UZALENDO NA UTAIFA KAMPENI KUZINDULIWA LEO NA RAIS JOHN POMBE MAGUFULI
HomeJamii

UZALENDO NA UTAIFA KAMPENI KUZINDULIWA LEO NA RAIS JOHN POMBE MAGUFULI

LEO ni siku ya Uzinduzi wa kampeni ya Uzalendo na Utaifa. Uzinduzi huo utafanyika katika ukumbi wa Chimwaga Dodoma,  kwa ratiba itaka...

TAHADHARI YATOLEWA KUHUSU DHANA YA ULIPAJI WA KODI YA PANGO LA ARDHI
RAIS MAGUFULI AAGIZA UONGOZI WA DODOMA KUUNDA KAMATI KUSHUGHULIKIA SUALA LA KUBADILI HATI ZA UMILIKI ARDHI
RAIS DKT. MAGUFULI AONDOKA MKOANI DODOMA NA KUELEKEA MKOANI KILIMANJARO





LEO ni siku ya Uzinduzi wa kampeni ya Uzalendo na Utaifa. Uzinduzi huo utafanyika katika ukumbi wa Chimwaga Dodoma,  kwa ratiba itakayoanza saa 9 mchana na kuisha saa 3 usiku.. Kati ya matukio yatakayokuweko ni maandamano yatakayoshirikisha wasanii mbalimbali na pia kazi za sanaa, baada ya watu wote kufika na kutulia Chimwaga kutakuweko na wimbo maalumu wa Uzalendo, filamu ya kihistoria, hotuba za viongozi wastaafu, uzinduzi wa kitabu, na kisha Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania atatoa vyeti vya udhamini hatimae chakula. Wimbo hapo juu ni kazi ya wanamuziki Anania Ngoliga na John Kitime wakipiga gitaa na rimba kuisifia nchi yao. 
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: UZALENDO NA UTAIFA KAMPENI KUZINDULIWA LEO NA RAIS JOHN POMBE MAGUFULI
UZALENDO NA UTAIFA KAMPENI KUZINDULIWA LEO NA RAIS JOHN POMBE MAGUFULI
https://i.ytimg.com/vi/3ywzx4eSat8/hqdefault.jpg
https://i.ytimg.com/vi/3ywzx4eSat8/default.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/12/uzalendo-na-utaifa-kampeni-kuzinduliwa.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/12/uzalendo-na-utaifa-kampeni-kuzinduliwa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy