Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na Rais wa Kenya, Mhe. Uhuru Kenyatta, baada ya mazung...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na Rais wa Kenya, Mhe. Uhuru Kenyatta, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika pembezoni mwa kikao cha wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki,(EAC), huko Munyonyo, Kampala Uganda leo Februari 23, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahi ajambo na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta Kampala jijini Uganda.

Mambo ni poa......baada ya mazungumzo


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta wakati wa mazungumzo yao yaliyofanyika jijini Kampala nchini Uganda leo Februari 23, 2018. (PICHA NA IKULU)
COMMENTS