Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Majaliwa Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.A...
Waziri
Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Majaliwa Kassim Majaliwa
akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma
Abdalla (Mabodi) alipowasili katika viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM
Kisiwandui Mjini Zanzibar katika Hitma ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar
Marehemu Abeid Amani Karume iliyofanyika leo.
Makamo
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Samia Suluhu Hassan
akifuatana na Viongozi mbali mbali mara alipowasili katika viwanja vya
Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar katika Hitma ya Rais wa
Kwanza wa Zanzibar Marehemu Abeid Amani Karume iliyofanyika leo
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma
Abdalla (Mabodi) pamoja na Viongozi wengine alipowasili katika viwanja
vya Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar katika Hitma ya Rais wa
Kwanza wa Zanzibar Marehemu Abeid Amani Karume iliyofanyika leo.
Sheikh
Sharif Abdulrahman Muhidin akisoma Quran ya Ufunguzi wa Hitma ya Rais
wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Abeid Amani Karume iliyofanyika leo
katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar,ambapo
Viongozi mbali mbali wa Kitaifa wamehudhuria katika Hitma hiyo.
Viongozi
mbali mbali akiwemo Rais Mstaafu wa Zanzibar Alhaj Dkt.Amani Abeid
Karume (wa pili kushoto) wakiwa katika kisoma Hitma ya Rais wa kwanza wa
Zanzibar Marehemu Abeid Amani Karume iliyofanyika leo katika Ukumbi wa
Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar,ambapo Viongozi mbali mbali
wa Kitaifa wamehudhuria katika Hitma hiyo
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein (katikati) akiongoza kisomo cha Hitma ya Rais wa kwanza wa
Zanzibar Marehemu Abeid Amani Karume iliyofanyika leo katika Ukumbi wa
Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar,ambapo Viongozi mbali mbali
wa Kitaifa wamehudhuria katika Hitma hiyo.
Viongozi
mbali mbali na Wananchi waliohudhuria katika Hitma ya Rais wa Kwanza wa
Zanzibar Marehemu Abeid Amani Karume iliyofanyika leo katika Ukumbi wa
Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar, ambapo Viongozi wa Kitaifa
wamehudhuria katika Hitma hiyo.
Viongozi
mbali mbali na Wananchi waliohudhuria katika Hitma ya Rais wa Kwanza wa
Zanzibar Marehemu Abeid Amani Karume iliyofanyika leo katika Ukumbi
wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar, ambapo Viongozi wa
Kitaifa wamehudhuria katika Hitma hiyo.
Wake
wa Viongozi wakuu wa Kitaifa wakiwa katika kisomo cha Hitma ya ​Rais wa
Kwanza wa Zanzibar Marehemu Abeid Amani Karume iliyofanyika leo katika
Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar,ambapo Mgeni rasmi
alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Alhaj
Dk.Ali Mohamned Shein
Wake
wa Viongozi Wakuu wa Kitaifa wakiwa kaburi la Marehemu Rais wa kwanza wa
Zanzibar Mzee Abeid Amani Karume wakati wa kuwekwa mashada la mauwa na
Viongozi mbali mbali kaburini hapo baada ya dua ya khitma iliyosomwa leo
katika Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar,ambapo kila ifikapo
tr 07 April hufanyika zoezi kama hili
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein akiweka shada la Mauwa katika Kaburi la Marehemu Rais wa kwanza wa
Zanzibar Mzee Abeid Amani Karume baada ya Dua ya Khitma iliyofanyika
leo katika Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini zanzibar
Makamo
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Mama Samia Suluhu Hassan
akiweka shada la Mauwa katika Kaburi la Marehemu Rais wa kwanza wa
Zanzibar Mzee Abeid Amani Karume baada ya Dua ya Khitma iliyofanyika leo
katika Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini zanzibar.
Mkuu
wa majeshi ya Ulinzi na Usalama Tanzania Jenerali Venance Salvatori
Mabeyo akiweka shada la Mauwa katika Kaburi la Marehemu Rais wa kwanza
wa Zanzibar Mzee Abeid Amani Karume baada ya Dua ya Khitma iliyofanyika
leo katika Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini zanzibar.
Kiongozi
wa Mabalozi wadogo wa nchi za nje Visiwani Zanzibar pia Balozi Mdogo wa
Msumbiji Jorge Augusto Menezes akiweka shada la Mauwa katika Kaburi la
Marehemu Rais wa kwanza wa Zanzibar Mzee Abeid Amani Karume baada ya Dua
ya Khitma iliyofanyika leo katika Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini
zanzibar.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein akifuatana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushiriano wa Afrika
Mashariki Augustono Mahiga baada ya uwekaji wa mashada ya mauwa katika
kaburi la Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Abeid Amani Karume,baada
ya kisomo cha khitma iliyosomwa leo katika Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui
Mjini Zanzibar, ambapo Viongozi mbali mbali wa Kitaifa walihudhuria hafla
hiyo. (Picha na Ikulu, Zanzibar)
COMMENTS