KAMPUNI YA GEOPOLL YAKUTANA NA NBS KUJADILI TAKWIMU ZA WASIKILIZAJI WA REDIO NA WATAZAMAJI WA TELEVISHENI ZINAZOTOLEWA NA KAMPUNI HIYO NCHINI
HomeJamii

KAMPUNI YA GEOPOLL YAKUTANA NA NBS KUJADILI TAKWIMU ZA WASIKILIZAJI WA REDIO NA WATAZAMAJI WA TELEVISHENI ZINAZOTOLEWA NA KAMPUNI HIYO NCHINI

Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Dkt. Albina Chuwa akizungumza leo na ujumbe kutoka Kampuni ya GeoPoll wakati wa kikao cha...

RAIS DK. SHEIN AWASILI NCHINI INDONESIA
ZIARA YA IGP MANGU NCHINI RWANDA
POMBE ZA VIROBA ZENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 10.8 ZIMEKAMATWA DAR ES SALAAM




Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Dkt. Albina Chuwa akizungumza leo na ujumbe kutoka Kampuni ya GeoPoll wakati wa kikao cha kujadili Takwimu za Idadi ya Wasikilizaji wa Redio na Watazamaji wa Televisheni zinazotolewa na kampuni hiyo hapa nchini. Kulia ni Mtendaji Mkuu wa GeoPoll kutoka Marekani Steve Gutterman.




Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya GeoPoll kutoka Marekani Steve Gutterman akizungumza leo wakati wa kikao cha kujadili Takwimu za Idadi ya Wasikilizaji wa Redio na Watazamaji wa Televisheni zinazotelewa na kampuni hiyo hapa nchini.


Baadhi ya wajumbe kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) na Kampuni ya GeoPoll wakifuatilia kwa makini kikao cha kujadili Takwimu za Idadi ya Wasikilizaji wa Redio na Watazamaji wa Televisheni zinazotelewa na Kampuni ya GeoPoll hapa nchini.



Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Dkt. Albina Chuwa (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Mtendaji Mkuu wa GeoPoll kutoka Marekani Steve Gutterman na Mwakilishi kutoka Idara ya Habari -MAELEZO Casmir Ndambalilo baada ya kumaliza kikao cha kujadili Takwimu za Idadi ya Wasikilizaji wa Redio na Watazamaji wa Televisheni zinazotelewa na Kampuni ya GeoPoll hapa nchini. (PICHA ZOTE NA VERONICA KAZIMOTO).
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: KAMPUNI YA GEOPOLL YAKUTANA NA NBS KUJADILI TAKWIMU ZA WASIKILIZAJI WA REDIO NA WATAZAMAJI WA TELEVISHENI ZINAZOTOLEWA NA KAMPUNI HIYO NCHINI
KAMPUNI YA GEOPOLL YAKUTANA NA NBS KUJADILI TAKWIMU ZA WASIKILIZAJI WA REDIO NA WATAZAMAJI WA TELEVISHENI ZINAZOTOLEWA NA KAMPUNI HIYO NCHINI
http://blog.maelezo.go.tz/wp-content/uploads/2017/10/PICHA-1-5.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/10/kampuni-ya-geopoll-yakutana-na-nbs.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/10/kampuni-ya-geopoll-yakutana-na-nbs.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy