TANZIA BREAKING NEWS;Aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Handeni mkoani Tanga, Bw. Muhingo Rweyemamu, amefariki dunia mapema leo asubuhi Septem...
TANZIA
BREAKING NEWS;Aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Handeni mkoani Tanga, Bw. Muhingo Rweyemamu, amefariki dunia mapema leo asubuhi Septemba 2, 2017.
Bw. Rweyemamu aliteuliwa kwa mara ya kwanza kuwa Mkuu wa wilaya ya Makete mkoani Njombe (Iringa wakati huo), na Rais wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete. Baadaye alihamishiwa wilayani Handeni mkoani Tanga. Bw. Rweyemamu pia alipata kuwa mwandishi wa habari na mhariri katika magazeti mbali mbali na mara ya mwisho alikuwa mhariri wa gazeti la RAI.
Taarifa ZAidi zitapatikana baadaye kadri zitakavyotufikia
COMMENTS