Katibu wa Bunge Ndg. Stephen Kagaigai akifungua mafunzo ya Makatibu mezani wa Bunge, Ofisi Ndogo za Bunge Jijini Dar es Salaam. Mafunzo ha...
Katibu wa Bunge Ndg. Stephen Kagaigai akifungua mafunzo ya Makatibu mezani wa Bunge, Ofisi Ndogo za Bunge Jijini Dar es Salaam. Mafunzo hayo ya wiki moja yanatolewa chini ya ufadhili wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) kupitia mradi wa pili wa kulijengea Bunge uwezo (LSP II). Kushoto kwa Katibu wa Bunge ni Spika Mstaafu wa Bunge, Mhe. Pius Msekwa ambaye ni mmojawapo wa watoa mada katika mafunzo hayo na Kulia kwa Katibu wa Bunge ni Mkurugenzi wa Shughuli za Bunge, Bi. Nenelwa Wankanga.
MAKATIBU MEZANI WA BUNGE WAPEWA MAFUNZO
Labels:
Jamii 3473Advertisement

MAIN QUOTE
x cbfgmfg hghg
- Steve Jobs
WEEK TRENDING
Loading...
YEAR POPULAR
Mkuu wa Chuo cha Maafisa wa Jeshi kilichopo Monduli mkoani Arusha Meja Jenerali Paul Mssao akitoa taarifa ya maofisa wapya kwa Amiri ...
HUYU NDIYE MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KULIKO WOTE DUNIANI MWANAMA Mikel Ruffinelli mkazi wa Los Angeles, Marekani, amedhihirisha k...
Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa G4S Jacqui Bothma akiongea na waandishi wa habari katika tamasha la Rugby liliwashirikisha wanafunzi wa...
COMMENTS