RAIS DKT. MAGUFULI AFANYA MAZUNGUMZO NA PROF. IBRAHIM MJUMBE MAALUM WA RAIS WA NIGERIA, MKOANI GEITA.
HomeJamii

RAIS DKT. MAGUFULI AFANYA MAZUNGUMZO NA PROF. IBRAHIM MJUMBE MAALUM WA RAIS WA NIGERIA, MKOANI GEITA.

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na kumkaribisha    Profesa Ibrahim Gambari ambay...

OIF YAELEZEA FURSA ZILIZOPO KWA WATANZANIA WANAOJUA KIFARANSA
MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA BALOZI WA UFARANSA NA MKURUGENZI MKAZI WA WFP
MATUKIO PICHA; WAZIRI MIPANGO ALIPOWASILISHA MAPENDEKEZO YA SERIKALI YA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA NA YA KIWANGO NA UKOMO WA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2018/2019









 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na kumkaribisha  Profesa Ibrahim Gambari ambaye ni Mjumbe maalum wa Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari aliyefika Chato mkoani Geita kwa ajili ya mazungumzo.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifanya mazungumzo na Profesa Ibrahim Gambari ambaye ni Mjumbe maalum wa Rais wa Nigeria Chato mkoani Geita.


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea barua yenye ujumbe maalum kutoka kwa Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari uliowasilishwa na Profesa Ibrahim Gambari ambaye ni Mjumbe maalum wa Rais huyo wa Nigeria, Chato mkoani Geita.

 Profesa Ibrahim Gambari ambaye ni Mjumbe maalum wa Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari  akimshukuru Rais Dkt. John Magufuli mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Chato mkoani Geita.


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza mgeni wake Profesa Ibrahim Gambari ambaye ni Mjumbe maalum wa Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Chato mkoani Geita.

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza mgeni wake Profesa Ibrahim Gambari ambaye ni Mjumbe maalum wa Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Chato mkoani Geita.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na mgeni wake Profesa Ibrahim Gambari ambaye ni Mjumbe maalum wa Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Chato mkoani Geita. (PICHA NA IKULU)
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: RAIS DKT. MAGUFULI AFANYA MAZUNGUMZO NA PROF. IBRAHIM MJUMBE MAALUM WA RAIS WA NIGERIA, MKOANI GEITA.
RAIS DKT. MAGUFULI AFANYA MAZUNGUMZO NA PROF. IBRAHIM MJUMBE MAALUM WA RAIS WA NIGERIA, MKOANI GEITA.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhkqvErdjCMdjGr02BeLq5zAkLnJDIRxHolZgsGKeAKkxCoFw4XOffCRPG8UrFgoa50suC_y9ajvZTdVWqlyw40S6xxbXAf-0mj8HvpEHJr5QWU5ka5XmOf22Mmz-uu7jeiRBlcP4c3qD72/s640/01.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhkqvErdjCMdjGr02BeLq5zAkLnJDIRxHolZgsGKeAKkxCoFw4XOffCRPG8UrFgoa50suC_y9ajvZTdVWqlyw40S6xxbXAf-0mj8HvpEHJr5QWU5ka5XmOf22Mmz-uu7jeiRBlcP4c3qD72/s72-c/01.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/01/rais-dkt-magufuli-afanya-mazungumzo-na.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/01/rais-dkt-magufuli-afanya-mazungumzo-na.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy