Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo, Dkt. Hassan Abbas akizungumza na waandishi wa habari mara baada kukamatwa kwa watu ...
Mkurugenzi
wa Idara ya Habari Maelezo, Dkt. Hassan Abbas akizungumza na waandishi wa habari mara baada kukamatwa kwa watu
wanaodaiwa kutaka kusajili gazeti kwa nyaraka za kughushi leo jijini Dar
es Salaam. Kulia ni Kaimu Msajili wa Idara ya Habari Maelezo, Patrick
Chipangula na Afisa Habari wa Idara ya Habari MAELEZO, Lilian
Lundo.
Watuhumiwa waliotaka kusajili gazeti kwa nyaraka za kugushi wakiwa chini ya ulinzi leo jijini Dar es Salaam.
Watuhumiwa
waliotaka kusajili gazeti kwa nyaraka za kugushi wakiwa chini ya ulinzi
leo jijini Dar es Salaam, tayari kuelekea kituo cha polisi kati. (Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya jamii)
COMMENTS