HDIF NA COSTECH WAAZIMISHA SIKU YA MTOTO WA KIKE DUNIANI

Mtaalam wa Komputa wa Dot Tanzania Diana Ninsiima akifafanua jambo kwa sehemu ya washiriki wa maadhimisho hayo. Wadau waliosh...








Mtaalam wa Komputa wa Dot Tanzania Diana Ninsiima akifafanua jambo kwa sehemu ya washiriki wa maadhimisho hayo.

Wadau walioshiriki katika maadhimisho ya siku ya mtoto wa kike yaliyoandaliwa na HDIF  katika ukumbi wa COSTECH Jijini Dar es Salaam.

Wadau walioshiriki katika maadhimisho ya siku ya mtoto wa kike yaliyoandaliwa na HDIF  katika ukumbi wa COSTECH Jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi wa Shule Direct, Faraja Nyarandu akizungumza na washiriki wa mkutano maalum  wa siku ya Mtoto wa Kike Duniani ulioandaliwa na Tasisi ya HDIF kwa wanufaika wake wanaopigania maendeleo ya mtoto wa kike nchini, uliofanyika Oktoba 11 2017 Dar es Salaam.

Mabinti wakipata maelezo kutoka kwa wataalamu wa Panya kutoka Chuo Kikuu cha kilimo cha SUA, Mariam Juma (kulia) na Anna Narcis wakitoa maelezo jinsi Panya hao wanavyoweza kumgundua mtu mwenye vimelea vya ugonjwa wa Kifua kikuu wakati wa maonesho yaliyokwenda sanjari na maadhimishi hayo.


Mmoja wa wanufaika wa huduma zilizowezeshwa na HDIF, Grace Festo mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Lyandembela kutoka mkoani Iringa akito ushuhuda jinsi alivyonufaika kwa washiriki wa maadhimisho hayo. 

Wanafunzi wa sekondari walioshiriki katika maadhimisho hayo wakipata maelezo kutoka kwa Mtaalam wa Tehama wa Shule Direct, Erick Kondela jinsi mifumo yao ya komputa inavyotumika kutoa elimu kwa wanafunzi kwa kutumia simu za mikononi. 

Meneja mrradi wa kupinga ukeketaji afya ya uzazi na Mazingira kutoka Wilaya ya Kilindi mkoani Tanga kutoka Shirika la Amref Afrika , Dkt.. Jane Sempeho akiwaonyesha wadau waliofika kutaka kujua juu ya kameoni yake ya Stop Cut

Mtaalam wa Komputa wa Dot Tanzania Diana Ninsiima akifafanua jambo kwa sehemu ya washiriki wa maadhimisho hayo.

Mtaalam wa komputa Simon Mtabazi akifafanua jambo kwa mmojo wa washiriki wa maadhimisho hayo. 

Sehemu ya washiriki  katika maadhimisho hayo wakipata maelezo kutoka kwa Mtaalam wa Tehama wa Shule Direct, Erick Kondela jinsi mifumo yao ya komputa inavyotumika kutoa elimu kwa wanafunzi kwa kutumia simu za mikononi. (Imeandaliwa na na Robert Okanda Blogs)




    

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: HDIF NA COSTECH WAAZIMISHA SIKU YA MTOTO WA KIKE DUNIANI
HDIF NA COSTECH WAAZIMISHA SIKU YA MTOTO WA KIKE DUNIANI
https://i.ytimg.com/vi/6biy9VLuvsU/hqdefault.jpg
https://i.ytimg.com/vi/6biy9VLuvsU/default.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/10/hdif-na-costech-waazimisha-siku-ya.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/10/hdif-na-costech-waazimisha-siku-ya.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy