RAIS DK.SHEIN AFANYA ZIARA WILAYA YA CHAKE CHAKE PEMBA
HomeJamii

RAIS DK.SHEIN AFANYA ZIARA WILAYA YA CHAKE CHAKE PEMBA

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akisalimiana na Viongozi mara alipowasil...

BODI YA MAZIWA TANZANIA KUSHIRIKIANA NA SEKTA BINAFSI KUONGEZA IDADI YA NG'OMBE WA MAZIWA KUFIKIA MILIONI 1.5
DKT. SHEIN AWAONGOZA VIONGOZI MBALIMBALI KATIKA HITMA YA RAIS WA KWANZA WA ZANZIBAR MZEE ABEID KARUME MJINI UNGUJA
TRA INAUNGANA NA WATANZANIA WOTE KATIKA KUMBUKUMBU YA RAIS WA KWANZA WA ZANZIBAR MHE. SHEIKH ABEID AMANI KARUME




  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akisalimiana na Viongozi mara alipowasili katika Kijiji cha Kiziwani Shungi Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba leo akiwa katika mwendelezo wa ziara yake katika Wilaya hiyo. ( Picha na Ikulu)
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein alipofika kutembelea Shamba la Mikarafuu na kuendelea na zoezi la uchumaji wa Karafuu katika Kijiji cha Kiziwani Shungi Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba akiwa katika mwendelezo wa ziara yake katika Wilaya hiyo leo.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akimsalimia Mtoto Samira Mussa miezi Miwili aliyechukuliwa na dada yake Lussia Mussa Miaka Kumi na tano wanaoishi katika Kijiji cha Kiziwani Shungi Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba,aliwasalimia baada ya   kutembelea Shamba la Mikarafuu leo,akiwa katika mwendelezo wa ziara yake katika Wilaya hiyo.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akisalimiana na Viongozi mara alipowasili katika Kijiji cha Kiziwani Shungi Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba leo akiwa katika mwendelezo wa ziara yake katika Wilaya hiyo.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kulifungua Tawi la CCM Tibirinzi leo akiwa katika mwendelezo wa ziara yake katika Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba kutembelea na kukagua Miradi mbali mbali ya Maendeleo.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akikata utepe kufungua  Tawi la CCM Tibirinzi leo akiwa katika mwendelezo wa ziara yake katika Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba kutembelea na kukagua Miradi mbali mbali ya Maendeleo,(kushoto) Mwakilishi wa Jimbo la Chakechake CCM Mhe. Suleiman Sarakhani Said.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akikagua Tawi la CCM Tibirinzi leo baada ya kulifungua akiwa katika mwendelezo wa ziara yake katika Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba kutembelea na kukagua Miradi mbali mbali ya Maendeleo,(kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Abdalla (Mabodi). 
Baadhi ya Wanachma wa Chama cha Mapinduzi CCM wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akizungumza na Wanachama hao Tawi la CCM Tibirinzi leo baada ya kulifungua rasmi akiwa katika mwendelezo wa ziara yake katika Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba kwa kutembelea na kukagua Miradi mbali mbali ya Maendeleo.
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: RAIS DK.SHEIN AFANYA ZIARA WILAYA YA CHAKE CHAKE PEMBA
RAIS DK.SHEIN AFANYA ZIARA WILAYA YA CHAKE CHAKE PEMBA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgAvEUZUso3EX7E3DMKfjKYlY1_hF8gQOTDbuQCbDtoSLkEAUubdEZ4dxNKt1Dl0Yvr_wRHO-AHvcXR1Gz81kvz0aNAtu65anZe3MM5NQs3d2wWc5hmYMzo3_pGYNVPqHQyKIUul9F3mCHK/s640/DSC_5278.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgAvEUZUso3EX7E3DMKfjKYlY1_hF8gQOTDbuQCbDtoSLkEAUubdEZ4dxNKt1Dl0Yvr_wRHO-AHvcXR1Gz81kvz0aNAtu65anZe3MM5NQs3d2wWc5hmYMzo3_pGYNVPqHQyKIUul9F3mCHK/s72-c/DSC_5278.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/08/rais-dkshein-afanya-ziara-wilaya-ya.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/08/rais-dkshein-afanya-ziara-wilaya-ya.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy