Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Tanza...
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akizungumza na Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Tanzania Dkt. Anna Peter
Makakala alipofika Ikulu Mjini Unguja kwa ajili ya kujitambulisha leo
Machi 20, 2017. (PICHA NA IKULU YA
ZANZIBAR)
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Tanzania Dkt.Anna Peter
Makakala alipofika Ikulu Mjini Unguja kujitambulisha leo akiwa na ujumbe
aliofuatana nao.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia) akifuatana na mgeni wake Kamishna Jenerali wa Uhamiaji
Tanzania Dkt.Anna Peter Makakala alipofika Ikulu Mjini Unguja leo
kujitambulisha kwa Rais.
COMMENTS