYU
Labels:
Jamii 3473
Advertisement

MAIN QUOTE
x cbfgmfg hghg
- Steve Jobs
WEEK TRENDING
Loading...
YEAR POPULAR
Mkuu wa Chuo cha Maafisa wa Jeshi kilichopo Monduli mkoani Arusha Meja Jenerali Paul Mssao akitoa taarifa ya maofisa wapya kwa Amiri ...
HUYU NDIYE MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KULIKO WOTE DUNIANI MWANAMA Mikel Ruffinelli mkazi wa Los Angeles, Marekani, amedhihirisha k...
Msomaji wa Quran tukufu katika mashindano ya kitaifa, Abdallah Abdulkadri akisoma wakati wa fainali zake mashindano Dar es Sal...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mama Maria Nyerere wakati alipomtembelea nyumbani kwake Mwitongo, Butiama Januari 20, 2018. K...
COMMENTS